
SEHEMU YA 75
ILIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA NNE: “Careen vipi tukiondoka mapema na gari, ilituweze kujionea mazingira na mandhari ya nchi yenu?” aliuliza Peter, ikiwa ni janja ya kukwepa ndege, “ni wazo zuri Peter, lakini tutafanya hiyo wakati wakurudi, maana tayari ndege imesha andaliwa na kesho saa nne tunaondoka” alijibu Careen aie kuwa amejilaza kifua ni kwa Peter ni baada ya kumaliza mzunguko wa pili wa kunyanduana….……..Endelea…
Jibu ilo lilimkatisha tamaa Peter, ambae kiukweli hofu yake juu ya kupanda ndege ilikuwa kubwa kuliko hamu ya kufika #mbogo_land, “kwani aiwezekani kurudisha nauri yetu alafu baada yake tuka nunue mafuta tuondoke kwa gari?” aliuliza Peter, ambae kiukweli alikuwa anashinda kusema ukweli, “hii siyo ndege ya abiria, ni ndege binafsi wala usiwe na wasi wasi” alijibu Careen alie lala kifua kwa Peter, huku ana peleka mkono kweeneo la njia ya kuelekea kileleni, ya Peter, na kulaza kiganja cha mkono wake huo juu ya mhogo wa kiangazi ambao tofauti na wakati mwingine sasa ulikuwa umelegea, “unajuwa kwanini na kuambia hivi sababu Michael ni muoga sana wa kupanda ndege, yani anaweza kulia mpaka akazimia” alisema Peter, huku akiusikilizia mkono wa Careen uliokuwa una papasa dudu yake, ambayo ilikuwa imetulia kutokana na kutawaliwa na mawazo ya uoga,
“mh! Peter jamani, kwani Michael amekuambia lini kama anaogopa kupanda ndege” aliuliza Careen kwa namna ya kuto kukubaria na Peter, “sijasema anaogopa, nimesema ata kuwa anaogopa, siunajuwa kama mtu ajawai kupanda ndege, alafu ghafla tu unampandisha ndege” alisema Peter na hapo Careen, aka tabasami kidogo, “wala usiwe na wasi wasi, yeye atuto mweleza kama ndege itaruka, tutaingia ndani, kama ataanza kuogopa, tuta mwambia kuwa, ndege itatembea tu alafu tuta shuka, maana itapo kuwa inaruka, atojuwa kabisaa” alisema Careen, huku anaendelea kupapasa dudu ya Peter, ambayo ilimshangaza kwa kuto kushtuka ata kidogo, “dah! sasa kwa mfano naachache kujuwa kama imepaa…… yani ataachaje kujuwa kama imepaa, watu si wanasema kuwa ukiwa juu wakati mwingine ndege uwa inatikisika kama inapita barabarani” aliuliza Peter kwa sauti iliyo pingana na wazo la Careen.
Ukweli Careen akagundua kitu, akainua uso wake na kumtazama Peter kwa sekunde kadhaa, “kumbe ndio maana aisimami” alisema Careen, huku anashindwa kujizuwia kucheka, aliachia kicheko kikubwa, ambacho kilimfanya Peter nae ajicheke kidogo “unaogopa mwenyewe, alafu unamsingizia mtoto” alisema Careen huku akiendelea kucheka, na Peter nae akajikuta anaendelea kumsaidia mwanamke wake kucheka “jamani Peter unatakiwa kuzowea kusafiri na ndege, maana hivi karibu utakuwa ukisafiria sana ndege” alisema Careen huku anainuka toka kitandani na kuelekea chooni, ambako sasa kilisikika kicheko cha chini.
Naam Careen alipotoka bafuni na kupanda tena kitandani, akajilaza kifuani kwa Peter ambapo kwa sasa ndio kama mto wake, kisha akaongea kwa sauti tulivu, “na kuhakikishia Peter mala utakapoingia ndani ya ndege tu, utasahau kama uliwai kuogopa kuppanda ndege” alisema Careen, ambae sasa alikuwa anapeleka tena mkono ikulu kwaajili ya kuliamsha dudu.**
Akiwa bado anasaka usingizi kitandani kweke, RCO Mlashani alijiuliza maswali kadhaa juu ya mambo yanavyoenda, aliwaza sana tukio la kunusurika kutekwa kwa mjukuu wake, “hivi yule kijana alie msaidia ninani aswa, na ameanza amewezaje kuwa karibu na kumshawishi Careen waweze kuishi pamoja, na hayo yameanza tokea lini, mbona Careen hakuwa na mwanaume hapo awali?” hayo ni baadhi ya maswali ambayo Mlashani, alijiuliza, juu ya Peter, “kwanza Jasmin na alikutana na binti yake wakazi, na kijana wake, wakacheza pamoja, kisha awakatoka nje ambako mtu toka nyuma yao akamchukuwa Jasmin na kuanza kukimbia nae kwenye gari kisha Peter akaoambana kumsaidia, “mbona kama ni mchezo wa kupangwa” aliwaza RCO, ambae mwisho akapata wazo la kumweka karibu zaidi bwana Peter, ili kumfahamu zaidi.**
Naam siku yapili, mida ya saa mbili asubuhi, ndiyo mida ambayo Emma aliekuwa amerudi saa saba za usiku, alitoka nyumbani, na gari lake Toyota IST, na kutokomea zake mtaani, akimfwata Janja, iliwaendelee na hukusanyaji wa fedha za mauzo, ambazo jana yake, awakuweza kufanya hivyo kutokana na kushinda bar wakinywa pombe.
Nandio muda ambao Sada nae alipoondoka kuelekea mtaani kumsaka Peter, huku kichwani mwake akipania kumkomba ela zote alizo salia nazo, maana alikuwa anaamini kuwa, Peter licha ya kuwa na zile fedha alizo mwibia, lakini pia alikuwa amejihifadia kiasi flani cha fedha ambacho sasa anatumia, huku akiamini pia, yule mwanamke alie mkuta na Michael siyo mwangalizi kama alivyosema, ila alikuwa ni mwanamke wa Peter ambae pia alikuwa na mtoto wakike, na sasa wameamua kuishi pamoja kwenye nyumba ya kipanga, au kwa mwanamke huyo, “huyo mwanamke anampendea viela yake tu! akiishiwa lazima atamtimua” aliwaza Sada ambae sasa alikuwa anaingia kati kati ya mji, lkini licha ya yote akujuwa aanze wapi kumtafuta Peter. ***
Saa nne za asubuhi, tayari bwana Mlashani alikuwa amesha toka kwenye kikao cha kila juma tatu, kinachofanyika kwenye ofisi ya RPC, ambacho kiliuzuliwa na staff officer na wakuu waidara wote na wakuu wavitengo katika idara mbali mbali.
Mlashani akiwa na kiu kubwa, ya kumnasa mtu anejaribu kutishia usalama wake na familia yake, alielekea ofisini, ambako ile anakaa tu kwenye kiti chake, akapokea simu toka kituo cha polisi wilaya, “shikamoo afande” alisalimia mpigaji wa simu, ambae bila shaka alikuwa ni OCD Mwanauta, “marahaba OCD, vipi kuna lolote?” aliuliza RCO, ambae kikawaida uwa anapokea taarifa toka kwa OC CID, na siyo OCD, “afande, nime lazimika kukupigia, ili kukujulisha jambo flani, maana nimeona kama vile lina kuhusu, maana ni jukumu lako la kuchunguza dawa za kulevya” alisema OC Mwanauta kwa sauti kama ya chini flani, ikionyesa kama alikuwa ofisini, basi akutaka ata secretary wake nje ya ofisi asisikie anachoongea, “ok! nipe habari Mwanauta” alisema RCO kwa sauti yenye mchecheto, “afande kuna taarifa za siri toka kwa raia mwema, kuwa kuna kijana mmoja hatari sana kwa usafirishaji na uuzaji wa dawa za kulevya, leo anatarajia kuingiza dawa hizo, na huyo ndie alietengeneza mpango mzima, wa utekaji wa mkujukuu wako, bado atujapata taarifa kamili, juu ya sehemu anayo patikana na mpaka ambao ataingizia dawa zake, tukizipata taarifa kamili, tutakujulisha” alisema mwanauta huku uso wa RCO, ukionekana kukunjuka kwa tabasamu, akiamini kuwa mtu anae msaka kwa udi na uvumba leo anatiwa nguvuni.
Lakini katika mawazo yake mzee Mlashani alikuwa anmfikilia kijana Peter ambae kwakifupi nikama amekuja ghafla maishani mwake, “lakini afande naomba usimwambie mtu juu ya mpango huu, maana tunaitaji zoezi ili liwe la siri, ilitumkamate huyu mpuuzi” alisema Mwanauta na hapo RCO akafurahi sana, kumpata mtu mwenye mawazo kama yake, kuwa kuna watu wanavujisha taarifa za kikazi, “hapo unasema neno moja zuri sana Mwanauta, fanya iwe siri” alisema RCO ambae alizania kuwa, yeye ndie wakwanza na wamwisho kupewa taarifa ile.**
Kumbe basi, mala tu Mwanauta alipo kata simu, akapiga kwa RPC alikuwa karibu na staff officer, wanajadiri jambo, na kumweleza kama alivyo mweleza RCO, “sawa Mwanauta, hakikisheni mna mfahamu huyu mshukiwa na mna mtia nguvuni, akiambatanishwa na ushaidi” alisema RPC akionyesha furaha kubwa, “ndicho tunachoitaji afande, afande sisi tunaitaji kufanikisha zoezi ili kwaufanisi mkubwa, hivyo afande naomba kama uta mjulisha staff officer, basi asiongezeke mtu mwingine, naomba msimweleze mtu yoyote, siunajuwa mpaka sasa atuja fahamu ninani anae vujisha habari zetu” alisema Mwanauta, na RPC akamthibitishia kuwa atazingatia usiri wa operation hiyo muhimu, kisha wakakata simu.
Hapo Mwanauta akaachia tabasamu pana, kwakuona kuwa tayari amesha weza kuwaweka wakubwa wake, katika hali ya kujiaminisha kwao, ili atakapo mchukuwa Peter, waweze kuamini kuwa kweli Peter ni muuzaji wa Dawa za kulevya na chochote kitacho mkuta Peter, kichukuliwe kama kime mkuta mwalifu, ata kama wata gundua kuwa hakuwa mwarifu, basi ichukuliwe lilikuwa ni bahati mbaya.****
Naam wakati mipango hiyo inapangwa, tayari wakina Careen Peter na Michael, walikuwa hewani, wanaelekea #mbogo_land, wakiwa wame ambatana na vijakazi viwili, pamoja na yaya Groly, ambapo walitumia dakika therasini, mpaka kuukuta uwanja wa ndege wa kimataifa, wa SIA, (Stone Town Intanationl Airport) dakika therasini ambazo Peter na Michael, walizifurahia sana, kwakukaribia mawingu, kuona misitu mito na milima, ya kuvutia, yenye ndege wa kuvutia, na wanyama wakila aina, hakika Peter alisahau juu ya ndege kuishiwa mafuta angani.
Mapokezi yao yalikuwa ni makubwa na mzuri sana, Peter alishangaa sana kuona magari sita yakiwasindikiza wao waliokuwa katika gari la kati kati, ata walipofika nyumbani, walipokelewa vyema na wazazi wa Careen, ambao walionyesha kuwa wenye furaha kubwa, walimkaribisha vizuri Peter na Michael, na Careen akuwa na aja ya kuwasimulia historia ya Peter, maana tayari kuna watu walisha tumwa kuchunguza, maisha ya Peter, ambayo japo yalionyesha kuwa Peter ni mtu wa aina gani, pia yaliwaudhunisha sana, kutokana nay ale Peter aliyo ya pitia.
Naam baada ya hapo Careen akapewa ratiba yake, inayo onyesha muda na sehemu ambazo atatembelea, na muda wa kutembelea sehemu hizo, pamoja na siku, ikiwa pamoja na ikulu kwa mfalme Elvis, ambae tayari alisha julishwa ujio wa rafiki yake huyu wa utotoni, ambako Careen na familia yake, yani mume na mtoto wao, angetembelea siku inayo fwata.
Kwakifupi wakina Peter wange tumia week nzima ndani ya #mbogo_land, wakitembelea sehemu mbali mbali, kama vile sehemu za kihistoria, na zile ambazo zenye vivutio mbalimbali, mbuga ndogo za wanyama, maeneo ya michezo, na nyinginezo.***
Yap! mida ilizidi kusonga, huku habari zikianza kusambaa ndani ya jeshi la polisi, juu ya operation ya kumkamata muuzaji mkubwa wa dawa za kulevya, na mpangaji wa utekaji wa mjukuu wa RCO Mlashani, saa sita mchana ndio mida ambayo, Mlashan mwenyewe alipogundua kuwa lile zoezi la kumkamata muuzaji wa dawa za kulevya alikuwa siri tena, maana tayari watu wengi walikuwa wamesha juwa, lakini akujari sana juu ya swala ilo, akiamini kuwa tayari Mwanauta alikuwa amesha weka mipango yake sawa, jinsi ya kumnasa huyo mwalifu ambae bado akuwa anamjuwa jina.
Wakati anawaza hayo ndipo alipokumbuka kuwasiliana na Peter iliaweze kumwalika katika chakula cha jioni, kitu ambacho kinge saidia kuweka ukaribu zaidi kati yao, na yeye kuweza kumfahami vyema Peter, na pengine kung’amua ukweli juu ya kijana huyu, ambae endapo angekuwa maaarufu au mfanya biasharaflani, lazima angekuwa anamfahamu, au angesha wai kukutana nae ata mala moja. ….…….
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU