MAPENZI NDANI YA GEREZA (15) ❤❤
Umri………………..18+
Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..
ENDELEA……
Siku iliyofata asubuhi na mapema Afande aliingia ndani ya Selo.
“Aya nyie watatu mnaopenda kufunga tokeni nje!” aliongea akimaanisha mimi, Asha pamoja na Tabu.
Tulisimama na kufanya kama alivyotuambia huku tukiwa na maswali kama yote, Asha alisogea na kuniuliza kwa sauti ya chini.
“Au tayari wameshaujua mchezo wetu!?”
“Asha mimi sijui” nilimjibu lakini Tabu alikuwa kimya mda huo.
Baadae pia kuna wafungwa wengine wawili walitolewa nje ya selo kama tulivyotolewa sisi.
Afande alitusogelea na kutuambia tutembee kuelekea sehemu ya jikoni.
Kichwani nilihisi lazima kuna kila dalili za kwenda kuosha masufuria.
Tulifika na ndipo Afande alipotupa maagizo ya kufanya usafi jikoni kwa kudeki huku wafungwa wenzetu wawili wakipewa kazi ya kuosha masufuria.
Wafungwa wenzetu wawili walipelekwa upande wa nje kwa ajili ya kwenda kuosha masufuria. Tulianza kufanya kazi ya kudeki na Afande alikuwa tayari ameshatoka nje.
“Tabu huu ndiyo mda sasa” Asha aliongea huku akivua nguo zake vizuri na kuinama.
“Unamatatizo gani wewe Asha!?” nilimuuliza kwa mshangao.
“Acha kuniuliza maswali Dora, mwambie Tabu anichomekee mtalimbo wake sasa ivi kabra hatujakutwa humu.
“Usimchomekee Tabu…
Niliongea kama kumkataza lakini Tabu naye akili zilikuwa zimeshaendeako kwani alikuwa ameshavua tayari na kidole chake kilikuwa kwenye kitumbua chake.
Tabu alianza kupandisha hisia kwa kujitia dole kwenye kitumbua chake na baada ya mda mtalimbo wake ulisimama.
“Msitiane jamani acheni!” niliwakataza lakini wenzangu hawakutaka kuelewa kabisa.
Tabu alimsogelea Asha na kuiweka na ndipo mchezo mchafu ulipoanza.
Ilibidi nisogee mlango ili kuchungulia kuona kama kuna mtu yoyote yule anayekuja upande wa jikoni. Baada ya kuthibitisha kuwa hakuna mtu niliamua kuwa mlinzi kwa kuchungulia upande wa nje.
Haukupita mda nilimuona Afande aliyetuleta akija, haraka niliufunga mlango na kusogea walipo Tabu na Asha.
“Afande anakuja!”
“Tabu malizia kwanza” Asha alivyomjinga aliongea hivyo niliamua kuushika mtalimbo wa Tabu nakuuchomoa mwenyewe kwenye papuchi ya Asha.
“Acheni ujinga nawaambia Afande anakuja hamunielewi!?” niliongea kwa ukali na ndipo wote walipovaa nguo zao haraka.
Kila mtu alianza kujifanya yuko bize kufanya usafi na mda huo huo mlango ulifunguliwa na Afande aliingia.
“Mnadakika 15 tu za kufanya hiyo kazi”
“Sawa Afande!” Asha alimjibu.
Afande hakutaka kutoka zaidi ya kuendelea kutusimamia mpaka pale tulipomaliza kazi na kurudishwa selo kwenye makazi yetu.
Siku hiyo hiyo mida ya mchana kuna mtu aliyekuja kunitembelea, Afande alikuja kunichukua na kwenda kunikutanisha na mtu aliyekuja kuniona.
Alikuwa ni mama yangu mzazi aliyekuwa pale.
“Dora!”
“Abee Mama” niliongea pasipo kumwangalia mama usoni.
“Ivi unahabari!?”
“Habari zipi mama!?”
Mama aliniambia kuwa mwanaume niliyekuwa nikiishi naye tayari ameshaoa mwanamke mwingine, nilimzuia Mama ili asiendelee kuniambia habari ya yule mpumbavu maana bira yeye nisingekuwa gerezani mimi.
Mama alielewa na kubadilisha mada, Aliongea maneno mengi ya kuumiza akiniambia kuwa amenikumbuka na angekuwa na uwezo basi yeye ndiyo angeingia gerezani badala yangu.
Kitu alichokuwa akikitaka mama kamwe kisingewezekana kwani kifungo kilinihusu mimi.
Baada ya kufanya maongezi na mama nilirudi ndani ya selo nikisindikizwa na asikari, baada ya kuingia nilikuta kuna minong’ono huku macho ya wafungwa karibu wote yakiwa kwa Tabu.
“Kumbe ndiyo maana huwa wanabaki watu watatu humu mara kwa mara” “Siamini kabisa kama Tabu ana mboo”
Ni maneno ya wafungwa waliyokuwa wakiongea.
Nilipatwa na mshangao na nilishindwa kuelewa kilichotokea mpaka wafungwa wenzetu kugundua kuwa Tabu anajinsia mbili.
Nilimtazama Tabu aliyekuwa kainamisha uso wake chini, ilibidi nimsogelee Asha na kumuuliza kilitokea kitu gani mpaka wafungwa kugundua kuwa Tabu anajinsia mbili!? Asha aliniambia kuwa mambo yalikuwa wazi baada ya Tabu kupatwa na haja ndogo na kwenda kujisadia kwenye ndoo tuliyokuwa tukiitumia wafungwa.
Asha alijitahidi kumkinga ili wafungwa wenzetu wasione lakini mambo yalikuwa hadharani siku hiyo.
Nikiwa bado naongea na Asha mfungwa mwenzetu mmoja ambae ni Naomi alimsogelea Tabu.
“Nitie na mimi humu humu”
“Unataka ufaidi peke yako tu Naomi? hata mimi nataka maana na mda mrefu sijafanywa acha aanze na mimi tuone utamu wa jike dume ulivyo!?” mfungwa ambae umri wake umesogea kidogo alizungumza.
Mambo yalikuwa mambo siku hiyo kwani karibu kila mfungwa alitamani kufanya mapenzi na Tabu kasolo Monica tu aliyekuwa akiwatazama tu, mimi na Asha tulishindwa namna ya kumsaidia Tabu. “Anza kwangu Tabu!”
“Achana naye huyu huwa anasagana karibu kila siku, anza na mimi hapa my!” mwingine naye alizungumza.
Mwanzoni sauti zilikuwa za chini lakini baada ya mda sauti ziliongezeka na haukupita mda alifika Afande wa kike mwenye roho ngumu au Afande katili kama tulivyokuwa tukimuita.
“Kuna usenge gani unaoendelea humu?” aliongea kwa sauti ya juu na ndipo wafungwa waliokuwa wamemzonga Tabu waliporudi kwenye sehemu zao na kutulia tuli!.
“Nawauliza kipi kilichowafanya mpige kelele?” alituuliza lakini hakuna aliyemjibu…..ITAENDELEA.
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU