TOBO LA PANYA (09)

SEHEMU YA TISA

ILIPOISHIA SEHEMU YA NANE: “sijuwi atakuwa ameenda wapi, ndio ashindwe ata kuniambia kweli, au amekasirishwa na yale maneno ya Lukas” aliwaza Wakati anawaza hayo, mala akasikia mlango wa chumba chake ukigongwa. Endelea……

Rose anainuka kidogo, nakusikilizia hodi ya pili, lakini kabla mlango aijagongwa mala, ya pili Rose anaona kitasa kinanyongwa, nae anatulia akitazama mlango, pasipo kuwa na wasi wasi juu ya uvaaji wake, maana ukiachilia Aloyce, ambae ni mwanaume pekee anae weza kufika nyumbani kwake muda wowote, zaidi ya hapo ni majirani zake, ambao ni wanawake, ndio ambao wangeweza kuingia mle ndani.

Lakini mlango ulipofunguliwa akashtuka kumwona likas anaingia akiwa na chupa ya pombe mkononi, ambae alitoa macho ya matamanio, kumtazama jinsi alivyo jilaza na ile kanga moja.

Hakika Rose alishtuka sana, kiasi cha kukulupuka nakuvuta shuka, kisha akaongeza kujifunika juu ya kanga moja aliyo ivaa, “Lukas kwanini unaingia bila hodi, umefwata nini chumbani kwangu?” aliuliza Rose huku anamtazama Lukas, mdogo wa boss wake.

Lakini Lukas ajibu chochote, zaidi ya kuachia tabasamu la uchu, huku anaugeukia mlango na kufunga kwakomeo la ndani, kisha akasogelea kitandani, “unaniuliza nimefwata nini, wakati unajuwa kabisa na kupenda, au kuna mpuuzi mwingine anajifanya mpenzi wako?” analiza Lukas kwa sauti iliyo jaa ulevi.

Kwakauri hii ya Lukas, kengere ya tahadhari inagonga kichwani kwa Rose, akishndwa kubashiri kile ambacho Lukas anamaanisha, “kwani sijakuambia kuwa Aloyce ni mchumba wangu?” anauliza Rose, huku anamtazama Lukas, ambae sasa alikuwa anaweka chupa mezani, kisha anaanza kuvua tishert lake.

“acha kumtaja huyo marehemu, sasa hivi wewe ni mali yangu” alisema Lukas, ambae sasa alikuwa anamaliza kuvua tishert na kulitupa juu ya kochi, kitendo ambacho kiliashiria wazi kuwa, alikuwa anajambo anataka kulifanya kwa Rose.

Rose anapatwa na mshtuko mkubwa sana, ambao unamfanya asikie mapigo ya moyo yanamwenda mbio, maana alimini moja kwa moja kile anachoongea Lukas hakuwa anatania, sababu alisha wai kusikia habari nyingi, za Lukas na kaka yake, ambae ni boss wao, kwamba muda wote wapo tayari kuuwa mtu, ata kwakitu kidogo.

“Lukas, umemfanya nini Aloyce?” anauliza Rose kwa sauti ya ukali, huku anainuka kitandani, mkono wa kushoto amelikumbatia shuka alilo jifunika, lakini Lukas anasukuma Rose, ambae anajibwaga kitandani, japo Rose akuiachia shuka aliyo jifunika.

“Lukas niambie ukweli, naomba mumwachie Aloyce, nimetoka nae mbali…” alisema Rose, kwa sauti kuomboleza, yenye kila dalili ya kwamba, muda wowote anaanza kuangua kilio.

Lakini Lukas alieonyesha kuchukizwa, akumpa nafasi Rose, “acha ujinga we mwanamke, inamaana unamwona huyo fala ndiyo wamaana sana kuliko mimi” alifoka Lukas, huku anapeleka mkono kiunoni, na kuichomoa bastora yake, kisha anaiweka mezani.

Rose anaiona bastora ile, ni jambo la kawaida kuwaona nayo Lukas au kaka yake Tino Nyondo, “Lukas naomba unifanye chochote, lakini umwachie Aloyce, sitaki kumpoteza, nimetokanae mbali sana” alisema Rose kwa sauti ya chini, japo ilikuwa ya kuomboleza, huku anamtazama Lukas kwa macho ya huruma, wakati huo tayari machozi yalikuwa yameshaanza kumtiliika.

Nikama ombi la Rose linamchukiza zaidi Lukas, maana al9iokota bastora yake mezani na kuinyoosha kitandani alikokuwepo Rose, sasa alikuwa anatetemeka kwa uoga, maana alisha sikia tuhuma nyingi za wakina Lukas kuhusu matukio ya mauwaji.

Rose anamtazama kwa uoga na macho ya huruma Lukas, alionyesha hasira za wazi kabisa usoni kwa kijana huyu, “hivi Rose unajuwa kama unanitia hasira?” anauliza Lukas kwa sauti yenye hasira na chuki ya wazi kabisa.

Rose anashindwa kujibu, anabakia anamtazama Lukas kwa macho ya uoga yenye kutia huruma, huku yakifunikwa na mtililiko wa machozi, maana tayari alisha juwa kuwa siyo tu kumpoteza Aloyce mpenzi wake, ila pia anaenda kufanyiwa kitu kibaya bila matakwa yake.

“ukiongea tena kuhusu huyo mpuuzi, nawewe nakupiga risasi umfwate” alisema Lukas, ambae bado amenyoosha bastora usawa wa Rose, nae mwanamke huyo mnyonge anaitikia kwa kichwa, katika hali ya uoga, akimaanisha kuwa atoongea tena kuhusu Aloyce.

Hapo Lukas anarudisha bastora mezani, kisha akaa kitandani, yani kitanda alicho kuwepo Rose, “kwani mimi na yule maskini na ni bora, unazani naweza kumkosa mwanamke ninae mtaka?” aliuliza Lukas wakati anavua viatu na kuanza kufungua mkanda wa suruali yake, wakati huo tayari Rose alisha juwa kinachotaka kumtokea mle chumbani.

Lukas anamailiza kuvua suruali yake, na kupanda kitandani, na kulikwapua lile shuka alilojifunika Rose, ambae anabakia na kanga moja, ambayo pia inakwapuliwa na kutupwa pembeni, ikimwacha Rose na nguo ndogo ya ndani, kwamaana ya chupi.

“Lukas tafadhari usinifanyie hivyo, naomba….” Alisema Rose, ambae sasa alikuwa ameziba maziwa yake kifuani kwa kutumia mikono, “wacha tumalize haraka utaniomba baadae” Lukas anamwambia Rose, huku anaishika chupi yake na kuanza kuishusha, kwa lengo la kumvua nguo hiyo ndogo.

Aikuwa kazi ngumu kwa Lukas kuitoa nguo hiyo mwilini mwa Rose, sababu tayari Rose alikuwa katika hali ya uoga iliopitiliza, maana ata Lukas alipo mtanua miguu mwanamke huyu, na kumwingizia dudu, akupata upinzani wa aina yoyote.

Rose akiwa amelala kama gogo, huku macho yana mtililika, na mikono ikiwa kifuani ameziba matiti yake, sijuwi alikuwa na maana gani, alimwachia Lukas afanya anacho taka, huku yeye akiwaza juu ya mpenzi wake Aloyce, ambae mpaka hapo, alishahisi kilicho mtokea mwanaume huyo, rafiki yake wa utotoni.

Japo azikufika dakika mbili kabla Lukas ajaongeza kasi ya kupump, na kumwaga watoto, lakini Rose aliona kama vile kitendo kimetumia lisaa lizima, kwa kelo aliyokuwa anaisikia wakati huo, na uchungu alio nao juu ya mpenzi wake Aloyce, ambae alijuwa fika kuwa, tayari amesha uwawa.

“kuanzia sasa naweza kuja muda wowote, ole wako nikute mwanaume mwingine” alisema Lukas, huku anachukuwa suruali yake na kuivaa, akifwatia tishert lake, “umenisikia wewe?” aliuliza Lukas kwa sauti ya ukali, ambae sasa alikuwa anavaa viatu.

“ndiyo nimesikia” alijibu Rose kwa sauti ya uoga, akiwa amelala pale kitandani, analia kilio cha kwikwi, “sasa unalia nini, inamaana unaniona mimi taka taka, na kwamba sikutakiwa kukutomb…?” anauliza Lukas akimtazama Rose kwa macho ya ukali, “hapana” alijibu Rose kwa sauti ya uoga, lakini alishindwa kuacha kulia.

Lukas anamaliza kuvaa viatu vyake, ana kuchukuwa pastora yake, na chupa yapombe pale mezani, kisha anasogelea tena kitanda, anainama na kusogeza mdomo wake kwenye shavu la Rose, ambae anafumba macho kwa uoga.

Lukas anamkiss Rose, kisha anainuka na kuanza kutembea kuufwata mlango wa chumba, Rose anaendelea kufumba macho, mpaka anaposikia mlango unafungwa, ndipo anapo fungua macho yake na kutazama mlangoni, ambako anahakikisha kuwa Lukas amesha ondoka.

Hapo Rose anaanza kuangua kilio cha chini chini, kilio kilicho onyesha machungu ya wazi katika moyo wake, kumpoteza mwanaume ambae amemwonyesha upendo kwa miaka zaidi ya kumi, aikuwa kitu kidogo, tena kumpteza mwenyewe ni kwa njia ya kifo, tena kifo ambacho kimsababishwa na upendo wa mwanaume huyo juu yake.

Rose alilia sana, akifikilia mateso yaliyomkuta Aloyce kabla ya kifo chake, Rose alilia sana, sababu alijuwa fika kuwa hakuna chochote ambacho, kingefanywa na vyombo vya usalama, ili kupatikana kwa haki ya Aloyce.

Na kingine ambacho kilimuumiza Rose, ni kitendo cha kuingiliwa na mwanaume ambae amekatisha uhai wa mpenzi wake, tena akiwa na nia ya kuendelea kumwingilia mala kwa mala.***

Naaaaaam!, siku ya pili, ilikuwa ni siku ya ijumaa, mida ya saa mbili za asubuhi, makao makuu ya polisi, kwenye ofisi ya mastaff wa CID, wanaonekana askari wengi wakiwa wametulia kwenye meza zao, kila mmoja akiwa busy na kazi.

Ilikuwa hivyo kwenye meza ya Insp Aisha Amary, alievalia sale za kaki, ambae alikuwa anasoma baadhi ya taarifa za mataukio ya utekaji na mauwaji, yaliyo tokea siku za nyuma, huku matukio mengi yakiwa yanamhusisha bwana Augustino Nyondo, mmiliki wa kapuni ya Tino Nyondo Trans.

“mh!, kama siyo mfanyakazi wake, basi ni mtu wakaribu, au mtu alie gombana nae, hii inamaanisha nini?” aliwaza Insp Aisha, huku anaendelea kusoma taarifa zile ambazo kwa ukaribu zinamwonyesha kuwa, Tino Nyondo akuwa mtu wakawaida.

“Insp Amary, habari ya asubuhi?,” Insp Aisha anashtuliwa na sauti ya kiume, karibu na meza yake, anainua uso wake na kumtazama msalimiaji, ambae alikuwa ni mwanaume mtu mzima, alie valia nguo nadhifu za kiraia.

“shikamoo afande Mzee” alisalimia Insp Aisha kwa sauti iliyo changaka, huku anamtazama mwanaume huyu, ambae alikuwa anatazama kwenye meza yake, “Insp vipi, mbona unafwatilia taarifa za Tino Nyondo?” aliuliza mwanaume huyu, alie itwa Mzee, kwa maana ya jina lake ukoo. Endelea…. kufwatilia mkasa huu wa #TOBO_LA_PANYA, hapa hapa

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata