
SEHEMU YA 44
ILIPOISHIA SEHEMU YA ALOBAINI NA TATU: “daima uwa sichanganyi mapenzi kwa wakati mmoja, uwa nataka mwanamke nilie nae ajione wakipekee” alijibu Peter, huku anasikilizia mgusano wa miili yao, msusano ambao ulifanya damu yake izidi kuchemka na kuongeza kasi, na kuzidi kunyanyua vilivyo fichika, “wow! kwahiyo na mimi utanipenda peke yangu!?” aliuliza Careen huku anaachia tabasamu la furaha, swali ilo lilimfanya Peter amtazame Careen kwa macho yanayo uliza…..Endelea…
“inamana nikweli anataka niwempenzi wake” ukweli Peter akutaka kuamini hiki kinacho mtokea, nazani ata wewe msomaji, usingeweza kuamini kulahisi hivyo, sababu kama Sada mwanamke toka kijijini ambae akuwa na lolote la kujivunia, ameweza kumkataa mbele ya watu, na kukataa uzao wake mwenyewe, alafu iweje kwa mwanamke mrembo kama huyu, ambae siyo tu wanaume wanao mtolea macho, ata wanawake wenzake, wanamshangaa kwa uzuri wake, “Peter nijibu basi, namimi utanipenda peke yangu, au utanithariti?” hapo Peter aliachia tabasamu afifu, “Careen sidhani kama una aja ya kuuliza swali kama ilo” alijibu Peter huku anainua Grass yake ya wine na kuipeleka mdomoni, kisha akabugia funda moja la wine, “mi nataka unijibu, ilinijuwe ukweli” alisisi tiza Careen huku anachukuwa Grass ya wine toka mkononi kwa Peter na kuiweka mezani, “Careen sidhani kama baada ya wewe, kuna mwanamke atakuwa amebakia nyuma yako” alisema Peter kwa sauti tulivu, “unamaana gani Peter, unaweza kunifafanulia” alisema Careen huku anapeleka mkono shingoni kwa Peter, na kuanza kuutembeza taratibu, “Careen naweza kusema kuwa, wewe unasifa zote, ambazo mwanaume yoyote angeziitaji kwa mwanamke, hivyo kwangu mimi, hakuna kitu cha kwenda kutafuta kwa mwanamke mwingine, maana wewe unakila kitu” alisema Peter, ambae aliamua kuongea hivyo, ata kama ni ndoto basi na aamke tu!.
Careen akaachia tabasamu moja pana sana, la furaha huku anasogeza mdomo wake kenye shavu la Peter, na kumkisi, kisi ambayo ilimsisimua Peter kiasi cha kutaka kutoa sauti ya msisimuo, “Peter niambie kama unanipenda basi, japo mala moja kwa usiku huu” alisema Careen kwa sauti laini ya kivivu, huku anainuka toka kwenye kochi, na kusimama mbele ya kijana wetu, ambae alikuwa ametoa macho ya mshangao, huku anajigusa kwenye shavu alilobusiwa, kitu ambacho kilimtabasamilisha Careen ambae sasa macho yake yalikuwa yame legea kwa kilevi na usingizi, “nakupenda sana Careen” ilikuwa ni sauti nzito ya taratibu, ambayo ilipenya masikioni kwa Careen na kuzidi kustawisha tabasamu usoni kwake, “asante Peter mpenzi wangu” alisema Careen huku anatembea taratibu kwenda kwenye moja kati ya makabati aliyo jengewa kwenye kuta nyeupe za nyumba hii, ya kifahari, kisha akafungua kabati lile ambalo ndani yake kulikuwa na kioo kikubwa sana ambacho mtu angeweza kujitazama kuanzia kichwani, mpaka miguuni, sambamba na meza yenye vipodose vya kila aina, iliyobeba vitoto chini yake (drow)
Peter akiwa anawaza juu ya kile kilicho mtokea, kwa siku ile, yani kuanzia kukataliwa na mwanamke mwenye makovu na madonda uso mzima, na kuja kuitwa mpenzi na mwanamke mwenye uzuri uliopitiliza, aliekuwa anamtazama kwa umakini mwanamke huyu, na kujiuliza kama ni kweli au alikuwa ndani ya ndoto ndefu, ya usingizi wa njaa ya mchana, akamwona Careen akiwa anatoa kitu pete vidoleni mwake, na kuziweka kwenye meza, Peter kesho asubuhi nitawai kazini, lakini sitokaa muda mrefu, kutakuwa na wahudumu watakao wahudumia wewe Michael” alisema Careen huku ananamalizia kutoa pete zake vidoleni, nakufwatia bangiri, “usijari Careen sizani kama ninaitaji mfanyakazi kupata huduma” alisema Peter, na kumfanya Careen ambae sasa aikuwa anafungua mkufu shingoni mwake, ageuze usowake kumtazama, “Peter wewe ni mume wangu, lazima uhudumiwe, kama mimi sipo utahudumiwa na wafanyakazi wangu” alisema Careen kwa sauti tulivu, lakini yenye msisitizo, huku anamaliza kutoa mkufu shingoni, na kulikamata gauni, hapo ndipo Peter alipo jikuta anatoa macho kwanguvu ili kuona kama kweli gauni linavuliwa mbele yake.
