
SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE
ILIPOISHIA SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA: “unataka jipya gani wakati yazamani yamekushindwa kuyatekeleza” anasema mama Eric, akionekana kuwa amechukizwa na jambo flani, “mh!, mbona kama kunaaa…” awaza mzee Haule huku amesimama, anamtazama mke wake, nakujaribu kuwaza alicho kosea kwa mke wake. ……..Endelea ….
“usijafanye ujuwi bwana, si tulipanga twende shambani, sasa kilicho kukalisha mpaka saa hizi, huko kazini ni kitu gani?” anauliza mama Eric, huku anamsukuma mume wake kidogo, ili aingie ndani.
“hoooooo!, kumbe ume nuna kwaajili ya mambo ya shambani” anasema mzee Haule kwa sauti ya utani, na kumfanya mke wake acheke kidogo, “sasa je, kwani we upendi, shambani kuna raha yake bwana” anasema mama Eric, huku anacheka cheka.
“mke wangu leo kulikuwa na mambo mengi sana, lakini usijari, wacha nijiande tuka nyooshe miguu mjini, kisha turudi na kupumzikia hapa nyumbani,kesho tukiamka salama, twende zetu shamba” alisema mze Haule kwa sauti yenye kubembeleza na kushawishi, huku wanapitiliza sebuleni na kuelekea chumbani kwao.
“huyu Michael Jordan ameenda mazoezi leo?” anauliza Haule, alie kuwa anaingia chumbani na mke wake, “anaachaga mazoezi sasa, ila hii ndiyo mida yake ya kurudi” alisema mama Eric wakati wanaingia chumbani.
“inabidi tuwapatie fedha wasafiri kidogo, waka burudike kabla awajaenda shuleni mwezi wa saba” alisema mzee Haule, huku anaanza kuvua viatu, na kufwatia shati.
“mh!, hivi itakuwaje wakipeana mimba, siunajuwa tayari wale wanawake wawili wanamimba?” anauliza mama Eric, ambae pia alikuwa anavua nguo, “we unaonaje, sindio atamkalisha chini asije akaghairi hapo baadae” anasema mzee Haule, ambae sasa alikuwa anamalizia kuvua shati na kufwatia suruali.
“sizani kama unajisikia maneno unayo ongea, kwahiyo binti wawatu akae chini na kulea mtoto katika umri mdogo namna hii?” anauliza mama Eric, ambae sasa alikuwa amesha vua nguo zote, na kubakia kama alivyo zaliwa, na umbo la mke wa mkulugenzi lilikuwa la kibantu kweli kweli.
“sina maana hiyo mke wangu” anasema mzee Haule, ambae sasa, anamtazama mke wake, kwa macho ya uchunguzi, huku anamalizia kuvua boxer yake, na hapo tayari dudu inaonekana imesimama kweli kweli, kwa matamanio.
“unamaana gani sasa, yani watoto wakakae huko wenyewe, wanalala na kuamka pamoja kwa muda wote, unazani kitatokea nini” anasema mama Eric, ambae alikuwa amesimama anamsubiri mume wake amalize kuvua nguo.
“kwani hapa wanafanya nini, si mara nyingi tu wanalala pamoja huko chumbani kwao” alisema mzee Haule huku anamsogelea mke wake, na kumkumbatia kwa kumshika kiuno, huku dudu iliyosimama kweli kweli, ina gusa tumbo la mke wake.
“mh! nini sasa na wewe, yani ujaoga, ujapumzika, ujakula, unataka ufanye nini?” anauliza mama Eric, huku anajipapatua toka kwenye kumbato la mume wake, kisha anaachia kicheko kikubwa.
“sasa mbona umevua nguo?” anauliza mzee Haule, huku anamtazama mke wake kwa macho ya kumshangaa, “mimi nataka kuoga, siumesema tunaenda kutembea kidogo” alisema mama Haule huku anacheka kidogo.
“haaaaaaa!, sasa ndio nibakie hivi hivi mpaka turudi?” anauliza mzee Haule huku anamsogelea mke wake na kumkumbatia tena, “sikia baba Eric” alisema mama Haule, huku anapeleka mkono kwenye dudu ya mume wake, na kuishika.
“nitakupa mara moja sasa hivi, lakini hatufanyi tena mpaka kesho shambani, labda ukizidiwa sana, tutafanya kidogo asubuhi” anasema mama Eric, huku anachezea dudu ya mume wake, “ndio hapo tu mke wangu, unanifanya nizidi kukupenda kila siku, ujuwe unaelewa umuhimu wa hii kitu” alisema mzee Haule huku anaachia tabasamu kubwa.
