MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ❤❤

MAPENZI NDANI YA GEREZA (19) ❤❤
Umri………………..18+

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA……
Hisia zilipanda na mimi sikuwa mbali, wote tulianza kushikana, kila mtu alikuwa huru kumshika mwenzake anapotaka.

Niwe tu mkweli mapenzi ya jinsia moja huwezi kuyafananisha na mapenzi ya jinsia tofauti, zilikuwa ni raha za kawaida nilizokuwa nikizipata na hata upande wa mwenzangu Asha naye ilikuwa hivyo hivyo, mazingira kwetu yalitufanya tuwe na michezo hiyo ukijumlisha na wafungwa wengine waliokuwa na vifungo vya maisha gerezani ndiyo kabisaaa waliamini njia peke ya kuzuia nyege zao ni kushikana wao kwa wao.
Chonde chonde elimu ya bure kwa wasomaji! kwa wanawake wenzangu kamwe msikubali kuingia kwenye mapenzi ya jinsi moja na hata wanaume pia, hapa nasimulia yaliyonikuta tu ila simaanishi kuwa nahimiza mapenzi ya jinsi moja iyo hapana na haikubalikiiiii! sasa wewe jifanye mjuaji uingie kwenye ulimwengu huo kutoka sio vyepesi😒😒.

Basi tuliendelea kubinyana weee! mpaka pale mda ulipotamatika na kila mfungwa alitakiwa kurudi kwenye selo yake.

Tulipofika selo ndipo Asha alipoongea.
“Ulitaka kuniuliza nini Dora!?”
Nilimtazama na ndipo nilipoamua kumuuliza.
“Una mtoto!?”
Asha alikaa kimya kwa sekunde kadhaa na kuongea.
“Mtoto ndiyo kanifanya nikawa hapa gerezani!”
“Nini Asha!?”
“Ndiyo Dora, nilimuua mme wangu kwa sababu ya mtoto ndiyo maana nilikamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha!”
Nilikaa vizuri ili nimuulize ilikuwaje mpaka Asha akamuua mtoto wake.
Asha aliniambia kuwa alifanikiwa kujifungua salama na mtoto walimlea vizuri yeye pamoja na mme wake, miaka mitatu ilipita wakiwa bado pamoja.

Maisha yalibadilika ghafla na kuwa magumu na hapo ndipo mme wake alipoamua kufanya maamuzi ya kijinga bira kumshirikisha, alienda kwa mganga na kuambiwa kuwa kama atamtoa mtoto wake kafala basi maisha yatabadilika na watakuwa matajiri.

Mmewe pasipo kumshirikisha Asha alikubali kumtoa kafala mtoto wao.
Mtoto alifariki lakini mambo hayakubadilika, ugumu wa maisha uliendelea kuwa palepale na ndipo mmewe siku moja kwa mdomo wake alipomtamkia Asha mwenyewe kuwa alidanganywa na mganga na kukubali kumtoa kafala mtoto wao.
Alimuomba msahama Asha aliyeigiza kuwa amemsamehe.
Mawazo ya kijinga yalimuendesha Asha na aliamua kufanya maamuzi ya kushangaza kwa kumchoma na kisu mmewe aliyekuwa amelala mida ya usiku.

Asha alimaliza kunisimulia na siku hiyo kwa mara ya kwanza nilimuona akitoa machozi.
Nilimpa pole na baadhi ya wafungwa walikuwa wakisikiliza maongezi yetu.
“Dah, kumbe asilimia kubwa sisi wanawake tumo humu gerezani kwa sababu ya wanaume!?” mfungwa mwenzetu aliongea.
“Hujakosea na huo ndiyo ukweli, ukifatilia lazima utagundua kuwa kesi nyingi za wafungwa wa kike basi kuna wanaume nyuma!”
“Nyie mnanionaga mimi mjinga ninapowachukia wanaume sio!?” Monica naye aliongea na alionesha ana siri nzito iliyomfanya mpaka akawa gerezani japo hakuna mfungwa kati yetu aliyekuwa akijua ni kipi kilichomleta gerezani.
“Kumbe ndiyo maana unapenda kutia dole wenzako ila wewe hupendi!?”
“Acha na mimi wewe!” Monica aliongea na kubadilisha mada.

Siku hiyo ilipita na Tatizo la gerezani kazi huwa haziishi, mfungwa ni mfungwa tu na ni mara chache sana anapata mda wa kupumzika, basi siku iliyofata tulitolewa wafungwa wote tuliokuwa kwenye selo yetu pekee huku wafungwa wa selo zingine wao wakipewa nafasi ya kupumzika.
Tulipelekwa kwenye manyasi ya kutosha na kupewa mafyekeo, kila mtu alipewa eneo lake la kufyeka.
Kazi ilianza huku tukiwa tumesimamiwa na Afande wa kike.

Monica alikuwa kimya huku akifyeka haraka wakati sisi wengine tukipiga story za hapa na pale. Baada ya mda Monica alimaliza na kupumzika.
“Mwenzenu kajituma nakumaliza mapema ila nyie bado mnajivuta tu!” Afande aliongea.

Tuliamua kuongeza speed ya kufyeka ili tumalize mapema kama Monica na kumbe Afande niliyefanya naye mapenzi store alituona, alisogea mpaka sisi tulipo na kumwambia Afande.
“Afande huyu binti na shida naye mara moja naomba niondoke naye!” Afande wa kiume aliongea.
“Afande ondoka na huyu maana ameshamaliza kazi, hao wanategea sana maana mwenzao kamaliza wao bado tu!” Afande wa kike aliongea na Afande wa kiume alimtazama mfungwa aliyeambiwa aondoke naye badala ya mimi.

Alikuna kichwa chake baada ya kumuona ni Monica aliyekuwa tayari amemaliza kazi.
“Aya wewe!, nyenyuka unifate!”
Monica alinyenyuka na kuanza kumfata kama alivyomwambia.

Mimi na Asha tulitazamana na Asha kama kawaida yake alininong’oneza.
“Monica kachukua nafasi yako Dora nauhakika kabisa anaenda kufanya mapenzi na Afande!”
“Nyie mnaongea nini hapo!?”
“Nilikuwa namwambia tufanye kazi haraka Afande!?” Asha alijitetea.
“Alafu wewe unaonekana muongeaji sana wewe ndiyo maana ulihukumiwa kifungo cha maisha gerezani!”
“Sasa Afande mambo ya kifungo cha maisha yanaingiaje tena!”
“Umepata wapi nguvu ya kunikolomea mimi!?” Afande alimuuliza huku akiwa na hasira.

Niliamua kumfinya Asha ili ajishushe mbele ya Afande na asiendelee kuongeleshana naye na bahati nzuri alinielewa kwa kumuomba msamaha.
“Unabahati lasivyo kipigo kingekuhusu leo!”
“Nisamehe bure Afande!”
“Ebhu endelea na kazi huko”
Afande alimwambia Asha………ITAENDELEA

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!