Nikweli alimwona Careen anatoa gauni taratibu na kubakia na nguo za ndani peke yake, na kumwezesha Peter aweze kuona kila kilichokuwa kimefichwa na gauni lile, yani Careen alikuwa na mwili mzuri ulio umbika kweli kweli, unajuwa ata Peter alijiuliza, endapo Sada angekuwa na mwili kama huu wenye ngozi angavu, na laini kama hii, ange umia kiasi gani pale alipokataliwa adharani, na kingine ambacho kilimpendeza Peter ni mkufu wa kung’aa uliovaliwa kiunoni, kwa mwanadada huyu, mfano wa shanga, ambazo mala nyingi alizionaga kwa Sada, ambae uvaa nyingi kama mkanda wa polisi, alafu nitofauti na hii ambayo inangaa na kufafanana na pete, au ule mkutu wa shingoni, japo Peter akuwa anaifahamu dhahabu lakini akuitaji mwelekezaji ili kumfanananulia kuwa ule nimkufu kiunoni kwa Careen ulikuwa wa dhahabu, japo akuuzingatia sana, kama alivyozingatia ile chupi ya Careen iliyomkaa vyema mwana dada huyo, mwenye makalio yenye ukubwa wa wastani, na mapaja yaliyo chomoza vizuri, “kazi hipo” aijisemea Peter huku anapapasa sehemu zake za siri, ambazo usimama ji wake, unaweza kusema ingeweza kubeba ndoo ya maji ya lita kumi.
Mambo aya kuishia hapo, Peter aliweza kumwona Careen kifungua mlango mwingine wakabati, na kutoa gauni jepesi sana, kisha akalivaa, na hapo pita akahisi kuwa ndio mwisho wa senema ya muda aliyokuwa anaitazama, lakini ndio kwanza kama ilikuwa inaanza upya, maana alimwona Careen anainama nakuingiza mkono ndani ya gauni lake jepesi, kisha akaanza kujitikinya tikinya, huku akishusha mkono wake, kitendo ambacho kilimshangaza Peter, ambae alikodoa macho kama anajifunza kutegua bomu, kwamba akutaka kitu ata kimoja kimpite.
Naam wakati Peter anaendelea kushangaa huku maungo yake yakizidi kusimama kwanguvu, akamwona Careen alie kuwa anaendelea kutoa kitu ndani ya gauni lake, akigeuza uso wake na kumtazama, macho yao yaka kutana, wote wakatabasamu, “unaniangalia hen!?” aliuliza kwa utani, mwanadada Careen, huku anamalizia kuutoa mkono ndani ya gauni lake ukiwa umeshikilia chupi, “kwani nivibaya?” aliuliza Peter na yeye kwa utani, “ndiyo, we uoni ni zambi kumchungulia mwenzako” alitania Careen, huku anaanza kutimia mtindo ule ule kutoa sidiria, safari mikono alipitisha kwa juu, na alipomaliza akachukuwa nguo nyingine mfano wa wakoti, lakini lisilo na vishikizo wala zip, akafunga makabati yake na kumfwata Pater pale kochini, akampatia “aya vaa hii tukalale” naam hapo Peter akajuwa sasa ni zamu yake kuonyesha senema, lakini alipofikilia kuwa anaweza kula kitumbua cha Careen usiku huu, basi akuona ganzi yoyote, akasimama na kuvua bukta na boxer, kama yupo bafuni, na kulipachika lile koti, huku Careen akiwa ametoa macho ya mshangao, kushangaa ile dudu ambayo ilisimama kama nguzo ya kufungua farasi mkorofi, “umetamani nini Peter mbona bado mapema?” aliuliza Careen, akiwa amepeleka mkono wake kwenye eneo la mbele la gauni lake jepesi, usawa wa kitumbua, na kuwa akama amekiziba, huku anafunua kidogo ile nguo ya Peter na kuitazama dudu, “imeshangaa leo maana nimuda mrefu sijawa karibu na mwanamke” alisema Peter, huku anacheka kidogo, “tena hupo na mwanamke unae mpenda kuliko wote, sindiyo hen?” aliuliza Careen huku anaitazama dudu kwa umakini, kama anataka kuchora, alafu akaigusa kidogo, kwa ncha ya kidole chake cha pili, kama vile anasikuma ishuke chini, nayo ikafanya kama ina spring, ikacheza mala kadhaa kabla ya kutulia juu, ikiwa inatazama kitovuni, “hivi aita niumiza kweli?” aliuliza Careen kwa sauti flani ya kitoto, huku ana igusa kwa mala ya pili akifanya kama mwanzo, nayo ikafanya vile vile, “mh! nguvu” alisema Careenn huku anaachia dudu ya Peter na kumshika mkono Peter na kumwongoza kitandani, “karibu kitandani Peter” alisema Careen huku akitangulia kupanda kitandani, akifwatiwa na Peter, ambae alikuwa anawaza namna ya kuanza kula kitumbua cha mwana dada yule, ambae alimsubiri Peter alipopanda kitandani, akajilaza kifuani kwake, “atimae leo nimelala na mwanaume nimpendae” alisema Careen kwa sauti ya chini, kama vile ya kunong’ona, kisha kikapita kimya kifupi, huku Peter akiwaza namna ya kuanza kula kitumbua cha mwanadada huyu, ambae mapaksasa ajaamini kama kweli yupo nae kitandani, tena utupu yani nusu uchi.
Naam zilipita dakika tano, Peter akiwa ajuwi aanzeje kuupapasa mwili wa Careen, ndipo aliposikia sauti ya mkoromo mwepesi toka kwenye midomo ya Careen, Peter akatabasamu kibwege, “kumbe amesha lala” aliwaza Peter, ambae aitumia nusu saa nzima, akiwaza kile kilicho mtokea, mpaka alipitiwa na usingizi, huku akiwa amekumbatia kiuno laini cha Careen.***
Usiku huu wa saa saba, mzee Jacob na mke wake walikuwa wamejilaza kitandani, wakati mzee Jacob anakoroma kwa kutopea kwenye usingizi lakini mke wake alikuwa macho, anawaza jambo, sijuwi alikuwa anawaza nini, maana nilisaa sasa toka wameingia kitandani, lakini akuwa amepata usingizi, na inaonekana alichokuwa anakiwaza kilimuumiza kichwa na kukosesha amani, ikiongezewa na mikoromo ya mume wake, ambayo licha ya kuizowea, lakini leo ilimchukiza, “pah!” mama Peter alishusha kofi zito kwenye paja la mumewe, “heee! heeee! yupo wapi huyo yupo wapi
aliweweseka mzee Jacob huku anainuka na kukaa kitandani, “yupo wapi nani bwana, yani unawezaje kupata usingizi, kwa aibu ambayo inakuja kututokea hiyo kesho kutwa” alisema mama Peter, kwa sauti iliyoonyesha kuchukizwa na jambo, “aibu gani we mwanamke, mbona unazeeka vibaya” alisema mzee Jacob, huku anajilaza tena kitandani, “nazeeka mimi au wewe, hivi unalizika mwanao atuletee hao wanawake walio waokota bar, tena amelala nao wawili wawili, ata wafalme wenyewe sikuizi awafanyi hivyo” alisema mama Peter, na hapo ndipo alipo mfumbua macho na masikio mzee Jacob, “hoooo! sasa nimekuelewa, kumbe alichosema Sada ni kweli hen?” alisema mzee Jacob, huku usingizi wote ukiama kichwani kwake, “ndio maana yake, alisema ameenda kwenye hotel ya kifahali, kwani wewe hukumsikia yule mama anasema kuwa ngoja apeleke simu ghorofani kuongea na Michael” alisema mama Peter, na mzee Jacob akaongezea, “alafu anatudanganya kuwa ameibiwa, hivi huyu mshenzi anataka kutufanya sisi wajinga” alisema mzee Jacob, na mke wake akacheka kile kicheko cha mguno………..
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU