Hello habari za muda huu

Karibu Famah Store tunajihusisha na masuala ya urembo hususani kwenye afya ya ngozi

Tunapatikana Arusha stendi ndogo pamoja na Sakina Silent inn

Qasil Powder yetu inafanya kazi kama ifuatavyo

🍀inakausha chunusi kwa haraka

🍀inaondoa madoa ya chunusi na mabaka mabaka

🍀inabalance mafuta usoni

🍀inaondoa wekundu wa cream

🍀inaondoa weusi uliosababishwa na cream

🍀unapata glowing skin

🍀haichubui kabisa inatumika kwa mwanaume na mwanamke

Tumia mara 4 kwa wiki au kila siku usiku kwa matokeo ya haraka

🌿 Qasil Powder – Siri ya Urembo wa Asili

Bei: 8,000 TZS | Delivery Popote Tanzania: 5,000 TZS tu!

Mawakala Wetu Wanapatikana:

📍 Dar es Salaam: Mbezi Magufuli
📍 Arusha: Stendi Ndogo
📍 Moshi: Bomang’ombe
📦 Kama hakuna wakala mkoani kwako? Usijali – tunakutumia!

👉 Tip: Unaweza pia kuwauzia wengine kama wakala! Ulizia nafasi za kuwa wakala rasmi wa Qasil Powder kwenye WhatsApp.

🚚 Huduma ya Delivery Kwa Mikoa Ambayo Haina Wakala

Tunatuma Qasil Powder popote Tanzania kwa 5,000 TZS tu.
Unapokea ndani ya siku 1–3 kulingana na eneo uliopo.

Delivery tunafanya siku ya jumamosi kwasababu inatusaidia kupata offer ya kutuma mizigo mikoani kwa 5,000 TZS tu hata kama ni mbali kwakua order zinakua nyingi

Qasil Powder ni Nini?

Qasil ni unga wa asili unaotokana na majani ya mti uitwao Gob Tree, unaopatikana kwa wingi Somalia. Umetumiwa kwa karne nyingi na wanawake kwa wanaume wa Kisomali kama njia ya asili ya kutunza ngozi. Sasa, Qasil halisi imekufikia na unaweza kuipata kwa urahisi hapa Arusha, Tanzania

🔬 Je, Ni Salama kwa Kila Mtu?

Ndiyo! Qasil haina kemikali, na haina allergen inayojulikana. Imejaribiwa na inafaa hata kwa wenye ngozi nyeti (sensitive skin), eczema, au hormonal acne.

Jinsi ya Kutumia Qasil Powder

unaweka kidogo kwenye mkono kisha unachanganya na maji ndo upake usoni kisha unaacha kama nusu saa hivi unanawa na maji na utaendelea kupaka product zako kama kawaida.

❓ Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara (FAQ)

Naweza kutumia kila siku?
➡️ Tunashauri mara 3-4 kwa wiki. Lakini haina shida kutumia kila siku kama ngozi yako ina respond vizuri.

Naweza kuchanganya na sabuni au mafuta?
➡️ Hapana, tumia kama ilivyo kwa mask. Sabuni au mafuta vinaweza kubadilisha pH yake.

Ina expiry date?
➡️ Ndiyo. Inadumu hadi miezi 12 baada ya kufunguliwa, weka sehemu kavu.

Ni ya watu wa jinsia gani?
➡️ Qasil inafaa wanawake, wanaume, na hata vijana waliobalehe!

🛍️ Agiza Sasa – Uipe ngozi yako product iliyo bora

Kwa wewe uliesumbuka na chunusi, madoa, wekundu kwenye mashavu, weusi chini ya macho na changamoto nyingine karibu sana Famh Store tukupatie Qasil Powder yako mapema


📞 Piga simu sasa au 💬 Tuma WhatsApp:

kupitia namba: 0613 971 534
 

FAMAH STORE

Tunapatikana Arusha Stendi Ndogo

Product bora kwa afya ya ngozi yako

Allrights Reserved Famah Store © 2025

error: Content is protected !!