MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ❤❤
Umri………………..18+
Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..
ENDELEA……
Tuliendelea na kazi ya kufyeka na baada ya kumaliza tulirudishwa selo.
Monica alikuwa bado hajarudishwa selo.
Baada ya mda Monica alirudi na kuingia selo huku akiwa ni mwenye aibu balaaa.
Mimi na Asha tulitazamana na Asha alinifinya na kuongea.
“Tayari mtu katoka kuliwa huko!”
“Nyamaza sio lazima kuongea” Nilimjibu Asha.
Monica siku hiyo alikuwa mpole balaa, na mfungwa mmoja alimkanyaga bahati mbaya lakini Monica hakuongea kitu, nahisi alikuwa akiwaza raha alizotoka kupewa, japo tulimchukulia kuwa yeye ni dume jike ila bado alikuwa na hisia kama sisi wanawake wengine.
“Hii ajabu yaani Monica nakukanyaga hata kuongea hamna!?”
“Mbona mnapenda kumchokoza Monica karibu siku!?”
“Ndiyo hapo sasa, hatujui alipopelekwa alienda kufanywa nini je?, kama alienda kuonjeshwa mbooo mwenzetu!”
Wafungwa wenzetu walikuwa wakiongea na kila mtu alikuwa akiongea lake, umbea wa hapa na pale uliendelea.
Maisha yaliendelea ndani ya gereza na Asha aliendelea kutembea na Afande Cheusi, mimi pia Afande niliyefanya naye mapenzi mara ya mwisho store niliendelea kukutana naye kimwili pindi alipokuwa akinihitaji bira kujali kama tayari ameshampitia Monica.
Siku moja Asha alikuchukuliwa na Afande Cheusi na baada ya mda alirudishwa selo, moja kwa moja alinisogelea na kuniambia.
“Afande Cheusi ameshaeleweka huko!”
“Ameelewekaje mbona sikuelewi Asha!?”
“Kakubali kunitorosha!” aliongea kwa sauti ya chini ili wafungwa wenzetu wasisikie.
“Nini Asha!?”
“Wewe elewa tu, nimempa m***ndu mpaka amekubali mwenyewe kunitorosha!”
“Mmmh inamaana umefirwa Asha!?” nilimuuliza kwa sauti ya chini na Asha alikubali kwa kutikisa kichwa.
Niliamua kusubiri kuona kama mwenzangu kweli atafanikiwa kutoroshwa lakini baadae mambo yaligeuka kwani Afande Cheusi alipunguza kabisa mazoea na Asha, yaani alimfira bure na bado hakutimiza ahadi yake.
Asha alichukia balaa baada ya Afande Cheusi kumgeuka.
Siku hiyo kama kawaida ya wafungwa tulikuwa tukilima na Afande Cheusi naye alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wakitusimamia.
Asha aliongea kwa sauti ya chini pasipo watu wengine kusikia akininong’oneza baada ya kumuona Afande Cheusi.
“Na hasira na huyu Cheusi, siku akijichanganya kuniambia afanye mapenzi na mimi lazima nimkomeshe!”
“Utamfanya nini kwani!?”
“Tavuta pumbu zake na kuzing’oa kabisa mjinga huo, alinifira bure na bado kavunja ahadi yangu” Asha aliongea kwa hasira.
“Nyie mnaongea nini hapo!?” Afande wa kike aliongea kwa sauti ya juu.
“Nilikuwa namkumbushia mstari wa kwenye bibilia Afande” Asha alizungumza maneno yake kama ilivyokawaida.
“Alafu wewe unajifanya mjanja sana, Afande…
“Namu Afande!”
Alimwita Afande mwenzake aliyesogea alipo Afande wa kike aliyetuongelesha sisi.
“Hawa!, hawatakiwi tena kukaa selo moja, kuna mipango inaonekana wako nayo hawa!” Afande wa kike alimwambia Afande wa kiume.
“Sidhani kama wanampango wowote ule sema ni marafiki tu hawa”
“Aya Afande ila mimi nimeshatoa ushauri tayari!”
Baada ya kuona wanatuongea ilibidi tukae mbalimbali na kuendelea na kazi ya kulima.
Maisha yaliendelea ya gerezani na siku moja Asha alinipa ushauri wa kumteka kihisia Afande aliyekuwa akitembea na mimi, nilikubali ushauri wake hivyo nilijikuta nikinogewa kupanua mapaja yangu kila nilipokuwa nikikutana na Afande, ilifika kipindi Afande alikuwa akimwangia ndani mbegu zake ya papuchi yangu!
Majanga yalitokea upande wangu baada ya kujisahau, minyanduo niliyokuwa nikiifanya na Afande kisiri ilinigharimu nikiwa humo humo gerezani kwani nilikuja kugundua kuwa na mimba ya Afande na mtu wa kwanza kumshirikisha alikuwa ni Asha.
“Dora inamaana ulishindwa kumwambia Afande awe anamwaga nje!?”
“Wewe sindio ulinishauri nimteke kihisia!?”
“Yote sawa ila sikukwambia umruhusu amwagie ndani, ona sasa unamimba tayari”
“Cha kufanya tuangalie namna ya kufanya”
Asha alinishauri lakini akili yangu ilikuwa mbali, mwanzoni nilikuwa na wazo la kuitoa mimba ila baadae nilipingana na wazo langu kwani sikuwa na mtoto yoyote yule na kifungo changu kilikuwa ni cha mda mrefu.
Nilimwambia Asha kuwa nitailea mimba nikiwa humo humo gerezani na alibaki akinishangaa kwa maamuzi yangu.
“Ivi una akili kweli wewe!?”
“Sina mtoto yoyote yule Asha, acha niilee mimba yangu, mda ukifika nitajifungua na mtoto atapelekwa kwa mama yangu”
“Kwanza Afande hawezi kukubali maana hii ni kesi kama ikigundulika alitembea na wewe, na utaongea nini siku taarifa zikifika kwa mkuu wa gereza!?”
“Asha mimi hayo sijui ila ninachotaka nikuilea mimba tu mwenyewe, nataka mtoto”
Maamuzi niliyapitisha na ilikuwa ngumu kuuficha ujauzito niliokuwa nao hivyo baada ya mda kila mfungwa aligundua kuwa na mimba na mbaya zaidi taarifa zilifika mpaka juu, Nilipelekwa sehemu ya mahojiano na ndipo kimbembe kingine kilipoanzia baada ya kumkuta mkuu wa gereza.
“Binti kaa kwenye hicho kiti” nilikaa kama nilivyoambiwa.
“Taarifa zako ninazo na tumbo lako linajionesha kuwa wewe ni mjamzito!” sikuongea chochote zaidi ya kuinamisha kichwa chini.
Moyoni niliombea wafanye maamuzi ya kijinga ya kuniachia huru ila ni ujinga tu niliokuwa nikiuwaza.
Mkuu wa gereza aliyatazama matiti yangu na kuongea.
“Nataka kumjua mtu aliyekutia hiyo mimba, nauhakika ni Afande!” hofu ndiyo ilizidi kuongezeka zaidi lakini baada ya kukumbuka kuwa utamu nilikuwa siupate peke yangu niliamua kumtaja mhusika aliyenipa mimba.
Mkuu wa gereza alivimba na aliwaambia asikari wakamwite asikari aliyenipa mimba.
Alifatwa na baada ya mda alifikishwa.
“Ulihamishiwa kwenye hili gereza kwa kesi ya kijinga lakini tena umefanya kosa jingine la kutembea na mfungwa na kumpa mimba!”
Afande alikaa kimya pasipo kumjibu mkuu wa gereza na ndipo mkuu wa gereza alipotoa amri ya afande apelekwe kwenye ofisi yake.
Mimi walinirudisha gerezani nikiwa na mimba yangu…..ITAENDELEA.
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU