SHEM MI NATAKA (10)

SEHEMU YA 10

Husna alipofika ndani alibadilisha, alivaa dera halafu akatoka nalo, ila alipofika sebuleni alimkuta Sadiki ameketi juu ya dumu la maji, na kusimama mbele yake, chuchu imemsimama ana ny…..za hatari halafu akamuita “Shem” alisema kwa madaha “Nataka kuchukua hilo dumu la maji” alisema

“Aanha hili?” alisema Sadiki halafu akainuka, ile ameinuka hivi Husna akamvuta na kumkumbatia halafu machozi yakaanza kumtoka

“Shem…..kwanini unanifanyia hivi?……yaani umezipandisha ila hautaki kuzishusha shem wangu……si unaona kaka yako hana hata time na mimi? Mbona hivyo lakini shem?”

“Shem, siwezi kufanya hivyo” alisema Sadiki huku akijitutumua kuondoka kifuani mwa shemeji yake

“Please sitaki kufanya na wewe Sadiki”

“Bila unataka nini?”

“Nataka mate tu! Busu tu shem wangu, nina muda mrefu” alisema binti huku akimvuta zaidi shemeji yake

“No shemeji” alisema Sadiki lakini Husna alijitahidi kumsogelea

Kwa bahati nzuri Sadiki alifanikiwa kumsukuma Husna akapepesuka na kurudi nyuma kidogo, Sadiki alitoka mbio mpaka nje, huku akimuacha Husna katika hali mbaya ndani ya chumba

Sadiki alikimbia mpaka barabarani kabisa na alipofika alipata wazo la kwenda kuchukua simu yake kwa mpemba

Huku nyumba alimuacha Husna akiwa na lawama tele

“Mshenzi huyu na ataisikilizia bombani…..sitomsumbua tena anafikiri nashindwa kumpa mtu mwingine? Yaani hawa wanaume wa mikoa mingine sijui wana akili gani, angekuwa wa Tanga ungekuta tayari” alisema Husna kwa hasira

Ghafla alitolewa kwenye yale mawazo na sauti ya chiku akiita nje

“Hodii, Da Husna mboga leo shoga angu” alisema Chiku

Husna alitoka nje na kumtazama “Mambo” alisema Husna

“Safi Shikamoo” alisema

“Marahaba, leo mi sichukui mboga shoga angu”

“Mmmh hata kwa mkopo?” Alisema Husna huku alichungulia chungulia akidhani labda atamuona Sadiki kumbe Sadiki hata hayupo

“Hamna sitaki kudaiwa mie”

“Haya shoga bye uko peke yako leo?” alisema Chiku kuchora kama atampata Sadiki

“Ndio kwani unanikutaga na nani?” aliuliza kwa hasira Husna

“Aah si kuna yule sijui ni shemeji yako”

“Wewe unamuulizia tu, unamtaka au? Ameshaondoka mkoani” alisema kwa hasira shemeji tuseme tu ukweli tangu siku ya kwanza tu Sadiki alipofika kwa braza ake, Husna alianza kupendezwa na namna anavyoishi na hata ucheshi wake

“Hamna wala….mi simtaki” alisema Chiku “Unanipanikia basi samahani shoga angu” alisema Chiku na kutembea zake

Husna alibaki akimtazama alikuwa haelewi elewi kinachomleta leta Chiku, kila mara.

Chiku alipita katika baadhi ya nyumba zingine ndipo ghafla alimuona Sadiki akipita huku akiongea na simu akamfuata

“Wewe Sadiki wewe” alisema alisema kwa furaha Chiku

“Niambie” alisema Sadiki na kukata simu

“Mbona nimeambiwa umeenda mkoani?” aliuliza

“Na nani?” aliuliza Sadiki

“Si wifi ya…….eti wifi, namaanisha shemeji yako ndo ameniambia” alisema Chiku

“Ahahaha, amekuzingua, mi nipo”

“Yaani yule dada nimekuulizia akanifokea, kwani kuna nini Sadiki nawe?” aliuliza

“Hamna chochote”

“Haya bwana usiondoke bila kuniaga” alisema binti

“Ahahaha usijali” Alisema Chiku huku akitaka kuondoka

“Unaelekea wapi?” Diki aliuliza

“Natembeza tembeza mboga”

“Okay baadaye nikuone basi” alisema Sadiki

“Wapi?” aliuliza binti kwa furaha aliona Diki anakuja mule mule

“Mmh, ah, nitakuambia”

“Mh si uniambie hapa hapa? Maana hata namba yangu hauna, utaniambia vipi sasa”

“Oh, basi nitajie namba”

“Haya andika” Chiku alisema

Sadiki alitoa nywila kwenye simu halafu akasema “Nitajie”

“Ok, 06886………..”

“Ok powa utakuwa free saa ngapi?” aliuliza Diki

“Saa 7 ndo nitakuwa nyumbani”

“Ok nitakucheki” alisema Sadiki na kuagana akaondoka zake

Sadiki alitembea tembea akaona anunue mihogo wakanywee chai halafu akondoka kuelekea nyumbani, kweli alipofika alimkuta shemeji akiwa anaandaa chai na kaka Mandi amesharudi, hata hivyo shemeji alikuwa amevuta mdomo maana alikuwa amenuna kisa Diki kukataa busu lake

“Kaka za asubuhi” Sadiki alimsalimia kaka yake

“Salama vipi?”

“Poa poa” alisema Sadiki kisha akampeleka mihogo Husna akaikamata na kuitupa juu ya ndoo kwa hasira

Sadiki alielewa lakini je angefanyaje? Ni shemeji

ITAENDELEA! USIKOSE SEHEMU YA 11

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!