KIAPO CHA MASIKINI (54)

SEHEMU YA 54

ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA TATU: alisema Peter huku anapeleka mkono wake kwenye kiuno cha mwana dada huyu, na kugusa ule mkufu wa dhahabu, na kama vile alikuwa anaukagua, akatembeza kiganja chake cha mkono, na kufanya kama vile anautembeza ule mkufu, na kufanya Careen ashtuke kwa mtekenyo alioupata, “kam… kama unanipenda mbona ujaniomba kuniowa” alisema Careen, kwa sauti ya kivuvu iliyolegea, ambae alishikwa na msisimko kubwa na mtamu, huku akielewa maana ya yeye kuvaa ule mkufu na kazi yake kwenye kiuno chake……..Endelea…
Maana siyo kwa raha aliyo ipata hapo, “nitakuambia nikijipanga kimaisha” alijibu Peter, huku anaendelea kutembeza mkono wake kwenye kiuno cha mwana dada wa dhahabu, “kujipanga kivipi, unaitaji nini ili uniowe?” aliuliza Careen huku anashika dudu ya Peter, na kuibinya kidogo, kama anajaribu kuona kuwa inaweza kubonyezeka, mfano wa mtu anae chagua ndizi au tango, huku kiunochake kikiwa akitulii kwa kusheza cheza, kutokana na mtekenyo wa ule mkufu, ambao ulikuwa unachezewa na Peter, kiunoni mwake.

“tunaitaji kuwa na maisha yetu, uwezi kutegemea maisha ya wazazi wako” alisema Peter, ambae sasa tunaweza kufahamu kuwa, alizania kuwa mali anazomiliki Careen ni zawazazi wake, “Peter kila unacho kiona ni cha kwangu, ebu tuyaache hayo mimi nataka uniombe kuniowa” alisema Careen ambae sasa aliweza kuna mkono wa Peter ukizidi kuwa mchokozi, maana ulishuka toka kiunoni, na kuamia makalioni, ambako aukutulia ulianza kupapasa taratibu, “inamaana hii ni juhudi yako mwenyewe?, kwani wazazi wako hapo wapi?” aliuliza Peter, ambae kwa haraka haraka aliwaza kuwa mwanamke mzuri na tajiri kama huyu, anamluhusu amshike shike kama hivi, ingekuwaje kama Sada, yani mama Michael ndie angekuwa na uwezo wa kifedha kama huyu, “mama na baba wapo nyumbani, #Mbogo_Land” alisema Careen, huku pumzi zake zikianza kuwa nzito.

Hapo Peter akatoa macho ya mshangao, “weeee! inamaana wewe kwenu ni Mbogo land?” aliuliza Peter kwa sauti iliyojaa mshangao, huku anasitisha kupapasa makalio ya Careen, na kumtazama usoni, kwa macho ya mshangao, hapo Careen aka acha kuchezea dudu ya Peter na kumtazama kijana huyu usoni, “huuu kwahiyo Peter unataka kusema mimi ulikuwa unifahamu, mbona watu wengi sana wanajuwa kuwa ninatokea mbogo land, ata watu wa humu ndani na wafanyakazi wangu wa dukani wanatokea huko” alisema Careen kwa sauti ya kumshangaa Peter, akiwa ameinua usowake na kumtazama Peter usoni, “ndiyo maana hupo tofauti na wanawake wengine, nimzuri kuanzia moyoni mpaka usoni” alisema Peter kwa sauti flani, tulivu, yemye kumaanisha, akimaliza kwa kubusu Careen kwenye paji la uso, hapo Careen anacheka kivivu,

“uzuri wangu ni kwaajili yako Peter” alisema Careen kwa sauti flani nyororo, ambayo ilionyesha wazi raha anayo jisikia mschana huyu, huku anaishika tena dudu ya Peter na kuendelea kuichezea, ile dudu, ambayo ilikuwa imesimama kwa matamanio ndani ya bukta, kiasi cha kuanza kutoa vile vimate mate vya kuchafua nguo (boxer), siunajuwa Peter nae alikuwa na gundi za mwaka mzima, ni toka pale alipokimbiwa na mzazi mwenzie yani Sada.

Peter aka laza tena kiganja cha mkono wake kwenye kiuno cha Careen, na sasa akiwa ana tembeza kuanzia kiunoni hapo na ushusha mpaka kwenye hips, hapo kikafwatia kimya kifupi, huku wakiendelea kupapa sana, sehemu zao nyeti na kuzidi kuleteana misisimko na mala moja moja, wakikumbuka grass zao wine, na sasa walikuwa wakinyweshana, na kukisiana mala kwa mala, ata wakijikuta wanaanza kunyonya ndimi zao kama mama njiwa na makinda yake.

Naam wawili awa walijikuta wanafika mbali sana kwenye mchezo huo, wakupapasana, ata maongezi yalisha pungua, kila mmoja akisikilizia kil anacho kifanya mwenzie kwenye mwili wake, maana Peter, aliamua kufanya yake aliyofundishwa jandoni, na kusababisha kila mmoja wao kupandwa na hamu ya kunyanduana, huku kijiofu kikisumbua moyo wa Careen, ambae akuwai kuluhusu mdudu kuongia shimoni, “Peter mwenzio natamani uingize, lakini naogopa” alisema Careen kwa sauti ya chini iliyozidiwa na mihemko ya kutamani dudu.

Ukweli nikama Peter akuwa ameelewa juu ya kile alicho kiongea Careen, ila aliona tu kuwa ni mbwe mbwe za kimapenzi, ya alihisi kuwa Careen anadeka, lakini mwenzie alikuwa anamaanisha kuwa akuwai kuingiziwa dudu kitumbuani, “usijari nitafanya taratibu” alisema Peter, huku ambae sasa aliona wazi dalili ya kula kitumbua cha mrembo huyu, “basi nenda pale kwenye kabati lenye kioo, kuna mafuta yapo kwenye chupa, alinipa yaya, amesema ukipaka sito sikia kuumiza” alisema Careen, akimaanisha kuwa Peter akachukue mafuta flani ambayo nchini kwao ni maalumu kwaajili ya kutumia waschana wanao ingia siku ya kwanza kwenye mapenzi, asa upatikana na kwenye loyal family, yani familia za kifalme au zilizopo karibu na mfalme, (soma umekosea lakini tamu), Peter nae akainuka huku dudu kiwa umetangulia mbele, kama ile fimbo ya kuogozea gwaride la jeshi, na kuelekea kwenye ile meza aliyo ambiwa.

Yah! nimeona sivyema kuchafuriana boxer, kwa heshima ya Peter na Careen, naona tuache hapo, ila unapaswa kujuwa kilicho tokea baada ya hapo, ambacho mimi na yaya Glory, ambae muda mwingi alikuwa mlangoni anasikiliza kinacho endelea atukushuhudia kwa macho.

Ila kiukweli mida ya saa sita za usiku, Careen aliamsha watu wote waliokuwa wamelala nyumba kubwa, kwa kelele alizokuwa anazipiga, “huuuuu, ingiza taratibuuuuu Peter, mwenzio naumia” na hapo ingefwata minong’ono, alafu sekunde chache ugesikia, “toa toa toa kwanza, inaumaaaa” yaya Glory ndie alie fanya kazi ya kuwarudisha walinzi wa Careen ya wakina Jasmin, kwamba kinachoendelea ni swala la wanandoa.

Kwa ushuhuda wa yaya Gory, ni kwamba baada ya kelele za uchungu zilizo dumu dakika kama kumi nzima, kika fwatia kimya kifupi na baadae miguno ya utamu, ambayo ilidumu kwa muda mfupi na kutoweka, alafu ika jirudia tena baada ya dakika kumi na tano, na kudumu kwa dakika ishilini na tano, na yaya Glory, akiwa akiwa pale mlangoni mida ya saa saba, akasikia Careen akiomba poo, “nipumzike mpenzi wangu, tutafanya kesho”.**
Siku iliyofuata ilikuwa ni Jumamosi, siku ambayo kila mwanakijiji wa Mwanamonga uiona kama siku ya siku kuu, maana shangwe uwa nyingi sana, zikiambatana na sherehe ndogo ndogo za majamanda, yani hasiri ya sherehe hizo niujilani mwema, kwamaana marafiki utembeleana, huku wamebeba zawadi mbali mbali, kwenye furushi (jamanda kama wangoni wanavyoita), hapo pange nyweka pombe na kuliwa chakula kizuri sana, kama sherehe nyingine zilivyo.
Kama ilivyo shangwe kwa wanakijiji wengine, ata mzee Nyoni na mke wake pia, japo mida hii ya saa mbili bado walikuwa kitandani, sababu awakuweza kuamka mapema, kutokana na kukosa la kufanya, lakini walikuwa na furaha nyingi sana, kama wanakijiji wengine, kwanza jumamosi ni siku ya furaha, pili walikuwa na furaha kwa kuwa binti yao amefanikiwa kimaisha, maana kumiliki ghorofa siyo mchezo, “hivi leo majamanda kwanani?” aliuliza mzee Nyoni, huku yeye na mke wake wakiwa wamelala chali wakitazama matundu na mianya iliyoonekana kwa uwazi kwenye paa la nyumba yao, “leo kwa mzee Mangolingoli karibu na kwakina Jacob” alisema mama Sada, kwa sauti yenye ujazo mkubwa wa furaha, “yes tena itakuwa vizuri, nitatamba sana, mpaka bwana Jacob ajute kujitangazia mtoto wake amelala kwenye ghorofa” alisema mzee Nyoni kwa sauti ya kupania, “alafu ujitaidi kujuwa Peter yupo wapi, ili Sada atuletee zawadi zetu” alisema mama Sada, ambae sasa aliinuka toka kwenye kitanda, na kujiandaa kutoka nje, akabandike maji ya kuoga, maana siku ya pili sasa awakuwa wameoga, “nikibandika maji, nitaenda kwa mama Kachiki, kuongea na Sada” alisema mama Sada, “sawa msalimie sana, mwulize zawadi zetu zitakuja lini, asahau na simu” alisema mzee Nyoni.

Ukiachana na wakina mzee Nyoni, na wanakijiji wengine, nyumbani kwa mzee Jacob ilikuwa ni tofauti kabisa, nikama baada ya kuamka ile asubuhi na pombe kuwaisha, walibakia na fadhaa kubwa sana, kwa zile habari ambazo jana walizipuuzia kwa msaada wa pombe, japo walikuwa wamesha amka na kuanza kufanya majukumu yao ya kila siku, mke wake yani mama Peter, akiwa ameenda yumba ya jilani wao watatu toka pale kwao, kwenye maandalizi ya mapishi ya vyakula vitakavyo liwa kwenye sherehe ya majamanda

mzee Jacob yeye alikuwa anatazama mazingira na usalama wa nyumba, huku muda wote wawili awa wakiwa wanawaza juu ya maneno waliyo yasikia jana, kuwa Peter, alisaidiwa na Sada, na kisha kutoroka siku ya pili, na kilicho wauma zaidi, ni kwamba Simu ya Peter, ilisikilizwa na watu wengi, na kwajinsi anavykujyuwa kijiji kile, lazima karibua kijiji kizima kija juwa kuwa Peter alilala kwenye ghorofa la Sada, na pengine mwanamke alie sema anakuja nae ni mwaname wa hovyo hovyo, ambae alimwokota kule bar, kama walivyoambiwa na Sada.

Mzee Jacob alifikilia kuhusu kundi la watu litakalo kuwepo nyumba ya tatu kwa mzee Mangolingoli, ambae kwake kuna sherehe ya majamanda,a mbayo mpaka mida hii tayari dalili zauwepo wa sherehe hiyo zilishaonyesha, kwa mwonekano wa wakina mama waliokuwa wanapika,

Ukweli hawakuwa na lakuifanya zaidi kusubiri kitakacho tokea na aibu watakayo ipata, aibu ambayo mke wake tayari alikuwa ameshaanza kuipata kule alikuwa ameenda, maana tayari wanawake wenzake walishaanza kunong’onezana, “kweli dunia adaa, kweli Peter wakwenda kuibiwa na wanawake fedha zake, si bora ange mrudia Sada, mwenzie nasikia anamajumba makubwa makubwa huko mjini” hayo ndiyo maongezi yaliyokuwa yanamzunguka mama Peter, ambae alizidi kukosa amani, ilifikia wakati akiangalaiwa na mtu tu, anahisi moyoni anamsema juu ya jambo lile, ukweli alikuwa katika hali ya unyonge sana, kiasi cha kuonekana wazi wazi usoni mwake, ata baadhi ya watu walianza kumwonea huruma, lakini wengine wachache, walizidi kufurahi kwa kuona hali ile, maana kuna waliokuwa wanachukizwa na sifa walizokuwa wanapata wazazi awa wa Peter, juu ya ufanisi wa kijana wao huyo, japo na wao walikuwa wanatoa sifa njema za kijana huyo lakini mioyoni walikuwa wanaumia na sifa hizo, usikute vijana wao walikuwa wamekosa sifa kama za Peter, huku wengine wakishindwa wawe upande hupi, maana kwa maisha waliyonayo mzee Nuoni na mke wake, usingeweza kukubari kuwa binti yao yupo mjini anamaisha mazuri kiasi wanacho sema wazee wale wawili…..……..

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!