
SEHEMU YA 74
ILIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA TATU: Ata walipofika nyumbani kwa mzee Jacob, ambae walimkuta akiwa na wazee wenzake wake kwa waume, wakinywa ulanzi, na kutazma video, wakamwomba, mzee Jacob na mke wake, waongee pembeni kidogo…. songa nayo….
Nao wakakubari na kusogea pembeni huku wakiwa na wazee wengine kama wakina mzee Ngongi, Njogopa nwengine wachache wakiwa na wakinamama watu wazima, likiwa ni ombi la mzee Nyoni mwenyewe, ambao walikaa upande wa nyuma wa nyumba na kuendelea kunywa pombe zao, huku kila mmoja akiwa anajiuliza kwamba mzee Nyoni amekuja na jipya gani toka mjini, kwa hasilimia kubwa walitegemea matambo na majasifu, toka kwa wazee awa ambao, wametoka mjini, ambako walienda kukutana na binti yao, hivyo watu awa waliiandaa kwa kujiu mahambilizi ua maneno, pale wazee awa watakapoanza kuongea kwa majigambo na kashfa, “Kwanza samahani sana ndugu zangu, kwa kuwakatiza kutazama video” hiyo ndivyo alivyoanza mzee Nyoni, kwa sauti tulivu ya upole, tofauti na walivyo mzowea.
Hakika kila mmoja alishangaa, kwa kile walicho kiona, japo watu awa walikuwa wameewa kwa kiasi flani, lakini wote wakatega masikio kwa umakini sana, kusikiliza kile walicho itiwa, na mzee Nyoni pamoja na mke wake.
Mzee Nyoni akaanza kusimilia mkasa mzima, kuanzia siku walipo pigiwa simu, na Sada akiwaaeleza kuwa Peter ameondoka nyumbani kwake bila kuaga, na wao wakiamini kuwa ghorofa ambayo wakina Peter walifikia ni ya binti yao, na yeye akiwaaminisha hivyo na kuwa ana maisha mazuri, huku akiwadanya kuwa anawaletea vitu flani kwaajili ya matumizi ale nyumbani kwao.
Mzee Nyoni alieleza kuwa walipoona, Sada ajaleta chochote na wao kuamia kwenda mjini, na pia alisimulia kila kitu kilichotokea mjini, na kwamba hakukuwa na mtu anae mfahamu Sada, ambae waliaminikuwa ni tajiri na anauwezo mkubwa, hivyo ata kuwa anafahamika na watu wengi, lakini walimtafuta kwa muda mrefu bila mafanikio, mpaka walipo fanikiwa kumpata Sada, ambae aliwakataa katakata, ya kwamba hawajuwi kabisa.
Mzee Nyoni alieleza ile hadithi ya kuhudhunisha, mpaka walipopata msaada toka kwa Peter, ambae aliwapatia fedha walizo nunulia vitu walivyo rudi navyo, pia aliwapatia nauri na fedha walizo fika nazo nyumbani ambazo waliitaji kulipia madeni na nyinggine kufanya kuwa fedha za matumizi, mwisho mzee Nyoni, licha ya kuomba msamaha, lakini pia aliahidi kubadirika kitabia.
Hakika ilikuwa hadithi ya kuhudhunisha, nakusisimua kilamtu, japo walikuwa wamelewa, lakini waliginswa na ile hadithi ya kusikitisha, “mzee Nyoni sisi tuliyaona hayo, na kiukweli ata mtu alie kuwa nae alituogopesha, tulishindwa kueleza kwa mtu yoyote, maana ingeonekana tuna msingizia Sada, kutokana na maneno ambayo ulikuwa unaongea wewe na mkewako, lakini nivyema kama umejionea mwenyewe, naamini kuwa utakuwa umejifunza jambo” alisema mzee Jacob, ambae ia alishilikiana na wazee wengine kumshauri mzee Nyoni na mke wake, wajitaidi kufanya kazi, za kilimo ambazo ndio tegemeo kubwa pale kijijini, nao waka ahidi kufanya hivyo.**
Yap, mida hii, Sada alikuwa amesha maliza kubarua chake cha kunyanduliwa, na kupewa elfu kumi na tano, akamwachia Rose elfu tano, na yeye akaondoka na elfu kumi, huku akitumi mia tano ka nauri, ya kufikia nyumbani kwao mahenge, alitia kwenye grocer moja, ambako alichukuwa chupa ndogo ya pombe katli, na kwenda nayo nyumbani kwao, ambako alikuta bado Emma ajarudi, nae akaingia bafuni kuoga, kisha akajilaza kitandani, akiwa ameshiba wali na maharage.
Pale kitandani alianza kunywa pombe yake taratibu, huku anawaza juu ya mwonekano mpya wa Michael, kitu ambacho Sada alikifikiria ni kwamba, Peter ambae alikuwa na fedha alizo ziifadhi sehemu, ameamua kupanga chumba, na kuanza maisha mapya, huku huku mjini, “nitampataje huyu zoba, lazima atakuwa amesha nunu simu mpya” aliwaza Sada, ambae alikuwa amejilaza kitandani, “alafu Emma akisikia kuwa Peter bado yupo hapa mjini, atafurahi sana” alisema Sada ambae akujuwa kama Emma anafahamu juu ya uwepo wa Peter haa mjini, tena yeye alikuwa anafahamu mpaka sehemu ambayo peter, anaweza kuwa anapatikana, “safari hii nikimpata ndiyo ata nijuwa mimi ninani, mimi ndie Queen, mrembo wa Mwanamonga, mtoto wa mzee Nyoni, mwanamke wakwanza kufika mjini” alijisemea Sada, kwa majigambo, huku anafungua kile kichupa na kusogeza mdomoni, alafu anagugumia mafunda mawili, huku anakunja sura kwa uchungu.
Naam mpaka saa sita za usiku, Sada ana maliza kunywa pombe yake na kujiegesha kitandani, ambapo auchukuwa muda mrefu akapitiwa na usingizi, na kuanza kukoroma muda mfupi tu, toka alipo jiegesha kitanadani. bado Emma alikuwa ajarudi nyumbani.***
Naam wakati Sada akiwa chumbani kwake, anakoroma usingizini, mpenzi wake Emma alikuwa bar ya msogeze, anapata kinywaji pamoja na wakina Janja Dullah na Sebastian, huku wakiongea na kupanga jinsi watakavyo mkomesha Peter, mala baada ya kumtia mikononi mwao, walikumbushana na kuelezana jinsi kila mmoja kwa wakati wake alivyopokea kipigo toka kwa kijana huyo wa shamba, ambae ghafla amebadirika na kuanza kunawili huku akiwa jilani na mwanamke mrembo Careen, ambae anamtambulisha kama mume wake bila kusita.
Kijijini wazazi wa pande zote mbili, yani mzee Nyoni na mke wake na mzee Jacob na mke wake, pamoja na majilani zao wengine kule kijijini, bado walikuwa wanaendelea kunywa pombe na kuongea kwa pamoja wakicheka na kufurahi, usingefikilia kuwa, kwa mezi kadhaa na kama siyo mwaka familia hizi mbili zilikuwa na uhasama wakiadui.
Usiku huu huu, RCO aliekuwa ametulia kitandani pale nyumbani kwake, akisikiliza mikoromo myepesi ya mke na mjukuu wake, alikuwa katika mawazo mazito sana, ya namna atakavyomnasa mtu alie jaribu kumteka mjukuu wake, ambae kwa kiasi kikubwa alikuwa anamhisi Kalonga, swali likaja ni vipi atamwambatanisha na ushaidi ili amkamate Kalonga, “na nikimkatmata huyu huyu mshenzi, nahakikisha anazea jela, moja kwa moja, na kumaliza ili swala lake la dawa za kulevya, huku wakati huo akipanga kumtumia Peter, ilikuwatambua watu waliojaribu kumteka Jasmin.
