SEHEMU YA 20
BAADA YA SIKU TANO
Penzi la Mandi na Husna lilijaribu kurudi lakini ilikuwa imeshashindikana, isingeweza kuwa kama mwanzo. Tatizo lilikuwa limeanzia pale Husna alipokuwa ameshazihamishia hisia zake kwa shemeji yake. Kila muda alikuwa anampa bila kujali.
Pia hisia za Mandi zilikuwa zimeshahamia kwa Sharifa kwa sababu alikuwa amempa zawadi ya mtoto
“Shem” Sadiki alimuita shemeji yake
“Nambie baby” alisema Husna huku akimtazama
“Hivi mlishawahi kwenda hospitalini kupima kama mna uwezo wa kupata mtoto?” aliuliza
“Hapana, ila babu yangu aliniambiaga kwamba sitaweza kupata mtoto”
“Kwanini?”
“Sijajua kwa sababu gani, alinipa dawa ambayo ingenisaidia mimi kushika mimba”
“Halafu ikawaje?”
“Bado sikushika”
“Pole sana”
“Asante mpenzi”
**
Upande mwingine napo Mandi alikuwa amempigia magoti Sharifa kule mjini nyumbani kwake
“Naomba unisamehe” alisema Mandi
“Hivi wiki nzima hujanitembelea, umeamua kuwa na mke wako huko si uliona anakutosha? Basi kaendelee naye”
“Ndo maana nakuomba msamaha unajua kabisa nakupenda sana”
“Unanipenda kweli au unampenda Husna?” aliuliza
“Nakupenda wewe, yeye niko naye kwa sababu tu alinisaidia kimaisha”
“Sawa basi nimekuelewa ila umenishindisha njaa mtoto wako unahisi ananyonya nini?”
“Samahani”
“Sasa kama unanipenda mimi, achana naye uhamie huku” alisema Sharifa
Hili suala lilimuweka katika wakati mgumu sana mwanaume huyo. Alimtazama huku akiwaza kwa dakika nzima
“Umekaa kimya?”
“Siwezi kuachana naye” alisema
“Kama huwezi basi ondoka hapa” alisema
“Sherry” alimuita kwa kifupi
“Sitaki”
“Ok powa kama hutaki” alisema Mandi
Mandi aliinuka taratibu na kuondoka huku akijilaumu sana, alikuwa hajui anampenda nani hasa.
Alisimama nje ya chumba kwa muda huku akiwaza, lakini Sharifa alikaa kimya. Mandi aliondoka kwa miguu
Wakati huo, sebuleni kwake, ni kwamba Husna na shemeji yake walikuwa wakilishana ndizi mbivu na viepe. Tena mbaya zaidi walilishana kwa midomo na kupelekea hisia kali kuwapanda
Husna alianza kumpapasa Sadiki na kujikuta wanaanguka katika godoro alilokuwa akilala Sadiki
Husna aliishika fulana ya Sadiki na kuivua, Sadiki akabaki kifua wazi huku akiwa anahema kwa sababu ya utamu.
Shemeji alikuwa na khanga bila hata chupi, walijisahau na kuanza kufanya miujiza.
Binti alimkalia kiunoni na kuanza kisugulia kiunoni, Sadiki alisikia vile vinywele vikimgusa na kumchoma choma akaanza kuchanganyikiwa.
Walijisahau na kujikuta wanapeana raha, kama ilivyo ada, Husna alipiga kelele sio za nchi hii. Walimaliza cha kwanza na kupumzika kitandani uchi wa mnyama.
Wakiwa wamelala pale ghafla mlango ukafunguliwa, macho kwa macho wanaonana na Mandi akiwa ameduwaa tayari
“Mke wangu……! Alisema na kumtazama mdogo wake “Sadiki!!! Mdogo wangu” alisema Mandi
Pozi liliwaishia hawa watu hawakujua watakamatwa kirahisi namna hii
“Kaka” alisema Sadiki kwa uoga huku akijifunika.
Mandi alivamia panga na kulinyanyua anataka awamalize lakini aliwaza akaanza kutoa machozi na kulidondosha chini.
“Ina maana kweli Husna umeamua kunifanyia hivi? Nilihisi tu….daaah, kweli Sadiki kweli mdogo wangu kukuleta Tanga ndo inakuwa hivi?” aliuliza
“Nisamehe broo wangu” alisema Sadiki huku akipiga magoti kwenye godoro
Mandi alimtazama kwa hasira na chuki halafu akaingia katika chumba chake cha kulala.
Hakukaa dakika nyingi alirudi akamuambia Sadiki “Jiandae, kesho utarudi Singida” alisema na kurudi chumbani akajilaza huku akiwaza mengi.
Husna na Sadiki walivaa na kwenda kuoga, ilikuwa siri ya ndani hakuna mtu wa nje aliambiwa kile kitu.
*
Kesho yake asubuhi Mandi alimpakia kwenye basi mdogo wake, alimpa nauli na pesa ya kupeleka kwa wazazi halafu akampa onyo “Usiwaambie chochote kilichotokea”
“Sawa kaka, samahani sana nakiri kosa langu”
Mandi alimpiga begani “Usijali dogo” alisema Mandi
Sadiki alipanda ndani ya basi na kuondoka kurudi kwao kueleka kijijini hata matokeo ya interview ya pili hayajatoka bado.
*
Siku zilizidi kusogea, moja mbili tatu, tano hadi kumi Mandi alijitahidi kusahau aliyofanyiwa na Husna ila mwishowe nafsi ilikataa na aliamua kutembea na kuhamia kwa Sharifa mazima
Msongo wa mawazo ulianza kumuandama Husna. Akiwa katika msongo ule wa mawazo alikuwa anaumwa sana, kila mara anapata kizunguzungu na hata tumbo kumsumbua pia
Aliamua kumtumia ujumbe Mandi, “Naomba unisamehe Mume wangu, nilikukosea naomba urudi nyumbani nakuahidi haitajitokeza tena”
Mandi alivunja laini kwa hasira hakutaka binti amtafute kwa mara nyingine tena, aliamua kuendelea na maisha yake.
Husna alizidiwa akaamua kwenda hospitalini ili kujua kinachomsibu ni nini, alipofika alipimwa vizuri ila kuna taarifa iliyomshtua sana.
“Unasemaje Dokta????” aliuliza binti
JE NI TAARIFA GANI? USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU