
SEASON 2: KIAPO CHA MASIKINI (46)

SEHEMU YA 46
ILIPOISHIA SEHEMU YA ALOBAINI NA TANO : Pale kitandani awakukaa kiasala asala, walikuwa katka mjadara mkubwa sana, “lazima twende tukamwone Sada mjini, nazan ata kuwa amesha tajilika ila, muda wa kuja kututembelea ndio anakosa, kutokana na kazi nyingi” alisema mzee Nyoni, na mke wake akadakia, “alafu mtoto wetu msomi kuliko watoto wote wa hapa kijijini, ata wale wakina John, walioenda songea Namtumbo kusoma form five, awamfikii, maana yeye alifauru darasa la saba pke yake hapa kijijini, na pia alisoma shule ya mjini, miaka minne” alisema mama Sada………..Endelea… ambae ata mimi sikuelewa anamaanisha nini, kwamba binti yake alie feri kidato cha nne amemzidi elimu mwenzie anae soma kidato cha tano, “tena huko aliko ndiko kuna wasomi wenzake kibao, yani lazima atakuwa na kazi nzuri na maisha mazuri” alisema mzee Nyoni, akimuunga mkono mke wake, “yani mimi nakuambia, tukienda mjini, siku yakurudi sasa, watu watajaa hapa nyumbani, kila mtu anataka awe wakwanza kuongea na sisi, watatamani wajuwe habari za mjini, siunajuwa watu wa mwanamonga walivyo wambea?” alisema mama Sada, huku anatamani kama hiyo safari ingeanza ata muda huo huo, lakini tatizo nikwamba, hawakuwa na fedha yoyote ambayo ingeweza kuwafikisha ata namtumbo, “ngoja baadae tufanye mpango wakuazima nauri, ilitwende mjini, si tutawalipa tukirudi” alisema mzee Nyoni, kwa sauti ya kibabe.****
Mahenge kwenye nyumba aliyopanga Emmanuel Msengi, yani Pengo, tayari yeye na mpenzi wake Queen au Sada, kama anavyo itwa na watu toka Mwanamonga, tayari walikuwa wamesha amka, na kilicho waamsha mida hii na njaa walizokuwa wanazisikia matumboni mwao na maumivu afifu ya makovu yao, ambayo sasa yalisha tengeneza weusi flani, ikiwa ni ishala ya kuanza kupona, na vimbe ambazo sasa zilishaanza kunywea, ikiwa ni maana ya kupungua, “sasa Queen, siunaela hapo ukafanye mpango wa supu?” aliuliza Emma, ambae bado alikuwa kitandani, huku anamtazama Sada, aliekuwa anainuka toka kitandani, kama alivyozaliwa, “nime bakia na buku mbili, tu, siunajuwa jana nilinunua chakula cha mchana” alijibu Sada, huku anatembea kuifwata kanga yake iliyokuwa sakafuni, mitachache toka kitandani, “dah! ujuwe jana tumenywea nyumbani lakini nime tumia kama Alobaini hivi” alisema Emma kwa kulalamika, “lakini sikuna akiba kidogo” aliuliza Sada, huku anainama na kuokota kanga yake, huku kuinama kwake kukisababisha muachamo wa kitumbua chake kuwa mkubwa sana, ingependeza kama nywele angekuwa anazitoa kwa wakati, sasa mwonekano wake ulikuwa ni mbaya sana, kitumbua kilionekana kama kidevu wmigizaji flani wakihindi wa miaka ya nyuma, “hipo lakini sasa inabidi nisilale sana, maana nikiendelea kukaa kitandani ata boss atonielewa, lazima ataninyima mkwanja” alisema Emma huku anainuka na kuifwata suruali yake akatoa noti ya elfu kumi, “alafu Queen kuna kitu inabidi unisaidie, lakini ni siri kubwa sana” alisema Emma huku anampatia Sada ile elfu kumi, “mimi tena, baby, we mwenyewe si unanijuwa” alijinadi Sada, yani Queen huku anaweka ile noti mezani na kuchukuwa kopo la maji, lililokatwa nanusu, huku ndani yake kukiwa na kipande kidogo cha sababu, chenye wembamba wa ulimi wa mtoto mchanga, wanao juwa Kiswahili wanaita kichelema, na kuliweka lile kopo ndani ya ndoo yenye maji, “nataka unitafutie yule fala wako, nijuwe yupo wapi, maana inabidi afanyiwe kitu ambacho, ato kisahau, mana ameniatibia mipango yangu mingi sana, mpaka boss ananiona sifai” alisema Emma, huku anamtazama Sada ambae sasa alikuwa anasogea kwenye meza na ndoo yake mkononi, “wala usiwe na wasi wasi, hiyo tu, tunampata sasa hivi, tena simu yake si hiyo hapo” alisema Sada, ambae siku zote uwa anaitaji uaminifu na kupendwa zaidi na Emma, huko anaweka ndoo chini, nakuchukuwa simu pembeni ya kopo lenye miswaki na dawa ya meno, “yes, tena itakuwa vizuri sana, si utampigia baba yake kumwuliza?” alisema Emma kionyesha kufurahishwa na wazo la Queen, “siyo nitampigia, nampigia sasa hivi” alisema Sada, huku ana iwasha simu, aliyo iba toka kwa Peter, nakama ujuwavyo simu za aina hii uchukuwa sekunde kama tatu tu, kushukuwa dakika moja kudaka network, na kuweza kuonyesha majina, “ndio maana nakupenda Queen, ebu fanya mambo tujuwe huyu mshenzi yupo wapi” alisema Emma huku anamtazama Sada, aliekuwa anabofya simu kuitafuta namba ya simu ya baba yake Peter, yani mkwe wake wazamani, “yani we tulia tu, ngoja niongee na baba yake. lakizima atasema kama amesha rudi kijijini” alisema Queen, huku anaweka simu sikioni, ambapo ilimweleza kuwa simu unayo piga, aipatikani” “nazani chaji imemwishia, siunajuwa kijijini kuchaji mpaka madukani, ninge kuwa na namba ya mtu mwingine pale kijijini ningempiga” alisema Sada, huku anaweka simu mezani, na kuchukuwa mswaki, “sikia Queen ngoja nimpigia Janja aje akuchukue uende kwa yule mwanamke anaeuza chakula Msogeze Pub, ukachukue namba ya mtu yoyote ili umpigie” alisema Emmanuel huku anachukuwa simu yake na kupiga simu ya Janja.***
Naam Peter, alishtuka toka usingizini, na kufumbua macho yeka taratibu, huku kichwani mwake akivuta kumbu kumbu, kwa kila kilichotokea jana usiku, kati yake na mwanadada Careen, kwamba walikunywa pombe na kupanda kitandani kulala, Peter akumwona Careen pale kitandani, hapo akajiuliza kama ilikuwa ni ndoto au ilitokea kweli kuwa alilala kitanda kimoja na Careen, akageuza kichwa chake kutazama kama kweli alikuwa chumbani kwa mwanadada huyu, na ile anageuza kichwa kutazama akamwona Careen akiwa amesimama mbele ya kioo chake kibwa kile kilichokuwepo kabatini, alikuwa amevalia gauni refu la blue, na viatu vyeupe ya mikanda vyenye visigino virefu, alikuwa anamaliza kujiweka sawa kwa vipodose, niwazi alikuwa anataka kuelekea kazini, hapo Peter akakumbuka kitu, na kujichungulia ndani ya shuka, ambapo akuwa amevaa nguo ya ndani, zaidi ya lile koti, kubwa la kulalia, hapo Peter akafumba macho kwa haraka, “aibu hii, yani kukaribishwa tu nime lala chumbani kwake” aliwaza Peter, huku anajifanya kuwa amelala fofofo, maana niwazi asingeweza kuyakabiri macho ya Careen, ukichukulia bado alikuwa ajavaa nguo yoyote, na dudu yake ilikuwa imesimama kweli kweli, na mkojo umembana kweli kweli.
Yap! Careen alimaliza kujilemba, na kujipodoa mbele ya kioo chake, huku muda wote akiwa anatabasamu mala kwa mala, niwazi ungeweza kubashiri kilichokuwa kina mtabasamulisha, ungehisi kuwa ni kwakummnasa kijana ambae anampenda sana, kijana ambae anamchukulia kama mwanaume shujaa kwake, ila ukweli nakuambia unge kosea, “mh! inaogopesha, yani huyu kaka siyo mhuni, sijuwi ingekuwaje kama angekuwa na tabia mbaya” aliwaza Careen, huku anageuka na kumtazama mgeni wake, ambae mpaka sasa amesha kuwa kama mpenzi wake, ambae alikuwa bado amelala, “mh! yani nimelala juu yake mpaka asubuhi” aliwaza Careen huku aachia tabasamu laini, wakati huo anafungua kabato moja wapo na kutoa mkoba wake na kufunga tena kabati, na kuanza kuelekea uliko mlango, lakini baada ya kuufikia mlango na kushika kitasa, akasita ghafla, “sijuwi bado amesimamisha” aliwaza Careen, huku amesimama anatazama kitandani alipolala mgeni wake, sijuwi alipata wazo wagani, “ngoja kwanza” alijisema Careen kimoyo moyo na kuachia kitasa, kisha akaanza kurudi ndani akielekea usawa wakitandani, na alipo fika kitandani akaweka mkba chini, kisha taratibu akalikamata shuka alilojifunika pita, alie kuwa amelala fofofo, kama alivyo onekana mbele ya Careen, ………..