Wakati RCO Mlashani anawaza na kupanga hayo, huku Kalonga na Mwanauta walikuwa Kuchile hotel, wanapanga namna ya kumpata Peter na kumpotezea jela, ambako watafanya utaratibu wa kummaliza kabisa kijana huyu, alie vuruga mipango yao mala kadhaa, “yani kuhusu kumpata ilo ondoa shaka, mpaka sasa tumesha juwa anaishi kwa Careen” alisema OCD Mwanauta kwa kujiamini, “nidokeze kidogo mchongo utakayokuwa” alisema Kalonga, huku anachukuwa Grass ya pombe kali toka mezani, na kuisogeza mdomoni, “picha litakuwa la kibabe sana, jamaa anapewa kesi kesho mapema sana, alafu anaanza kusakwa, anapokuja kupatikana, tayari unakuwa unajiandaa kwa kuja kuroa hasira zako, huku tuna tengeneza mpango wa kifo chake cha kugoma kula na kufa kwa njaa, lakini tayari atakuwa amecomwa sindano ya sumu, ambayo itakuwa inamuuwa taratibu” alifafanua Mwanauta, na hapo Kalonga akacheka kibosi, “hiyo itakuwa ni ujumbe tosha kwa Mlashani, ambae atajuwa kuwa, mimi siyo mtu wakuchezewa” alijinadi Kalonga, “sasa je yeye sianajifanya amemeza maji ya bendera, sasa atakutana na wachoma bendera” alisema Mwanauta nae akainua grass yake, kisha wakagongesha kwa furaha, wakiamini kuwa, huo ni mpango bora, katika miango ambayo waliwai kuipanga.
Upande wa Peter na Careen nako, mambo yalikuwa ni moto moto, akuna alie pata usingizi, wakati Careen anawaza kuhusu jinsi atakavyo fika nyumbani kwao, na kumtamburisha Peter kwa baba na mama yake, pamoja na marafiki zake, huku akiwaza jinsi atakapoenda Gorden Empire, (makazi ya mfalme Elvis) maana nilazima ataalikwa maali hapo hii ni kutokana na urafiki kubwa walionao kati ya Careen na king Elvis.
Peter yeye alikuwa aawaza yakwake, ukiachilia kwenda nchi ambayo alikuwa anaisikiaga na kutamani kufika, nchi ambayo ingekuwa ni nchi yake ya kwanza kufika tofauti na hii Tanzania, nchi aliyo zaliwa yeye na vizazi vyao, pia aliwaza sana kuhusu usafiri, ambao wanaenda kuutumia iyo kesho saa nne za asubuhi, yani usafiri wa ndege, kiukweli akuwai kufikilia kwamba hipo siku ata panda ndege, lakini sasa licha ya kuwa na shahuku ya kupanda ndege, ila pia kwa kiasi flani alikuwa anaogopa sana, kutumia usafiri huo, ambao unatembea hangani, bila kushikilia kitu chochote, “dah! itakuwaje kama ikiishiwa mafuta” aliwaza kimya kimya, huku akijaribu kuuta picha, akiwashika Michael na Careen na kujaribu kuruka nao, lakini mawazo yake yana ingiliwa na imani ya kuwa, mbona siku zote anaziona ndege zikiruka lakini ajawai kuona ikianguka.
“Careen vipi tukiondoka mapema na gari, ilituweze kujionea mazingira na mandhari ya nchi yenu?” aliuliza Peter, ikiwa ni janja ya kukwepa ndege, “ni wazo zuri Peter, lakini tutafanya hiyo wakati wakurudi, maana tayari ndege imesha andaliwa na kesho saa nne tunaondoka” alijibu Careen aie kuwa amejilaza kifua ni kwa Peter ni baada ya kumaliza mzunguko wa pili wa kunyanduana….……..
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU