
SEHEMU YA 45
ILIPOISHIA SEHEMU YA ALOBAINI NA NNE: alisema mzee Jacob, huku usingizi wote ukiama kichwani kwake, “ndio maana yake, alisema ameenda kwenye hotel ya kifahali, kwani wewe hukumsikia yule mama anasema kuwa ngoja apeleke simu ghorofani kuongea na Michael” alisema mama Peter, na mzee Jacob akaongezea, “alafu anatudanganya kuwa ameibiwa, hivi huyu mshenzi anataka kutufanya sisi wajinga” alisema mzee Jacob, na mke wake akacheka kile kicheko cha mguno………..Endelea…
“yani anataka aje atukombe viela vyetu, akaendelee na starehe zake” alisema mama Peter, huku akiongeza, “yani nimefikilia weeeee nikaona aiwezekani, yani mtu atoke jana tu! aibiwe kila kitu, mala wapo kwenye ghorofa mala apige simu na mwanamke, mala aseme sijuwi tunakuja kuwatembelee, wakatembelee mabudi yao hayo” alisema mama Peter, kwa hasira, nazani kama Peter angekuwepo karibu pengine angezabwa kofi, “ebu sikia mama Peter, wala usiwe na wasi wasi, yeye si anapake, pasi huyo mgeni ata mfikishia kwake, na sisi tutaenda kumsalimia huko” alisema mzee Jacob, lakini mama Peter akapinga wazo ilo, “kama utaenda kumsalimia basi ni wewe, maana mimi nitavuruga kila kitu, sitakagi ujinga mimi, si unanijuwa vizuri, yani anataka wakina mzee Nyoni wapate cha kuongea” alisema mama Peter, ambae sasa aligeuka na kujilaza ubavu ubavu, nakama siyo kama tunavyo fikilia?” aliuliza mzee Jacob, huku anavuta shuka na kufunika mpaka kifuani, “hiyo ndoto sahau, mwanamke gani ata mchangamkia mwanaume ambae ametoka kijijini, hana mbele wala nyuma” alisema mama Peter, ambae nikama alisha funga mjadara, “lakini mke wangu, unzani Peter anaweza kuwa amebadirika kiasi hicho, ebu mwache kwanza aje kisha tuone itakuwaje, maana dawa ya kwanza ya tatizo ni kulijuwa” alisema mzee Jacob, na mke wake akakubari kishingo upande, “kwali mwene” ndivyo alivyosema mama Peter, akiwa na maana ya kwamba sijuwi mwenyewe.****
Naam siku ya pili, ni siku ya ijumaa, mji wasongea ulikuwa umechangamka kama kawaida yake, pilika pilika za magari binafsi ya serkali nay ale ya jumuhiya, yani mabasi madogo ya abiria, yalionekana barabarani sambamba na waendesha pikipiki na waenda kwa miguu, wakielekea makazini mashuleni, na kwenye shuguri mbali mbali za kibiashara, ndio muda mbao kamanda wa upelelezi wa makosa ya jinai bwana Cletus Mlashani, aliokuwa anashuka toka kwenye gari aina ya Toyota V8, mbele ya jengo kubwa la la ghorofa tatu, la makao makuu ya polisi mkoa wa Ruvuma, na kuufwata mlango wa jengo ilo huku akifwatiwa na msaidizi wake, ambae alikuwa abeba mkoba wake mweusi.
SP Mlashani alipandisha ngazi kwa haraka akiwa na msaidizi wake, huku akipishana na askari wengine waliokuwa wanampigia salout kila walipo mwona, na kutokana na kuwa alikuwa amevalia nguo nadhifu za kiraia akuitikia kwa kupiga salout baada yake alibana mikono ikiwa ni ishala ya kuitikia, na ile alipofika ofisini kwake, iliyopo ghorofa ya pili, akakutana na majarida mengi mezani, ikiwa ni report za doria za usiku, kutokana na uchapa kazi wake, akusubiri ata sekunde ipete akaanza kuyakagua moja baada ya jingine, ukweli hakukuwa na tukio baya na kutisha, zaidi ya matukio ya kawaida ambayo ukutana na nayo kila siku, kama vile matukio ya ajari za boda boda, watu kupigana na mengineyo, kama hayo, baada ya hapo akaitisha jarida la uchunguzi wa matukio ya uingizaji wa madwa ya kulevya, kesi ambayo anaichunguza kwa muda mrefu sana, na kushindwa kupata ufumbuzi, huku taarifa toka mikoa ya iringa na mbeya zikidai kuwa songea ndiyo chanzo kikubwa cha bangi inayo patika ukanda huo.***
Naam tukiaenda kijijini Mwanamonga, siku hii, ilianza kwa shamla shamla za kawaida kwa kipindi hiki cha mavuno, saa moja za asubuhi tayari kijiji kilikuwa kimesha changamka sana, kiasi cha kuzania kuwa ni saa nne za asubuhi, watu walionekana mitaani, ungesema jana awakulewa, wapo waliokuwa wameamka na kiasi flani cha pombe vichwani mwao, wapo walioamka vizuri pasipo kiasi chochote cha pombe, wapo alio amka huku vichwa vina wauma kutokana na hiyo hiyo hiyo pombe, wapo walio amka huku viuno vikiwauma, nikutokana na kazi kupeana dudu kwa mufa mrefu usiku, maana msimu huu ndio msimu ambao wanawake wengi ujipatia ujauzito kwa wingi, ilo ubainika miezi mitatu minne baadae wanapo kutana kwenye zahanati ya kijiji, wanapoanza klinik, na ndio wakati ambao, wanawake wawili au watatu uandika jina la baba mmoja wa watoto wao, na ndio wakati ambao unagundua utofauti wa Peter na vijana wengine wakijijini hapa.
Nyumbani kwa mzee Jacob pia tayari walisha amka, na wakati mama Peter akiwa anaandaa kifungua kinywa cha supu ya kuku, huku mzee Jacob mwenyewe akiwa anatazama mazingira ya nyumba yake, ni kawaida yake kufanya hivyo, kila siku, na ukizingatia jana awakushinda hapa nyumbani, muda wote alikuwa anawaza juu ya kijana wake Peter, akilinganisha na hisia zao juu ya kile alichokifanya kijana huyo, mwenye sifa za kipekee pale kijijini, “lakini inawezekanaje Peter akawa hivyo?” alijiuliza mzee Jacob, huku anaweka sawa mbao iliyochomoza kwenye banda la kuku, “kama nikweli basi ata kuwa amelogwa” aliwaza mzee Jacob, huku anamaliza kurekebosha banda na kuzunguka upande wajikoni, ambako mke wake alikuwa anaendelea kuandaa kifungua kinywa, huku kichwani mwake mzee Jacob, anawaza na kukumbuka jinsi jana usiku alivyopokea simu kwa mbwembwe, na kushangilia, namba ya zaidi majirani na wanakijiji wenzao, walikuwa wanaufahamu ujio wa Peter na huyo mwanamke, “mama Peter, unajuwa bado nawaza yale tuliyo yaongea usiku” alisema mzee Jacob, kwa sauti ya upole na tulivu, sauti ambayo mala zote, uitumia kumbembelezea mke wake pale anapoitaji kuungwa mkono, katika jambo flani, “ata mimi ninafikilia itakuwaje, maana kila mtu anajuwa kuwa Peter anakuja na mwanamke” alisema mama Peter, na hapo ndipo unapoweza kuona kuwa wote walikuwa wanawaza jambo moja, “umeona hen, inabidi tumpokee tu, alafu tumsikilize lengo lake ni nini na huyu mwanamke” alishauri mzee Jacob, wazo ambalo lilirekebishwa na mke wake, “yanini kusubiri, wakifika tu, tunamwita Peter ndani tunaongea nae kisirisiri, kwamba amwondoe mgeni wake kabla aijagundulika kama ame mtoa bar” alisema mama Peter, “lakini mke wangu, tusiamini moja kwa moja maneno ya yule kibaka, kwamba Peter amelewa, maana ata Michael amesema kuwa baba yake amempa nguo na viatu vyao mwanamke, unazani ninani kama siyo Sada” alisema mzee Jacob, sizani kama kwa hali ile Peter anaweza kumpa Sada begi lake, yani vile alivyo, nab ado amwamini, sema huyu mwanamke ameona kuwa huku kunaela nyingi, sasa ameamua kuzifwata” alisema mama Peter, kwa sauti yenye jadhba, na hapo mzee Jacob akatabasamu kidogo, “sawa chamsingi tusubiri hiyo kesho tuone” alisema mzee Jacob, huku anaingia ndani, kuchukuwa simu ili ikachajiwe.***
Wakwanza kuamka alikuwa ni Careen, ambae alimshwa na kitu kigumu mfano wa kipisi cha muhogo au ndizi mbichi, kilicho kitata kwenye kinena chake ambacho kilikuwa wazi kabisa baada ya gauni lake kupanda juu kabisa usawa wa kiuno, na kuacha mazingira ya chini yakiwa wazi, kiasi cha kupulizwa na upepo, akapeleka mkono chini na kushika kitu hicho, ili kukitoa.
Naam kwanza alikutana na kitu chenye jotoridi la nguvu, ndipo alipofumbua macho, na kukutana na kitu ambacho alisha sahau kama kilitokea jana usiku, kwamba aliingia kitandani na mwanaume ambae mala kwa mala alitamani kuwa nae, na sasa Careen mwenyewe alikuwa amelala juu yake, juu ya kifua kipana cha mwanaume huyu, ambae bado alikuwa ametopea usingizini, akaajiinua kidogo na kuchungulia dudu ya Peter, ambayo nikama ilikuwa imeachiwa toka kwenye mkandamizo, maana ilijiinua na kubakia imesimama wima, Careen akajipapa sehemu zake siri, kuona kama kuna dalili ya kuingiliwa, ilikuwa ni kazi nyepesi tu, maana kama angeingiliwa angesikia maumivu mala tu alipo jigusa, lakini hakukuwa na na dalili hiyo, “mh! nimemtesa kaka wawatu, yani amevumilia” alijisemea kimoyo moyo Careen, huku anajilaza tena kifuani kwa Peter, lakini safari hii akiwa anamtazama usoni, alifanya hivyo kwa sakika kadhaa, kabla ya kuinuka na kuelekea bafuni kuoga, akimwacha Peter bado amelala.****
Saa moja na nusu za asubuhi, kijijini Mwanamonga, palikuwa panazidi kuchangamka, wanakijiji wakifurahia mavuno, kwa kupata kifungua kinywa, kutembeleana majumbani na kuulizana habari za toka jana, walikoachana kwenye pombe, au kikao chochote cha urafiki, ungewaona wanao toka madukani kununua vitafunwa, au kitu chochote, ambacho, kingeonekana ni anasa, kiuliwa nje ya msimu wa mavuno, maana sasa mtu angeweza kununua mkate mkubwa kwaajili ya chai ya mtu mmoja, na angekula silesi moja mnne au tano, kisha angeacha mkate ule ukiliwa na panya, au sisimizi, nakesho angenunua mwingine, saa huyu anaafhadhari, maana unge mkuta dada flani, amenunua kilo mbili au tatu, za unga wa ngano, na kutengeneza chapatti au maandazi ya unga wote, kwaajili ya watu wwili tu, yani yeye na mume wake.
Lakini hali hiyo ilikuwa tofauti nyumbani kwa mzee Nyoni, ambako mpaka mida hii, yeye na mke wake, walikuwa bado wapo kitandani, siyo kwamba walikuwa wamelala, hapana wawili awa walikuwa macho kabisaaa, wakikodolea panya wanao fukuzana kutafuta mende, ambao ndip chakula pekee ambacho walikuwa wanaweza kukipata ndani ya nyumba hii, ambayo kupikwa chakula ni nadla sana, nasiyo kwamba walikuwa wamejipumzisha baada ya kushiba kifungua kinywa, siyo kwali, ila ukweli ni kwamba wawili awa hawakuwa na aja ya kuamka mapema, sababu hawakuwa na kitu cha kufanya, ikiwa pamoja na kifungua kinywa, hivyo kila siku walilazimika kupika saa tano za asubuhi, wakisha maliza kula wangeingia mtaani kusaka pombe za kudowea, ambako pengine wange dowea na chakula, maana moja ya vitu ambavyo wangoni na makabila mengine ya kusini, kitu wana zingatia katika ulevi wao, ni chakula, usinge shangaa kuingia bar, unanunua bia tano, unapewa nyongeza ya ugari na dagaa toka ziwa nyasa, ukinunua kopo kadhaa za ulanzi, ungepewa ugari kwa mboga ya maji ya maboga, wao uita pitiku.
Pale kitandani awakukaa kiasala asala, walikuwa katka mjadara mkubwa sana, “lazima twende tukamwone Sada mjini, nazan ata kuwa amesha tajilika ila, muda wa kuja kututembelea ndio anakosa, kutokana na kazi nyingi” alisema mzee Nyoni, na mke wake akadakia, “alafu mtoto wetu msomi kuliko watoto wote wa hapa kijijini, ata wale wakina John, walioenda songea Namtumbo kusoma form five, awamfikii, maana yeye alifauru darasa la saba pke yake hapa kijijini, na pia alisoma shule ya mjini, miaka minne” alisema mama Sada………..
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU