
SEHEMU YA 92
ILIPOISHIA SEHEMU YA TISINI NA MOJA: “sababu yeye ndie alie tueleza juu ya operation ya siri anayotaka kuifanya, na alifanya hivyo ilikumsingizia kijana huyu, na kuficha maovu ya huyu mshenzi Kalonga, kumbe mala ya kwanza awakujuwa kama Peter amesafiri, ndio maana wakaenda na kumkosa, na walipojuwa amesafiri, wakaamua kumvizia airport, na umteka mala tu alipokaribua nyumbani kwake” alisema RPC, kabla ajatoa maagizo ya kukamatwa kwa OCD mwanauta, na pia peleka taarifa makao makuu ya jeshi la polisi, kueleza juu ya tukio ili” alisema RPC wakati akimaliza kutoa maelekezo yake, wakati RPC ana maliza ndipo staff officer alipokumbuka jambo….…..…..Endelea…
“lakini afande pia kuna watu wawili bado awajakamatwa, ni wale ambao walikuwa na huyu alie zimia, maana kwa mujibu wa Peter ni kwamba, kuna watu wawili waliojaribu, kumvamia Careen mala mbili, nao walikuwepo eneo lile la tukio” alisema staff officer, hapo RPC akujiuliza malambili kutoa maelekezo, “ok! Kalonga na yule mwenzie wahojiwe, na kutaja wenzao, na sehemu ambazo wanaweza kupatikana” alisema RPC, ambae akukaa sana akaingia kwenye gari lake na kuelekea nyumbani kwake, akiongozana na staff officer, na wale askari wawili, wakimwacha RCO, anatoka nje kuwachukuwa askari wanne ambao wange fanya mahojiano na wakina Kalonga.***
Twende Lipupuma Bar and Gues house, ambako Sada alisha kaa kwa masaa matatu, yalikuwa yamesha katika, tayari Sada alikuwa lewa vibaya sana, maana alikuwa amekunywa kwa pupa ile pombe kali, sasa tuna fanyaje, mwenzio nimechoka” alisema Sada, ambae alichoka mpaka sauti “twende nikupeleke nyumbani kwenu, kwani unaka wapi?” aliuliza yule mzee ambae busara zake nusu zilionekana, “unipeleke wapi weweee, siuchukue chumba hapa, kwani utaki kunifanya?” aliuliza Sada, ambae ulevi wake leo ulipitiliza, “leo siwezi kulala nje ya nyumba yangu, ila usijari tutamalizana kwenye gari wakati nakupeleka nyumbani kwako” alisema yule mzee ambae kiukweli sikuwai ata kulifahamu jinalake, “hayo ndiyo maneno, kumbe umekuja nagari, twenzetu basi, maana nina hamu ya mwezi mzima, alafu cha kwenye gari kitamu” alisema Sada, huku anajaribu kuinuka toka kwenye kiti, na kujikuta akiyumba kidogo na kukaa tena chini.
Hapo mzee mwenye nusu busara, akaona itakuwa vyema kama ata msaidie Sada kutembea kuelekea kwenye gari, hivyo akamshika mkono kwanguvu na kuanza kumkokota kuelekea kwenye maegesho yamagari, ambapo licha ya kuwa ni mita kama kumi na tano au ishilini toka walipokuwa wamekaa, lakini walitumia zaidi ya robo saa kufika.
Kisha wakaingia ndani ya gari, na kuondoka zao kwa mwendo wa taratibu wenye tahadhari kubwa, “unaishi wapi mpenzi?” aliuliza yule mzee huku akimtazama Sada ali kuwa amekaa kwa kujilegeza kwenye kti cha abiria wa mbele, “maenge B, ukifika idara ya maji kata kushoto, mtaa wakwanza mtaa wapili unakata kulia, nyumba yaaa yaaaaa tano kulia, ndiyo hapo hapo” alisema Sada, kwa sauti ya kilevi kweli kweli, “ok! ile mitaa naifahamu nimizyri sana naamini pale idara ya maji, tunaweza kupeana utamu, maana mida hii akuna watu wakao kuwa wanapita” alisema mzee wa nusu busara, “wewe tu, ata ukitaka kulala nyumbani kwangu poa tu” alisema Sada ambae aliamini kuwa, Emma na leo atorudi nyumbani, nyumbani kwako tutalala siku nyingine” alisema mzee wa nusu busara, huku anaendesha gari taratibu kuelekea Mahenge.***
Sijuwi kama una elewa ninaposema mahojiano, siyo yale ambayo wa nafanya wakina nani sijuwi, mbele ya camera za waandisi wa habari, ayani mahojiano koki kabisa ambayo upatikana sehemu kama hizi, na ungelitamua ilo kama ungekuwa hatua chache toka chumba cha mahojino, ambako alianza kuingizwa Dullah, alie tolewa kwenye kile chumba alichokuwepo Kalonga, ambae akujuwa mwenzie anapelekwa wapi, ila sekinde chache baadae akaanza kusikia kilio kikali, cha Dullah, ambae niwazi kabisa alikuwa katka machungu makubwa sana, hakika Kalonga alisisimkwa na mwaili wake, na kuhisi mkojo unambana, japo kilio kile kilicho dumu kwa dakika kama tatu hivi, kilikoma ghafla.
Kilicho mtisha zaidi, ni dakika moja, baada ya kukoma kwa kilio cha Dullah, akaona askari wawili, wanamrudisha Dullah akiwa amepoteza fahamu, yani wa mburuza na kutupia mle ndani, akiwa ajachubuka wala kutokwa na damu sehemu yoyote, baada ya hapo, wakamshika yeye, na kuanza kumtoa nje, “jamani mna nipeleka wapi?” alisema Kalonga akitamani kuachia kilio, “utajuwa tu, mbona unaharaka sana, bwana Kalonga” alijibuwa na askari mmoja kati ya wale wawili, ambao walimwingiza kwenye chumba cha mahojiano, alikomkuta RCO, akiwa anamsubiri, na hapo Kalonga aliweza kuona kwa macho yake jinsi chumba kile chenye makolo kolo, kama kalakana ya kutengenezea majiko ya mkaa, huku sakafu yake ikiwa imetapakaliwa na damu mbichi kabisa.
Niwazi ile Damu ilikuwa ni ya Dullah, lakini inakuwaje, yeye akuona sehemu yoyote inayovuja damu, “mkalisheni kwenye kiti” alisema Mlashani ambae alikuwa amekaa kwenye meza yenye yale makoleo, ya kubana au kukatia waya au bati, huku askari wawili wakiwa wamesimama karibu na kitu kile, huku mikononi mwao wamevaa groves za kitabibu, zilizo chafuka kwa damu.
Askari wakafanya kama walivyoelekezwa, yani kumkarisha Kalonga kwa kumsukumiza kwenye kiti, “ok! Kalonga, iki ni chumba cha mahojiano, kuna kujibu kwa iyari, ya ni wewe mwenyewe, au kusaidiwa kujibu, sijuwi wewe unachagua nini?” aliuliza RCO, kwa sauti tulivu yenye kebehi, “Mlashani siongei lolote mpaka niitiwe mwanasheria wangu” alisema Kalonga, kwa sauti ya msisitizo, ambae kwa sasa ukimtazama usoni unaweza kujikuta umesha cheka, atakama ukuwa na mpango wa kufanya hivyo, “labda nikukumbushe Kalonga, una makosa manne, moja kujaribu kutumia jeshi la polisi kufanya uharifu, mbili kutoa taarifa za uongo juu ya raia mwema, ukimzingizia kuwa mi mwarifu, na kufanya jeshi la polisi limkamate, tatu kusafirisha dawa za kulevya ambazo umekutwa nazo eneo latukio, nne kujaribu kumteka mtoto Jasmin, apo sija kutajia kuhusu vitisho na majaribio ya mala kwa mala ya kumteka Careen Martin, hivyo nakushauri onyesha ushikiano, ili uweze kukutana na mwanasheria wako hapo kesho, vinginevyo anaweza kukukuta umesha poteza maisha kwa kifo kilicho ambatana na maumivu makali” alisema Mlashani kwa sauti tulivu kama vile alikuwa anatania.
Kusikia hivyo Kalonga akatazama pale mezani, akikagua yale makolo kolo ya kalakana, mpaka hapo akujuwa kuwa kazi yake nini, “nyie nifanyeni chochote, lakini mimi sito ongea chochote” alisema Kalonga kwa sauti yenye msisitizo, “ok! mmesha msikia wenyewe, sidhani kama kuna cha kusubiri” alisema Mlashani na hapo kwa haraka sana, askari wawili walimfunga kamba Kalonga pale kwenye kiti, yani miguuni na mikononi, wakiunga nicha na kiti, kisha mmoja anka mfungua zip ya suruali yake, huku wale askari walio valia groves wakichukuwa yale makoleo juu ya meza, na kuyafanya kama wanayajaribisha jaribisha, “ni mimi ndie nitakae simamisha mahojiano,” alisema tena Mlashani.
Kuona hiyo Kalonga akajuwa hapa naenda kupoteza uwezo wa kiume siyo tu kuweza kuzalisha, pengine asiweze ata kusimamisha mhogo wake, “nipotayari kusema chochote mnachotaka, niulizeni chochote nitajibu” alisema Kalonga, lakini aikusaidia kitu, maana watu walikuwa busy na maandalizi ya mahojiano, maana ndiyo kwanza alimwona yule askari mwenye groves akimsogelea na ile koleo mkononi, kisha akazamisha mkono ndani ya suruali iliyokuwa wazi kisha akaibuka na mzigo mzima, yani dudu yenyewe na kengere zake, yani Korodani, kisha akaiweka sawa ile koreo, hakika Kalonga alijuwa kwanini Dullah, alikuwa anapiga kelele namna ile na kwanini alizimia.
Hapo Kalonga akaomba apoteze fahamu haraka ili wamwachie, maana sasa alimwona yule polisi, akisogeza koreo kwenye korodani zake, ambazo alikuwaamezishika kwa mkono wa kushoto, “Mlashani, nasema kweli kabisa, nita kujibu maswali yako kama unavyotaka” alipiga kelele kwamsisitizo bwana Kalonga, akiomba apewe nafasi ya kujibu maswali, “ok! subiri kwanza” alisema Mlashani kabla ata koreo aija gusa korodani, yuleaskari akaondoa mkono kwenye korodani, na kusimama pembeni, hapo Mlashani aka shusha pumzi ndefu, ya auweni, “mwaswali yatu ni mawili tu, tunaitaji kufahamu majina ya wale vijana wako wawili, na sehemu wanayoishi” hakika niswali ambalo Kalonga akulitegemea kabisa, lakini kwakujuwa kuwa Emma na Janja ndio wakwanza kufahamu juu ya tukio ili, hivyo awawezi wakawa wamekaa kiboya boya, hivyo ata kama ata waeleza majina na nyumba wanazo ishi isingeleta tabu kwao, lazima awengekuwa wamesha toroka.
Kalonga akafunga akafunguka ukweli mtupu, akitaja majina ya Emma na Hussen, na sehemu wanayo kaa, yani mtaa na nyumba, “ok! asante bwana Kalonga, kwa msaada wako, lakini kunajambo lazima ulifahamu, atuwezi kukutoa hivi hivi ndani ya chumba hiki, maadamu umesha ingia lazima utoke ukiwa umebebwa, kauri ile ilimshtua sana Kalonga, ambae aliona kizungu zungu na giza usoni mwake, kisha akalegea na kuangukia iande wa kiegemeo cha kiti kile, akiwa amesha poteza fahamu, pasipo ata uguswa, akiwafanya RCO na askari wake wacheke kwa kile walicho kiona kikitokea kwa mwamba Kalonga.**
Yap! saa saba ndiyo mida ambayo Emma na Janja walifika nyumbani kwa Emma, pale Mahenge, Emma aligonga mlango mala kadhaa, pasipo kusikia mtu akiitikia toka ndani, Emaa alirudia mala kwa mala huku akiongeza nguvu za kugonga mlango, lakini akuna hakuna yoyote ali itikia, “hivi mbwakoko yupo ndani kweli, au nikitoka na yeye anatoka?” aliuliza Emma kwa sauti iliyojaa hasira, huku wanatoka nje, ya nyumba ile, “uwezi kujuwa maana week sasa ujampatia ata shilingi” alisema Janja wakati anamfwata Emma kule nje kabisa ya jengo lile, “oya! hivi unaona kile siyo gari lime simama pale” alisema Emma huku akionyesha upande wa mjini, ambako lilionekana gari dogo, likiwa limesimama, mita kama ishilini, huku mlango mmoja wa gari lile, ukiwa wazi, “ni gari lile tena…. ebu ona Emma, nikamajamaa anakula mzigo” alisema Janja huku wakiongeza umakini kutazama kule ambako gari lilikuwepo…… ..…..
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU