SEASON 2: KIAPO CHA MASIKINI (48)

SEHEMU YA 48

ILIPOISHIA SEHEMU YA ALOBAINI NA SABA : Hapo ndipo shilingi iliposimama, kichwa akitaki, mwenge unakataa, Peter alibakia anatazama ile chem chem, huku amefunika viganja vyake sehemu zambele za dudu yake, ambayo ilikuwa imesimama kweli kweli, “uuuuuwiiiiiijamani choo kikowapi? ukisikia kuzalilika ndo huku” aliongea peke yake Peter, huku amebana miguu, na wakati huo huo akasikia mlango wa chumba kile unagonjwa toka nje, yani ile hodi ilikuwa kama imeusukuma mkojo, na sasa ulikuwa unakunja kwakasi, tayari kutoka nje. ………..Endelea…
Yani ile hodi ilikuwa kama imeusukuma mkojo, na sasa ulikuwa unakunja kwakasi, tayari kutoka nje.Peter akaona isiwe shida akaelekeza bomba lake kwenye kile kisima, sehemu ambayo aliamini pengine, inaweza kumtunzia siri.****
baada ya kikao kirefu cha kitandani, bwana na bibi Nyoni, wakaamua kujiinua kitandani ili waanze kufanya mchakato, wa kuoga na kutengeneza ugari na mboga ya majani ya maboga, yani pitiku, lakini wakati mama Sada, ambae toka jana mida kama hii akuwa amegusa maji mwili mwake, anajiinua toka kitandani mala akasikia hodi toka kwenye mlango wa mbele wa nyumba yao, wote wawili wakatazamana kama kwa macho ya wasi wasi, ungesema wanaofia mdeni wao, “hodiiiii mama Sada” ilisikika sauti ya kike ambayo wawili awa, waliitambia haraka sana, kuwa ni nisauti ya MAMA Kachiki, mwanamke mmoja jilani yao, mwenye umri kama wa binti yao Sada, ambae mala nyingi amekuwa kimbilio lao pale wanapokuwa na shida ya kitu flani, kama vile chumvi mafuta navinginevyo.
Hapo mzee Nyoni akamtazama tena mke wake, ambae pia alikuwa anamtazama , wakawa kama vile wanauliza ana taka nini huyo?, baada ya kosa jibu, maana walipovuta kumbuku mbuku kama kunakitu anawadai, wakaona hakuna, mzee Nyoni akamwonyeshea mkewake ishala ya kwamba aende akamsikilize, “abee mwanangu karibu” aliitikia mama Sada huku, anajitoa kitandani na kufwata korido la kutokea nje, lililotawaliwa na giza kwa ukosefu wa dirisha eneo ilo, zaidi wanga aififu, ulioingia kwa uchache, kupitia kwenye nyufa za kuta za zaifu za nyumba hii, paipo kujari miguu yake ilichakaa kwavumbi la jana, kutwanzima, ungesema anatoka shambani, au ni kipisi cha mti kimetolewa chini ya udongo.
Mzee Nyoni akiwa chumbani anajiinua taratibu, aliweza kusikia sauti ya mke wake na huyo mama Kachiki, wakisalimia na mwisho mama Kachiki akaanza kuongea, akieleza kilicho mleta, “Sada amepiga simu kuna maelekezo anataka kuwapa ilimkachukuwe mzigo ameutuma toka dar” hayo yalikiuwa melezo ya mama Kachiki, kusikia hivyo mzee Nyoni akatembea kwa haraka huku akijikwaa kwenye makolo kolo yaliyozagaa kwenye korido, lenye mwanga afifu, akitoka nje kusikiliza kile ambacho kilielezwa na mama Makichiki jilani yao, “hoooo! kweli Sada ametukumbuka leo” aliuliza mama alishangilia mama Sada kwa sauti ya shangwe na kelele za hali ya juu, ndiyo wacha nimpigie umsikie” alisema mama Kachiki huku anapiga ile namba ya simu aliyopigiwa na Sada, muda mfupi uliopita, bahati nzuri simu aikuita sana ikapokelewa, na mama Kachiki akaweka loud speeker, “hallow mama Kachiki vipi ume wapata” ilisikika sauti ya Sada toka upande wapili wa simu, “huuuuuuu jamani mwananguuuu” alipiga kelele mama Sada, kama vile mzaramo kampata mwari mvunja ungo, “mimi mwanao mama, mambo vipi” alisikika Sada, kwa sauti iliyo changamka, poa tu wanasemaje mjini huko” aliuliza mama Sada, kwa sauti iliyojaa shangwe, huku mzee Nyoni akiwa kimya kabisa, “sasa mama huku sina salio la kutosha, ila kuna kitu nataka uniambie, vipi Peter amerudi huko kijijini” aliuliza Sada, na hapo mama Kachili alie kuwa akiwasikiliza akatoa macho ya mshangao, maana akuelewa elewa kilicho kuwa kina endelea, “we Sada, kwani ujakutana nae huko mjini, mbona yupo huko tokea juzi?” aliuliza mama Sada kwa mshangao, huku mzee Nyoni na jilani mama Kachiki wakisikiliza kwa umakini, kilichoongelewa na Sada, “nilikutana nae na mimi ndie nilie wapokea, ila leo ameondoka bila kuaga” ndio maana nataka kujuwa kama amesha fika huko” alisema Sada, na hapo mama Sada na mzee Nyoni wakatazamana, kwa mshangao, wa furaha, kisha walipukwa na mshangao, “weeeee sada kumbe ghorofa wanalo jidai wamelala ninyumbani kwako?” aliuliza mama Sada kwa sauti iliyojaa furaha na rafudhi ya kindendeule “ghor… ghorofa ndiyo…. ndi …..ndiyo, ni nyumbani kwangu, alilala hapa nyumbani, nilimwokota huko mtaani aliibiwa na wanawanawake wauni, ametoka hapa hana mbele wala nyuma, ata nauri sijuwi ametoa wapi” alisema Sada, japo kwa sauti ya kubabaika, na kudalili za kushangaa, lakini aliwafanya wazazi wake wote wawili, walipuke kwa mshangao, “we sada wewe, uogopi kulala juu?” safari aliuliza mzee Nyoni, kwa sauti yake iliyojaa shangwe na rafudhi ya kindendeule, “nimesha zowea, mbona huku nivitu vyakwaida tu” alijibu Sada, ambae pia aliwaeleza wazazi wake, kuwa anaitaji kupata taarifa za Peter, “maana nataka nimkabidhi mizigo yenu, itakuwa vizuri mkimpeleleza baba yake awaambie Peter yupo wapi, alafu mta mwambia mama Kachiki anipigie ilimniambie” alisema Sada, na huo ukawa mpango, hivyo wakakubariana kufanya hivyo, na kwamba watampa tia jibu haraka iwezekanavyo, ili nawao wapate mizgo yao.
Hakika ilikuwa ni furaha kubwa sana kwa wazazi awa wawili, kufahamu kuwa binti yao anamaisha mazuri, “mbona watatukoma mwaka huu” alisema mama Sada, kwa furaha, huku mama Kachiki alie kuwa anaondoka zake, akiwasikia kwambali wawili awa wakiongea, “huyo bwege ameona wivu mpaka anaondoka bila kuaga” alisema mzee Nyoni na wote wakacheka kwanguvu, wakimalizia na kamsemo kwa “mbona mwaka huu watajamba” wakiwa wenye furaha wawili awa walianza kutembea kuelekea upande barabarani, wakati huo walisha sahau kuoga, .****
Naam Baada ya kumaliza kuuwaga mkojo kwenye kile kisima cha ndani, Peter akachungulia ndani, nakuona jinsi alivyo badiri rangi ya maji meupe ndani ya kisima kile, na kuwa rangi ya bia, “dah! leo sijuwi nafanyaje, au nimchukue Michael niondoke kabla Careen ajarudi” aliwaza Peter, huku akiona kuwa wazo ilo siyo jema kwake, maana ndio kwanza ameanza urafiki na mwanamke huyo mrembo, ambae licha ya kulala nae kitanda kimoja, na Careen kuchezea dudu yake kwa kidole kama alivyofwanya jana usiku, lakini bado ajaamini kama ni ndoto au ni kweli.
Wakati anaendelea kuwaza afanyeje ili kusafisha yale maji, akasikia mlango unafunguliwa, ni mlango wa chumba, “naumbuka sasa” alisema Peter huku anatoka chooni haraka, ilikukwepa ushaidi, “salaam mgeni wetu” alisalimia mwanadada mrembo, alie kuwa mguo kadhaa mkononi mwake, zilizokunjwa vyema kabisa, “salama tu dada yangu, nilikuwa nashangaa shangaa kidogo” alisema Peter, alie valia lile guo ala kulalia, huku akionekana kujishtukia, “karibu hewe mgeni mcheshi, Michael sasa anamaliza kuoga utamkuta kwenye ukumbini kwaajili ya kifungua kinywa” alisema yule mwanamke, ambae aliweka zile ngyo kitandani, na kutaka kutoka nje, “hooo samahani dada, hivi chooni niwapi?” aliuliza Peter, akiona kuwa ni vyema akajuwa choo kilipo iliwakati mwingine asiumbuke, hapo Peter akamwona yule mwanamke, mhudumu anamtazama kwa mshangao mkubwa sana, kisha akamwonyesha kwa mkono kwenye mlango ule ule aliotokea yeye, “huku si bafuni, mimi nataka choo” alisema Peter akihisi kuwa awakuwa wameelewana na mwanadada yule, “samahani mgeni wetu mwema, naomba nikuonyeshe” alisema yule mwanamke ambae niwazi alihisi kuwa Peter akuwa ameelewa matumizi ya choo kile, katika chumba cha Careen, ambacho ata wao licha ya kuishi miaka yote, lakini awakuwai kukitumia, maana ilikuwa ni malufuku, ata kuingia ilikuwa ni kwakazi maalumu.
