
TOBO LA PANYA (60)

SEHEMU YA SITINI
ILIPOISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA TISA: “nikamsogelea na kumwuliza shida yake, sababu wanaume hawaluhusiwi kuja kwenye mabweni ya wanawake, labda kuwe na jambo muhimu, tena linalohusu chuo kizima” anasimulia Eliza kwa sauti yenye uoga mwingi. ….ENDELEA
“nilipofika nikamwuliza, anashida gani mpaka simame pale usiku na mna ile, akasema kuwa anashida ya kuonana na Joyce, hivyo akaniomba nimwambie wakutane bwaloni” alieleza Eliza ambae akuishia hapo.
“namimi nikaenda kumwita, tena walikuwa wote wana Farida” alisema Eliza, akimwa amemaliza kutoa maelezo yake, “unaweza kumfahamu huyo mtu, endapo utamwona tena?” aliuliza mmoja kati ya wale polisi watatu.
“ndiyo ni yule alie bebabwa na polisi, toka chumbani kwa kina Joyce” alisema Eliza, ambae licha ya umachachali wake wote, lakini ungemwona mida hii, usingeamini kuwa ni yeye.
“aina shida huyu mmoja akizinduka tu, atakutana na maswali ya kujibu” alisema yule A-Insp, kabla ajawaachia wakina Joyce, huku akiacha maagizo kuwa, ata wafwata endapo wtaitajika, kisha nao wakaondoka zaokuelekea kituoni.****
Naaaaaaam! kule mateka uhindini, nyumbani kwa Tino Nyondo, watu walikuwa wanazidi kuongezeka, walijaa nje na mndani, huku wakijitenga kwa madaraja ya adhi zao.
Lakini akuna aliekuwa anajuwa, kinachoendelea upande wa nyuma wa jengo ili kubwa, japo kila mtu anae mfahamu Nyondo, alisha tabiri kuhusu kitakachotokea, baada ya tukio la mauwaji ya mdogo wake Lukas.
Bwana Augustino Nyondo, alikuwa amekaa kwenye kochi alilokaa mwanzo, karibu na watu maarufu na wafanya biashara, ambao alikuwa anaongea nao ili na lile, katika kuliwazana, huku mlinzi wake Kichondo, akiwa amesimama pembeni yake.
Licha ya kuwa pale na watu anao wafahamu, wanampa pole na kumpigisha story, lakini kiukweli, bwana Tino Nyondo, muda wote alikuwa anasubiri jibu la Insp Aisha kwa hamu kubwa sana, alimini kuwa vijana wake lazima wa tamfanya Aisha aeleze huyo mwanamke yupo wapi, na huyo kijana ni nani.
Lakini, basi wakati Nyondo anasubiri jibu, kumbe wakati huo huo huko ndani mambo yalikuwa moto, maana Insp Aisha Amary, alie zunguka na vijana watatu wakatili wa bwana Nyondo.
Sasa alikuwa amefungwa kamba mikono yote miwili, uku akining’inizwa juu, na kubakia anakinyagia vidole, mdomo baado amezibwa na kitambaa, awezi kuongea wala kufanya lolote.
“kaka kabla ya kumwuliza chochote, mimi mimi naanza kwala kula kitumbua, maana nilikuwa na mtamani kishenzi huyu demu” alisema Ndaskoi, mmoja kati ya vijana watatu wa bwana Nyondo, waliopewa kazi ya kuongea na Insp Aisha, huku anamsogelea mwana dada huyu na kushika shati lake.
Insp siaha kusikia hivyo, moyo wake unalipuka kwa hoofu, kwamaana anajuywa leo lazima yamkute yale ambayo, amekuwa anasikia kuwa wanawake wengine wamekuwa wakifanyiwa na awa watu wa Nyondo, na wao wakifumbia macho kama walivyo agizwa na wakuu wa.
“unazaani nipeke yako una mtamani huyu afande, ata mimi nahamu nae kimyama” alisema Yahaya, huku Insp Aisha anashuhudia yule jamaa wa kwanza akianza kufungua kishikizo kimoja baada ya kingine cha shati lake, huku akimwacha na sidilia pekee.
Aisha anashindwa kuomba aachiwe, kwamaana bado kitambaa kipo mdomoni, “hapa ni wote, hakuna asie tamani, wote tuna gonga ngozi kisha tunaanza kumhoji,, mpaka atuambie huyu Malaya mwenzie yupo wapi” alisema jamaa wa tatu, huku nae akimsogelea Insp Aisha na kuanza kumvua suruali, huku ndaskoi ana kata mikanda ya sidilia, na kuitupia pembeni.
Dakika tatu mbele, Insp Aisha alikuwa katika mwonekano wa ajabu, maana suruali kwamia nyayoni, akiwa amebakia na chupi pekee, shati lina ning’inia, matiti yake mazuri yakiwa yanaonekana wazi kabisa.
“oya mimi sina zana, nagonga kavu kavu” alisema Ndaskoi, huku anaafungua mkanda wa suruali yake, na kutoa nje dudu yake iliyosimama vyema, akiwaambia wenzake kwamba hakuwa na kondom, “ata mimi sina zana, ila inabidi tumwagie nje, ili kila mtu afurahie” alisema Yahaya, huku nae anafungua mkanda wa suruali yake.
“inategemea sasa, kama nikizidiwa na utamu, nikwaga ndani mtanivumulia” alisema Ndaskoi, huku anaishika chupi ya Insp Aisha na kuishusha chini, huku Insp akifumba macho kwa kukata tamaa, “oya, Ndaskoi, ebu subiri kwanza” alisema Yahaya, huku anamzuwia Ndaskoi, asiendelee kuishusha ile chupi.
Ndaskoi anatulia na kumtazama Yahaya, “ebu tumshushe chini, ili tumwinamish….” maneno ayo aliongea Yahaya, lakini akumalizia, maana walishtuka mlango ukifunguliwa ghafla.
Wote wakashtuka na kugeuka kwa uoga, wakihisi kuwa mfuanguaji alikuwa ni mzee Nyondo na au Kichondo, kama siyo wote wawili, kwa pamoja, ambao wange waadabisha, kwa kuto kuanza kumhoji Insp Aisha.
Lakini walicho kiona kilikuwa ni afadhari ata angekuwa Nyondo mwenyewe, maana walimwona kijana mmoja mwenye kuvalia nguo nyeusi, akiingia ndani ka kasi ya ajabu, na kupita karibu na yule mwenzao wa tatu, huku akipitisha mkono wake kwenye shingo ya mtu huyo, ikifwatiwa na mmwagiko wa damu kama imemwagwa kwa ghafla.
Siyo tu wakina Ndaskoi, ata Insp Aisha nae anaweza kumwona mmoja kati ya wale vijana wa nyonfo, akiagunguka chini huku ameshikilia koo lake, Insp Aisha anawezakuwaona wakina Ndaskoi wametoa macho kama wamefumaniwa, kumtazama kijana huyu, ambae jioni hii ya leo Insp alisha mwona mara mbili, nah ii ikiwa ya tatu.
Wote wakaanza kupandisha suruali zao, kwa haraka ili wamkabiri kijana huyu, lakini kiukweli aikuwa bahati yao, maana kwa kasi aliyonayo kijana huyu wa ajabu, awakuweza ata kufunga zip za suruali zao. ….ENDELEA KUFWATILIA HADITHI HII YA TOBO LA Panya HAPA HAPA