Mzee Haule anasogeza mdomo wake kwenye mdomo wa mke wake, ambae analegeza midomo yake, nakuluhusu mume wake aanza kunyonya mido yake.
Wananyonyana midomo kwa sekunde kadhaa, kabla mke ajajipapatua toka kwa mume wake, “twende bafuni inakuwa tamu sana” anasema mama Eric kwa sauti iliyo legea na uchovu flani wa ghafla.
Bila ubishi, mzee Haule anaungana na mke wake, wanaongozana taratibu kueleka bafuni, ambako kila mmoja alikuwa na uhakika wa kile wanachoenda kukifanya.***
Saa kumi na mbili kasoro, maeneo ya viwanja vya michezo ya mpira inayo usishisha mikono, yani mpira wa kikapu mpira wa pete, na mingineyo, ya hapa chuo cha ualimu na uongozi wa jamii, michezo ndio ilikuwa inaelekea mwishoni.
Walionekana watu wengi sana, walio kuwa wanawatazama wenzao waliokuwa wanacheza mpira, kama ilivyo kawaida ya eneo ili mida hii ya jioni, ugeuka kama sehemu ya mtoko.
Kwenye kiwanja cha volley ball, ambapo pia palikuwa na watu wengi sana, anaonekana mschana mmoja ambae ukimtazama vyema, unaweza kusema ni mdada wa umri wa kati ya miaka 28, ambae mvuto wake ni wakaida, alie kuwa anatazama mpira huo, huku mala kwa mala macho yake yakitazama watazamaji wenzake.
Yeye alikuwa amesimama na mwenzake mmoja, “dada Farida tuwai kuoga, kabla mabafu ajaanza kuwa na foleni” alisema mwenzake aliekuwa pembeni yake, “eti hen!, ebu tuwai” alijibu yule alieitwa Farida, huku wanaanza kutembea kuelekea upande wa mabweni ya wanawake.
“Joy, hivi umesikia zile kelele kama za bunduki?” anauliza Farida, wakati wanatembea kuondoka eneo la viwanjani, “itakuwa baskeri imepasuka tairi” anajibu huyu mwanamke mwingine, na kumfanya Farida amtazame kwa macho ya kumshangaa.
Hapo nikama anataka kumwuliza kitu, lakini anasita kidogo, kwamaana anahisi awezi kupata jibu analo itaji, “kwahiyo baskeri inaweza kupasuka tairi huko mbali tuka sikia mpaka huku, alafu lile pasuka mara mbili” anasema Farida akikosoa hisia za mwenzake.****
Naaaaaaaam!, wakati huo huo, upande wa barabara kuu ya mikoa ya kusini, yanaonekana magari matatu ambayo mawili ni magari aina ya land rover defender, ambayo ni mali ya jeshi la polisi, huku moja likiwa ni Toyota crester lenye namba binafs za usajiri.
Yanaonekana yakikatiza kwa speed kali sana, eneo njia panda ya barabara ya Tunduru na ile ya matogoro, wakiikamata barabara ya kueleka matogoro, na kutokomea upande huo, huku yakitimua vumbi jingi sana, nyuma wakionekana askari kadhaa wajeshi la polisi wenye silaha zao aina ya SMG mikononi mwao.
Lakini magari hayo yanapo ingia kwenye eneo la migombani, linalo milikiwa na chuo cha ualimu, ambapo ghafla wanaona gari aina Toyota Hiace, lililosimama katikati ya barabara,
Gari la mbele ambalo ni land rover linashika brake za ghafla, na kusota katikati ya barabara, huku gari linalofwata, ambalo ni Toyota crester, likisota upande wakushoto wa barabara, ambako walikuwepo vijana wanne, waliopo kwenye maumivu makali, na wenye hali mbaya ya wazi, walio kuwa wanamtazama mwenzao alie kuwa amelala chini, pasipo uhai.
Gari la tatu ambalo ni land rover pia, lina sotea upande wa kulia, na mala gari linaposimama tu, askari wana ruka toka kwenye gari, na kutazama mazingira yanayo wazunguka huku wakiwa na tahadhari kubwa sana.
Insp Aisha anaweka sawa bastora yake, kisha anamtazama ASP Mzee, ambae tayari alikuwa amesha shika bastora yake, alafu kama wameambizana, nao wanashuka kwa pamoja toka kwenye gari, na kujibanza kwenye milango ya gari ambayo ilikuwa wazi.
Wanatulia kwa sekunde kadhaa, wakiwatazama askari waliokuwa wanakagua eneo lile kuhakikisha usalama, na wanapo lizika na usalama, ndipo na wapo wanapo jitokeza na kuwasogelea wale vijana. ……..Endelea …. kufwatilia mkasa huu wa #TOBO_LA_PANYA, hapa hapa
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU