MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ❤❤

MAPENZI NDANI YA GEREZA (18) ❤❤
Umri………………..18+

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA……
Story kubwa siku hiyo ilikuwa ni mfungwa kutoroka tu, wafungwa wote tulianza kujadili jinsi alivyotoroka mwenzetu na Asha alinisogea karibu yangu na kuniambia kwa sauti ya chini.
“Na mimi nikipata nafasi ya kutoroka basi lazima nitoroke!”
“Acha kujitafutia matatizo Asha!?”
“Kumbuka mwenzako na kifungo cha maisha sio kama wewe!?” Asha aliongea kwa mara nyingine.
“Mimi mwenyewe sina tofauti na wewe maana siku nikitoka humu tayari mvi zimeshajaa kichwani, sidhani kama nitaenda kuyafaudu tena maisha ya uraiani” nilizungumza lakini Asha alikaa kimya kwa sekunde kadhaa na baadae aliongea.
“Nimepata wazo Dora!”
“Wazo gani!?”

Asha alinisogelea karibu zaidi na kuninong’oneza, macho yalinitoka kama mjusi aliyebanwa na mlango kwa kile alichoniambia, niliangaza na nilishuhudia wafungwa wenzetu walivyokuwa wakituangalia.
“Au mnajua jinsi alivyotoroka mwenzetu!?” Monica kama kawaida yake aliamua kutuuliza.
“Kuwa na adabu Monica sisi tunaongea mambo yetu hapa!” Asha alimjibu maana ndiyo alikuwa akiwezana naye.
“Mambo gani hayo mpaka muambiane masikioni nyie malaya!”
“Mambo ya kutiana dole, aya umeridhika sasa!?” Asha aliongea kwa mara nyingine.
“Asha Asha Asha….
“Nini utanifanya kwani!?”
“Naona umekumbuka kutiwa sio!? yaani ningekuwa na uwezo wa kuwa na jinsi mbili kama alivyokuwa Tabu basi ningekuwa nimeshakugonga mpaka masikioni mpumbavu wewe!?”
“Nyooo!!! unamtisha nani na matako yako hayo kama mawe ya Mwanz…!”
Majibishano yaliendelea kati ya Asha na Monica na wafungwa wengine tulikuwa tukiwasikiliza tu na mda huo huo tulisikia sauti za maafande wakija kwenye selo yetu.
“Mmmmh leo tunalo!” Mfungwa mmoja aliongea kwa sauti ya chini.

Maafande waliingia na kumbe mkuu wa gereza tayari alikuwa ameshafika akiongozana na asikari baadhi akiwemo Afande Cheusi.
Alitamani kuingia ila baada ya kuona selo yetu ni ndogo alitoa amri ya wafungwa wote tutolewe nje.
Tukiwa chini ya usimamizi mkali tulitolewa mpaka nje na kwenda kupigishwa magoti.
“Aya mtuambie mapema kabra hatujaanza kuwapatia adhabu mmoja baada ya mwingine!?” Mkuu wa gereza aliongea na wafungwa wote tulikuwa kimya, hakuna aliyejaribu kukohoa mfungwa yoyote yule kati yetu.
“Ni wapi alipo mfungwa mwenzenu!?” mkuu wa gereza alituuliza na Mfungwa mmoja alinyoosha mkono.

Aliruhusiwa kuongea na ndipo alipoongea kuwa hamna mfungwa anayejua mwenzetu alipo.
“Jiseme wewe sio uwasemee wenzako pumbavu, hatupo hapa kufanya utani!?” mkuu wa gereza aliongea kwa hasira na alitoa amri ya mwezetu aliyeongea atengwe pembeni.
Swali lilirudi kwetu sisi wengine na kila mfungwa alikana kuwa hajui ni wapi alipo mwenzetu.

Hiyo siku sitaisahau, mda huo huo alifika afande mwingine wa kiume na kutoa taarifa kuwa kuna nguo za wafungwa zilizokuwa zimelowekwa kwenye maji na namba ya nguo hizo zilikuwa ni za kwetu mimi pamoja na Asha.
Wote wawili tulitazamana japo tulikuwa tumevaa nguo nyingine.
“Aya wafungwa wenye hizi namba simameni haraka!” mkuu wa gereza aliongea, tulisimama kama alivyotuamrisha.
“Wenzenu walimaliza kufua nguo zao na kuzinianika nyie mlikuwa wapi mpaka mkashindwa kufata utararibu wa gereza na kuziacha nguo zenu sehemu za kufulia!?”
wote midomo yetu ilikuwa mizito na macho yangu yalikuwa kwa Afande Cheuse. hofu ya mkuu wa gereza alihisi kuwa tulishirikiana kumtorosha mfungwa aliyeondoka na ndiyo maana hatukuimaliza kazi yetu.
“Mkuu samahani kwa kuingilia maongezi yako!” Afande Cheusi aliongea, moyo wangu ulipumua kidogo maana nilijua lazima ataamua kututetea tu.
“Hawa tuliwapatia kazi ya kwenda kusafisha store nadhani ndiyo maana hawakumaliza kazi yao ya kufua nguo kama wenzao!” Afande Cheusi aliongea huku kichwa chake akiwa kakiinamisha chini.
“Unauhakika na unachokiongea!?”
“Ndio Afande!”
Baada ya Afande Cheusi kututetea Mkuu wa gereza alituambia tukae chini.

Karibu kila mfungwa alianza kuhojiwa na na kutoa maelezo kwa jinsi alivyokuwa akijua yeye na baada ya hapo wenzetu walirudishwa selo na sisi wawili tuliambiwa tukamalizie kufua nguo zetu ili tuzianike tena tukiwa chini ya usimamizi mkali, yaani hata ile nafasi ya kuongea na Asha sikuwa nayo japo wote tulikuwa pamoja.

Baada ya kumaliza tulienda kujumuishwa kwa wenzetu.
“Mmmh, asingekuwa Afande Cheusi leo kesi ingetuangukia!” niliongea nikimwambia Asha.
“Unishukuru mimi kwa kumpa mambo matamu tena nimepanga kuja kumpa zaidi ya hapo ili niteke kabisa akili yake” Asha aliongea kwa sauti ya chini bira wafungwa wenzetu kutusikia.

Zoezi la wafungwa kuhojiwa halikuishia tu kwenye selo yetu! mpaka kwenye selo zingine nako walihojiwa na kila mtu alijieleza alivyokuwa akijua yeye.

Wiki nzima ilipita kukiwa bado na ulinzi mkali ndani ya gereza, na mfungwa aliyechafua hali ya hewa ya gerezani bado haikujulikana aliwezaje kutoroka. Maisha ilibidi yaendelee na siku hiyo ulipatikana uhuru sehemu ya kuogea.

Weee! Watu walikuwa nahisia kali na kama mtu angetuona siku hiyo basi lazima angekiri kuwa ndiyo jehanamu penyewe. Karibu kila mfungwa alikuwa na mwenzake hasa mabinti, ni wanawake wachache sana waliokuwa wakiwatazama wengine, miguno ya hapa na pale ilizidi kusikika huku watu wakizidi kusagana na kusuguana kwa kutumia vingaja vyao vya mikono.
Asha alinishika chuchu zangu na kuniambia kuwa anataka anichokonoe mpaka niridhike.
“Yote sawa Asha ila kuna swali la mhimu nataka kukuuliza!”
“Utaniuliza baadae Dora” aliongea huku akizidi kuipitisha mikono kwenye mwili wangu……ITAENDELEA.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!