SHEM MI NATAKA (15)

SEHEMU YA 15
Asubuhi na mapema Husna aliamka akaanza kufagia uwanja huku akiwa amevaa dera lake, mwilini alijisikia vizuri kutokana na shughuli aliyokuwa ameifanya usiku yeye na shemeji yake.

Alitabasamu huku akikumbuka vurugu alizokuwa akizifanya, bado Sadiki alikuwa anaona aibu ya kutosha maana ni jambo ambalo hakutarajia kabla.

“Mh kama masihara yaani” alijisemea moyoni huku hamu zikiwa zimemuisha kabisa

Ghafla ujumbe uliingia kwenye simu yake, akaifungua na kusoma ni ya shemeji Husna
“Kaoge kabla kaka yako hajarudi, akirudi tu lazima ajiulize kwanini unaoga” alituma shemeji

“Mh, poa shem” alijibu Sadiki

Sadiki aliwaza halafu kweli akatoka kwenye sehemu yake ya kulala halafu akaenda kuoga.

Akiwa bafuni kwa bahati mbaya kaka Mandi naye akarejea nyumbani na kumkuta mkewe akifagia

“Umeamkaje mke wangu” Alisema Mandi

“Safi pole na majukumu mume wangu” alisema

“Asante sana….” alisema Mandi huku akisogea mlangoni na kuingia ndani “Dogo….” aliita akidhani mdogo wake yupo ndani “Oya Diki” alisema lakini hakumuona Sadiki ndani.

Mandi aliweka begi na kutoka nje “Vipi Sadiki yuko wapi?” aliuliza Mandi

Kosa la mtenda dhambi ni kwamba anajishtukia, alianza kupata kigugumizi mara baada tu ya kuulizwa swali lile na kujikuta anajibu kwa kusitasita
“amee….e…yuko…anaoga” alisema binti na kujikoholesha kidogo

“Ahaha, huyu dogo bishoo sana, anaoga asubuhi hii?” aliuliza Mandi huku akicheka

“Ndio” Husna alijibu na kumalizia kufagia

Baada ya dakika kadhaa Sadiki alitoka chumbani naye akawa pia anajishtukia shtukia kwa dhambi zake alizozitenda kwa kaka yake
“Ah kaka umesharudi?” aliuliza

“Yeah vipi?” aliuliza kaka yake

“Fresh”

Sadiki alipita “Ngoja nivae nguo mzee” alisema

“Haina noma”

Mandi alimtazama mdogo wake lakini hakupata wasiwasi hata kidogo kama dogo angeliweza kufanya kitu kama hicho, hii ilisaidia sana kwani hakuwatilia mashaka yoyote

Husna alianza kuandaa chai yake halafu akaondoka na kwenda kutafuta vitafunwa huko mtaani.

Alirudi baada ya muda na aliwakuta ndugu wawili wakiongea vizuri tu.

*
BAADA YA SIKU 5
*
“Baby unajua mapenzi yako matam sana” (Husna)
“Hata mimi nimeinjoy sana kuwa karibu yako my love, kweli Tanga kuna raha” (Sadiki)
Hayo yalikuwa ni maongezi kati ya Husna na Sadiki wakiwa nje ya nyumba waliyokuwa wakiishia huku wakiwa wamekumbatiana wamewekeana mikoni mabegani

Simu ya Sadiki iliingia ujumbe na kuufungua ulitoka kwa Bite na ulisema hivi “MUME WANGU NIMEKUMISS SANA HUKO SIJUI UTAKUJA LINI NINA NY…HATARI” alikuwa ametuma Beatrice

Sadiki aliitazama ile message akakata haraka maana japo Husna alikuwa mke wa kaka yake lazima angekuwa na wivu maana wameshaanza kushiriki matendo

“Aah, beeibii” alisema Husna kwa kudeka baada ya kuuona ule ujumbe

“Nini sasa?”

“Ukiwa na mimi sipendi ushike simu, unajua nakupenda sana sipendi kuona unachat na wanawake wengine” alisema Husna kwa wivu

“Sorry dear, huyo ni msichana ambaye alikuwa mpenzi wangu kule kijijiji kwetu”

“Mmh sawa, ila baby una malengo gani na mimi?” aliuliza Husna ameshaanza kutafuta malengo na mtu ambaye ni shemeji yake

“Mmmh malengo gani sasa?” alimuuliza “Hivi umeshasahau wewe ni mke wa kaka yangu?

“Aah bhana sawa ila natamani milele tuwe tunapeana raha”

Ujumbe mwingine uliingia ndani ya simu ya kijana akatamani kuufungua ila alipokumbuka binti hataki basi akaiacha.

Walitazamana wote wakatabasam “Hapo sawa, nimefurahi umeachana nayo maana ungeibeba tu, leo nisingekupa” alisema Husna

“Mmh kwa hiyo unataka leo unipe?” aliuliza Sadiki

“Mh yes baby ninapokuwa karibu yako nahisi hamu muda wote, halafu nataka niitumie vizuri maana we ukiondoka ntakaa muda mrefu bila kuipata”

“Si atakupa broo?”

“Aku, yako ndo tam” alisema mtoto wa kike wakacheka na kubusiana bila kuogopa chochote.

Mara ghafla simu ya Sadiki iliita na alipoitazama kando yake, ni namba mpya ilikuwa ikimpigia
“Mh huyu nani?” aliuliza Sadiki huku akiichukua simu

“Mh, umeanza, wanakusumbua”

“Ngoja nipokee”

“Sawa” Husna alisema na kumlalia begani kijana huyo

Sadiki aliipokea simu akasikia sauti ya kiume “hallo habari yako Sadiki Ndaru”

“Salama kwema?” aliuliza Sadiki

“Kwema, kuna ujumbe tumetuma kwenye namba yako hii umeuona?” aliuliza

“Hapana….kwani wewe nani?”

“Mimi naitwa Hamis Kazeri natokea A and H Company limited” Alisema mtu yule, maneno haya yalishtua moyo wa Sadiki maana hiyo ndiyo kampuni ambayo ilimfanyia

“Oh sijaona huo ujumbe maana ndo nashika simu sasa hivi ndugu yangu”

“Anyway, hongera sana wewe ni mmoja kati ya watu 20 waliofanikiwa kupita katika mtihani mliopewa

“Eeh? ndio broo”

“Sasa unatakiwa ufike pale pale Lal Saad siku ya jumanne kwa ajili ya interview ya mazungumzo ili tupate watu kumi”

“Sawa ndugu yangu nitajitahidi, ni saa ngapi itakuwa?”

“Saa 3 asubuhi na maelezo mengine yapo kwenye message”

“Asante sana” alisema kwa furaha

Mtu yule alikata simu na kumfanya Sadiki aruke juu kwa furaha
“Eeeeh asante Mungu” alisema

“Kuna nini shem?” aliuliza Husna

“Nimepita kwenye interview natakiwa niende nikafanye ya pili siku ya jumanne keshokutwa, niombee”

“Wooow kweli?” aliuliza binti

“Yes”

Husna aliinuka na kumkumbatia nje ya nyumba bila kuzingatia mumewe anaweza kuja muda wowote, bila kuzingatia majirani na watu wanaopita njiani.

“Lazima nikupe zawadi leo” alisema Husna na kumuachia halafu akaondoka

Kiukweli ilikuwa ni furaha sana kwa kijana Sadiki kwani alikuwa amepita kizingiti kikubwa na ana uwezekano mkubwa wa kupita kulingana na uelewa alio nao katika mambo hayo

Sadiki aliingia ndani akajilaza kwenye godoro halafu akawa anazidi kuchezea simu yake, vile vile shemeji yake alijiandaa vyema na kwenda kuoga bafuni.

Baada ya hapo alitoka akiwa amejifunga khanga moja tu na mwili ukiwa umemloa maji, khanga imelowa lowa na kumpita sadiki sebuleni halafu akaingia chumbani huku akijitingisha sehemu za nyuma

Sadiki alimmezea mate maana tayari aliluwa wa kwake na huduma alikuwa akipata muda wote

Aliketi muda mrefu huku hisia sumbufu zikimuandama na kumfanya ainuke kuelekea chumbani mwa shemeji yake na kaka yake.

Alimkuta shemeji kavua ile khanga yupo kama alivyozaliwa, Sadiki alimeza funda la mate maana Husna aliumbika hasa.

Sadiki alipiga hatua za taratibu huku akiyatazama makalio ya shemeji akaanza kuyatamani mdogo mdogo. Alimsogelea na kumpiga kofi makalioni

“Hahahaha” alicheka binti na kuinuka akageuka na kumkumbatia shemeji yake ambaye kwa muda huo alikiwa ni mpenzi tayari

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!