MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) ❤❤

MAPENZI NDANI YA GEREZA (21) ❤❤
Umri………………..18+

Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi…..

ENDELEA……
Baada ya kufila selo karibu kila mfungwa alitamani kujua kile nilichoambiwa akiwemo Asha.
“Hawajaniambia chochote zaidi ya kunirudisha tu selo” niliongea kwa sauti na kila mfungwa alisikia.
“Kuwa makini hiyo mimba yako inaweza kutolewa mda wowote ule” Monica aliyekuwa kimya aliongea kama kunishauri na maneno yake niliyaweka kichwani.
“Bora mwenzetu utapata mtoto, siku na mimi akijerengesha Afande wa kiume tampanulia na nitahakikisha ananitia mimba kabisa” mfungwa mwenzetu alizungumza.

Siku iliyofata nilishangaa wakati wa kula nikiitwa nakupatiwa chakula cha kitofauti kabisa na wafungwa wenzangu, niliyakumbuka maneno ya Monica ya siku iliyopita na machale yalianza kunicheza baada ya kumuona Afande akiniangalia kila mda aliyenipatia chakula.
“Afande mimi siwezi kula hichi chakula!”
“Unapingana na maagizo tuliyopewa!?”
“Hapana sina maana hiyo ila siwezi tu kukila”
“Utakula utake usitake”
Kauli aliyoingoa ndiyo ilinifanya nishituke zaidi, tangu lini mtu akalazimishwa kula tena gerezani, na kingine pia chakula kilikuwa ni cha tofauti kidogo sio kama walichokuwa wakila wafungwa wenzangu.

Niligoma kabisa kula maana niliamini lazima kuna kitu kilichowekwa kwenye chakula ndiyo maana Afande ananilazimisha niweze kukubali kula chakula.

Basi nilienda mpaka alipo Asha nakuanza kula naye huku nikimuacha Afande akinitazama kwa hasira.
Kiukweli kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwangu kwa wakati huo, kwani nilizidi kutengeneza chuki na maasikari ndani ya gereza, kuna mda walikuwa wananipa kazi nzito makusudi tu huku wakijua kabisa na mimba.

Asha aliendelea kunitia moyo na bahati nzuri mimba yangu ilizidi kukua nikuwa gerezani humo humo mpaka pale siku ya kujifungua ilipofika, Nilijifungua mtoto wa kiume tena nikuwa selo pamoja na wafungwa wenzangu na huwezi amini mtu aliyenisaidia alikuwa ni Monica.
Ni Tukio ambalo siwezi kulisahau kamwe kwenye maisha yangu.

Nilitolewa selo nikiwa mimi na mwanangu na kupelekwa kwenye zahanati iliyondani ya gereza.

Nilikaa huko kwa mda mpaka pale hali yangu ilipotengemaa pamoja na mwanangu.
Taarifa zilipelekwa kwa mama yangu mzazi hivyo alikuja kumchukua mwanangu akiwa hivyo hivyo mdogo na kuondoka naye.

Kutokana na mimi kupata mimba nikiwa ndani ya gereza, mkuu wa gereza alikuwa tayari ameshatoa maagizo ya ulinzi kuimalisha zaidi ndani ya gereza, Asikari walikuwa wakifatana wawili wawili yaani tulikuwa hatupati nafasi ya kusimamiwa na Afande wa kiume peke yake.

Miaka ilizidi kwenda na umri wetu wengine ulizidi kusogea, bahati mbaya kwa Monica alifariki akiwa gerezani baada ya kupata tatizo la figo.
Karibu kila mfungwa alihudhunika hasa sisi tuliokuwa tukiishi naye selo moja, utani wa hapa pale wa maneno ya kila aina ya Monica kama kutiana, mchumba wangu, demu wangu na mengineyo yalibaki kama kumbukumbu kwetu.

Niliendelea na kifungo changu na michezo ya kutiana kwa kutumia vidole ndani ya gereza ilikuwa imeshapungua kwa kiasi kikubwa kutokana na usimamizi mkali uliokuwepo.
Mpaka mda wangu unafika wa kutoka gerezani sikuwa binti tena kama nilivyoingia gerezani, umri wangu ulikuwa umeshasogea na mvi kwa mbali zilikuwa kwenye kichwa changu.

Nilimuacha Asha pamoja na wafungwa wengine wakiendelea kukitumikia kifungo chake lakini sikuacha kumtia moyo Asha kuwa lazima aendelea kuwa na matumaini huwenda atapata bahati na yeye ya kutoka gerezani.

Basi nilirudi uraiani kwa mara nyingine na mguu wangu ulinipeleka mpaka nyumbani alipokuwa akiishi mama yangu.
“Shikamoo bibi!”
mtoto mdogo niliyekutana naye njiani alinisalimia.
“Kweli na mda mchache sana wa kuishi!” nilijiwazia mwenyewe baada ya kuitwa bibi.

Nilifika na kumkuta ndugu yangu mmoja na bahati nzuri alikuwa akinikumbuka, mama tayari alikuwa ameshafariki kwa wakati huo na uzuri mwanangu aliyekuwa kijana mkubwa tu alimuacha kwenye mikono salama kwa ndugu aliyekuwa akiishi naye.

Asante sana Zooper kwa kuandika story hii, naamini watu watajifunza mengi kwa kile nilichokipitia.
“Asante pia Dora kwa kupotezea mda wako kunisimulia story ya maisha yako”
“Ivi umeshapost vipande vingapi hapo!?”
“Sikumbuki idadi ni vipande vingapi nilivyopost kwenye group, ila kuna swali nahitaji kukuuliza”
“Niulize tu!”
“Huwa unaenda kumuona Asha gerezani!?”
“Hahahahaha naachaje sasa kwenda kumtembelea mke wangu na mme wangu gerezani hata kesho lazima niende kumuona, mara ya mwisho nilivyoenda unajua aliniambia nini!?”
“Hapana bibi sijui!?”
“Usiniite bibi Zooper niite Dora, nachukia watu wanaoniita bibi!”
“Lakini tayari umri wako umeshasogea!?”
“Hakuna cha umri kusogea hapa lasivyo utatoka hapa nyumbani, nitaacha kukwambia alivyoniambia Asha”
“Basi Dora yaishe niambie kilichotokea baada ya wewe kwenda kumuona Asha!?”
“Mara ya mwisho kwenda kumuona Asha gerezani aliniambia kuwa, amekumbuka sana kufanya mapenzi na mimi na hana mtu tena wa kumfariji gerezani….
“Mbona umenyamaza Dora!?”
“Aaaah samahani Zooper, nimejikuta machozi yakinitoka, natamani nifanye kosa jingeni makusudi ili tu nirudi gerezani nikaishi na Asha kwa mara nyingine tena niumalizie uzee wangu nikiwa huko”
“Unaongea nini Dora!?”
“Kesho jitahidi sana kuja mapema ili twende wote gerezani”
“Basi sawa Dora”
Dora alinyenyuka na kuingia ndani.
“Mmmmh Dora kweli alipitia mambo mengi ndani ya gereza, ngoja nipost hichi kipande cha mwisho kwanza ndiyo niondoke”

“Nadhani tayari kimeshawafikia wapendwa wangu, sina mengi zaidi ya kusema huu ndiyo mwisho wa story hii ya MAPENZI NDANI YA GEREZA

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!