Peter akamfwata yule mwanamke alie ongoza chooni, na kuanza kumwelekeza kila kitu, mpaka kabati dogo la kuwekea sababu na vifaa vya kujisugulia na sabuni, pia akamwelekeza namna ya kujaza maji kwenye bwa dogo la kuogea, pia akamwonyeshe choo, ambapo alimwelekeza na namna ya kuflash, endapo akimaliza kujisaidia, baada ya hapo yule mwanamke akamaliza kumwelekeza akaondoka zake akimwacha Peter anajaza maji kwenye bwana dogo, kwakutumia mabomba maalumu, huku mabomba yakiwa yenye koki za rangi ya dhahabu, mpaka yale masinki pia koki zilikuwa za rangi ya dhahabu, ilipendeza kwakeli.****
Mama na baba Sada, ambao siyo kupika chakula, pia atakuoga walisahau, walianza kulanda mitaani huku wakimsimamisha kila walie mjuwa, ata kijana mdogo, “ujitaidi uwe kama Sada, mwenzio anaishi kwenye ghorofa, ona amempokea Peter mwishoe amemtoroka, wakati mwenzie alikuwa anamsaidia yeye analeta habari za wivu” hiyo ilikuwa ni kama kutoa ushauri kwa kupitia mfano bora wa Sadam sasa ngoja wakutane na mtu wanae mfahamu, au sehemu yenye ulanzi ndio ungechoka sasa, “jamani kuna watu wamekosa shukurani, yani Sada ameamua kumsaidia mtoto wao, alafu anakimbia bila aya kuaga, na huku amemlisha amempashemu nzuri ya kulala, tena ghorofani, sijuwi angeaga angepungukiwa nini, maana wenzie alitaka kumwagiza muzgo yetu, pengine na nauri angemlipia, maana nasikia mtu mwenyewe aliibiwa kila kitu kwaajili ya ushamba wake” maneno ayo waliongea kwa kupokezana, yani mtu na mke wake, huku wasikilizaji wakishangaa kwa ile habari mpya, maana waliyo ipata jana nikwamba licha ya kulala kwenye ghorofa, lakini Peter alipanga kuja kijijini na rafiki yake wakike alie mpokea huko mjini, lakini awakuwa na lakufanya, zaidi ya kusikiliza maelezo toka kwa mzee nyoni na mkewake, “karibu tutaenda mjini, tukirudi huko kuna watu watanywea maji chooni” alisema mama Sada, akirusha kijembe kwa mzee Jacob na mke wake ambao awakuwepo maali pale, awakujuwa kuwa, kati ya watu walio waeleza mambo yale, wapo ambao nikama wachezaji viungo, kwenye mpira wa miguu, ambao awawezi kukaa na mpira, wao wakiupata wanatoa pasi.****
Careen akiwa ndani ya ofisi yake, muda wote alionekana kuwa katika mwonekano tofauti na wasiku za nyuma, alionekana kuwa na furaha kwa kiasi flani, uongeaji wake, utazamaji, ata utoaji wa maelekezo, alikuwa anaongea kwa upole, pasipo ukauzu wake wasikuzote, “Solo, hakikisha unaandaa nguo nzuri na viztu, kwaaajili ya baba ntu mzima, pia nguo na viatu kwaajili mama mtumzia, usisahau hear ring, na bangiri, mafuta na ivivingine vizuri kwaajili ya zawadi, weka kwenye begi zuri sana” alisema Careen kwasauti ya upole, huku anachukuwa simu na kupiga kwa yaya Glory, ambapo aikuita sana ikapokelewa, “yaya vipi ameshaamka?” aliuliza Careen wakati huo Solo alishatoka ofisini, “ameshaamka, lakini bado alikuwa ajatoka chumbani nimemtuma Cerine akamtazame” alijibu yaya Glory, huku akicheka kidogo, hapo nikama Careen alishtuka kidogo, “yaya kwajinsi nilivyo mwacha Peter kutakuwa na usalama kweli” aliuiza kwa sauti ya mshtuko Careen. ………..

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata