SHEM MI NATAKA (06)

SEHEMU YA 06
Interview ya Sadiki ilikuwa ya maandishi waliingia ndani ya chumba na kufanya kitu kama mitihani, kiukweli mtihani ulikuwa ni mgumu sana hata hawakutarajia kabisa, ulikuwa wa mahesabu magumu na hawakuamini maana walitarajia maswali yatakuwa ya kawaidia tu kutokana na kazi waliyokuwa wakiiomba

Walimaliza wakatoka wamechoka sana, wengi walijutia sana

“Vipi pepa ilikuwaje mtaalam” Kijana mmoja alimuuliza Sadiki

“Ah kawaida sana”

“Kawaida? Kivipi?”

“Sasa kwani kulikuwa na swali gumu?” Sadiki aliuliza

“Duh, hatari” yule mwenzake alishangaa na alijisikia vibaya sana, maana upande wake mtihani ulikuwa ni mgumu sana

Sadiki aliondoka mpaka barabarani, akachukua simu na kumpigia kaka yake ili amueleze ilivyokuwa na pia ajue yuko wapi kama wanaweza kuonana

Simu ya Mandi iliita muda mrefu sana haikupokelewa, labda ndo alikuwa anafanya yake na Sharifa, pia Sadiki alipia mara nyingine na nyingine halafu akamtumia ujumbe
“Kaka nimeshamaliza ndo nataka nirudi nyumbani”

Ilipita zaidi ya dakika tano bila kujibiwa, akaona ni bora akaondoka na kwenda zake nyumbani, alichukua bajaj

Baada ya dakika kama 15 hivi alikuwa nyumbani kwa Mandi na Husna, alimkuta shemeji amekaa upweke anachat kwenye simu yake ndogo

“Shem umerudi?” alimuuliza huku akimtazama Sadiki alitoka kwenye interview akiwa na suti nyeusi na shati jeupe na kipepeo shingoni (Neck tie)

“Yes shem, umeshindaje?” alisema huku akiwa anavua lile koti

“Salama, umependeza” alisema Husna

“Kweli Diki aliuliza

“Sana tu”

Sadiki alivaa tena koti na kutoa simu mfukoni, anyway, take me one picture tafadhali” alisema huku alimkabidhi shem simu ampige picha” alisema

“Kaka yako yuko wapi?” aliuliza binti maana alijua ameondoka naye asubuhi

“Ah nimempigia hajapokea sijui alipo” alijibu Sadiki

Husna aliinuka na kuanza kumpiga picha mbali mbali

Baada ya kupiga picha, alimpatia simu yake halafu Sadiki alizitazama
“Ni nzuri kweli, kumbe unajua sana kupiga picha, thanks” Sadiki alisema na kuketi akawasha data

Alipowasha data aliingia mtandaoni na kuchapisha picha moja Facebook kati ya zile alizopigwa na Husna, akachapisha pia Instagram na WhatsApp huku akiandika maelezo kwenye picha kwamba “YA MUNGU MENGI”

“Shem simu yangu inazima, kwa mpemba ni wapi nipeleke?” aliuliza Diki

“Nitakupelekea” alisema Husna

“Ntaenda mwenyewe bwana” alisema Sadiki

“Hapana shem wewe nishajua tabia zako sitaki ufe na UKIMWI huku Tanga”

“Hahaha, unanionaje shem? Haya bana basi tutaenda wote” Diki aliongea

“Sawa shem”

Ghafla ujumbe
“HIVI WEWE MWANAUME UNANICHUKULIAJE? YAANI TANGU UENDE TANGA HUNITAFUTI, UMEKUTANA NA WANAOJUA MAPENZI SI NDIO?” aliuliza “ANYWAY ENDELEA NA UNAYOYAFANYA” alisema kwa hasira Beatrice baada ya kuona Sadiki hamtafuti

Kwa kuwa Sadiki alishaona simu yake itazima, hakutaka kujibu aliamua kukausha huku akiwa na lengo la kuja kumtafuta baadaye binti baada ya kuchaji simu

Aliingia ndani kwa ajili ya kubadilisha mavazi, sasa wakati Sadiki akiwa ndani anavua nguo, kwa dirishani aliona mtu anapita nje barabarani akiwa anauza miwa iliyokatwa katwa na kutiwa kwenye mifuko midogo ya mpira (vifungashio vya nylon)

“Miwa miwa Miwa……sh 500” Alisema mtu huyo kutangaza biashara

Sadiki alimuita shemeji ambaye alikuwa nje “Shemeji” alisema Diki

“Abe”

“Niitie hiyo miwa please”

“Unataka?” aliuliza

“Ndio”

“wewe kaka wa miwa” alisema Husna na kijana yule muuzaji aligeuka na kuingiza mkokoteni wake nyumbani kwa Husna

“Mingapi sister”

“Nipe viwili” alisema huku akitoa hela kwenye matiti kama kawaida yake

Kijana yule alitoa vifungashio viwili vilivyojaa vipande vya miwa na kumsogelea Husna akamkabidhi na Husna akampatia noti ya 1000

Muda huo huo Sadiki alichungulia akaona shemeji akimpa pesa. Aliendelea kuvua nguo

Kijana muuzaji wa miwa alishukuru na kuondoka zake akaenda nyumbani kwa Husna.

Husna aliinuka na kuenda mpaka mlangoni mwa nyumba “Shem unavaa?”

“Nimeshamaliza pita tu” Sadiki alisema na shemeji aliingia ndani akamkuta sadiki ameshika noti ya 1000 mkononi

Husna alimpatia ile miwa Sadiki akapokea na kuweka juu ya ndoo halafu akamnyooshea ile noti ya shilingi 1000

“Ya nini?”

“Si miwa umelipia jamani shem?” aliuliza Sadiki

“No, usiwaze shem wangu” alisema Husna huku akiondoka

Sadiki alimvuta kwa nguvu binti akajikuta amemsogelea kwa karibu sana Halafu Sadiki akainua mkono wake wa kulia ulikuwa na noti ya shilingi 1000 akauingiza ndani ya blauzi ya Husna akaiweka ndani ya sidiria kwenye ziwa moja. Husna alitetemeka kama amepigwa shoti
“Kwanini kila siku nikikupa hela yako unakataa?” alimuuliza

Husna muda wote aliangalia chini kwa aibu, hawezi hata kunyanyua mkono, ndipo Sadiki akamuachia, na kuweka mikono mfukoni

Husna aliinua uso na kutazama alijikuta uso wake na wa Sadiki umekaribiana, midomo nayo iko karibu. Akabaki anatetemeka midomo yake yote miwili

“Shem” Husna aliita kwa mtetemo, kumbuka ana miaka 2 hajawahi kubusiana mdomoni na mwanaume, halafu alikuwa amemzoea Sadiki vibaya sana, halafu alishaona jinsi Sadiki anaushughulikia ulimi wa Bite kwenye video

Udenda ulimjaa na kuanza kumsogelea Sadiki mdomoni, taratiibu……..JE ITAKUWAJE? NIMEKUKATA UTAMU? ATAPATA ANACHOKITAKA?
USIKOSE SEHEMU YA 07

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!