TOBO LA PANYA (78)

SEHEMU YA SABINI NA NANE

ILIPOISHIA SEHEMU YA SABINI NA SABA: “ila tungejaribu kusogea huko chini kidogo, tunaweza kuona kitu kinachoweza kutusaidia kujuwa kilichotokea” alisema Insp Aisha Amary, “mh!, lakini afande, huko ni bondeni, kama tukio lingetokea huko, sauti isingefika fika mbali, huko tuna jisumbua bule” alisema askari mmoja, akionyesha kuto kukubariana na wazo la Insp Aisha. , ….ENDELEA…..

“isitoshe washukiwa wa tukio, nikama tumepishana nao, wacha tuwai upande ule, pengine tunaweza tuka waona” alisema ASP Ayoub Mzee, na ambae sasa alikuwa na uhakika wa usalama wake, kwamaana familia ilikuwa ndani ya kituo kikuu cha jeshi la polisi.

“mh!, usikute wale ni vijana wa Nyondo, walikuwa wanamshambulia yule kijana” alisema Insp Aisha, kwa sauti yenye mashaka, ungesema anamzungumzia mtu wake wakaribu.

“sizani kama huyo dogo anapaswa kufa mapema namnahii, inabidi alimalize kundi lote, ndipo akamatwe” alisema ASP Ayoub Mzee, ambae mapaka sasa aliamii kuwa, kijana huyu mpole, mwenye roho ya kikatili zaidi ya samba, ni msaada kwake, endapo atafanikiwa kulimaliza kundi la Nyondo.

“usikute wamesha mteka na kumpakiza kwenye gari lao” alisema Insp Aisha, kwa sauti ambayo kila mmoja aliitilia mashaka, kwamaana ilikuwa ni sauti yenye mshtuko na mashaka, ungesema anae mzungumzia ni mtu anae fahamiana nae sana, pengine ni kwaajili ya ule msaada aliopewa, wa kuokolewa toka kwa Nyondo.

“basi tupande kwenye magari tuwai mjini” alisema ASP Ayoub Mzee, na wote wakatawanyika, wakipanda kwenye magari yao, wakionyesha kuafiki amri ya ASP Ayoub Mzee, ambae ndie mtoa amri wa kikundi kile.

Dakika mbili mbele, tayari magari yalikuwa yamesha geuka, na kutazama upande wa mjini, na kuanza safari kuelekea upande huo, yakiachiana mita hamsini hamsini toka kila gari.

Tukio lote mwanadada mwana dada Anastansia alilioshuhudia kwenye TV, “kumbe aliwakimbia awa polisi” alisema Anastansia, huku anainuka toka kwenye kochi, alilokuwa amekaa, na kuelekea chooni, mbio mbio.

Anastansia anatembea kwa haraka, akiufwata mlango wachoom ana anapo ufikia anausukuma kwa nguvu na kuingia chooni kisha anasisimama kwenye sink la choo, akiliweka katikati ya miguu yake.

Kitendio bila kuchelewa, anaishusha ile truck mpaka usawa wa magoti, kisha anachuchumaa haraka, pasipo kuacha ata sekunde ipite, unasikika mkojo ukichuruzika kwa fujo, na kuwagika kwenye sink la choo.

Lakini basi, Anastansia akiwa kati kati ya ukojozi, mala anaona kipande cha ukuta kina funguka kama mlango, nae akiwa bado amechuchumaa, anatoa macho kwa mshangao, kutazama ule ukuta, asijuwe nini la kufanya.

Mala anamwona kijana ampole anaingia chooni akitokea uapnde wa nje, na visu vyake mkononi, amechafuka kwa damu kama anatokea buchani, macho yao yanakutana, Anastansia anaonekana kuwa katika mshangao, anatazama kifua cha kijana huyu.

Hance ambae akutegemea kumkuta mwanamke huyu mrembo, akiwa katka hali kama hii, amechichimaa, makalio na mapaja yake manene, yakiwa wazi, hakika ilimpa msisimko kubwa sana.

Hance anahisi dudu yake inaanza kujitutumua, na kutuna kwenye bukta yake, ata Anastansia ambae alikuwa kama bado alikuwa amebumbuwazika, anaposhusha macho chini, anaona jinsi hali ya mwenzie ilivyo kuwa mbaya, kwenye bukta, na yeye anashtuka na kukumbuka kuwa, alikuwa katika hali ambayo siyo, sahihi mbele ya mwanaume ambae siyo mpenzi wake.

Anastansia anaziba uso haraka, huku mkojo ukiendelea kuchuruzika, “mama yangu sijuwi bado anananichungulia” anawaza Anastansia, huku mikono ikiwa usoni,.

Sekunde chache baadae anamaliza kuklojoa, kisha anaondoa mkono usoni, na kumtazama kijana mpole kuona kama bado anamtazama, lakini anamwona kijana, alie damu mwili mzima, akiwa amegeukia sink la kunawia, naosha visu vyake.

Anastansia ambae anasimama haraka na kupandisha nguo yake, “kwani ilikuwa ngumu kusubiri nimalize” anaongea Anastansia kwa sauti ya kulalamika yenye kudeka, “ningejuwaje na mimi nilikuwa nje” alisema kijana mpole kwa sauti tulivu, huku anageuka na kuweka visu pembeni.

“kwani kuna kitu ujuwi wewe, sema umefanya makusudi tu” alisema Anastansia ambae macho yana shawishika kutazama tena sehemu mbele ya bukta ya kijana mpole, anacho kutana nacho ni zaidi ya hatari.

Aliona sehemu ile ikiwa imesimama kweli kweli, zaidi ya ilivyokuwa mwanzo, “muone kwanza, sijuwi anazania sifa, ndio nini sasa kusimamisha hivi” anajiwazia Anastansia, huku anapandisha macho kifuani kwa kijana mpole.

“yah!, nafahamu vingi, na nimeona vingi, lakini hii ya leo tofauti kidogo” anasema Hance, huku anashika bukta yake, na kuishusha chini, Anastansia anashtuka, na kuona dudu iliyosimama vyema, iliyobebwa katika mapaja yenye misuri komavu.

“we kaka unafanya nini sasa, uoni kama nipo hapa” anasema Anastansia kwa sauti ya mstuko, huku anaziba uso wake kwa viganja vya mikono yake, “kwani ni vibaya kuwa hivi wakati naoga, mbona wewe ulikuwa hivi mbele yangu, ukiwa unajisaidia” alisema Hance huku anafungua maji ya bomba la juu.

“mh!, kwahiyo wewe uoni aibu?” anauliza Anastansia, huku anaondoa mikono yake usoni, na kumtazama Hance, ambae anamwona amesimama chini ya bomba, amemgeuzia mgongo, anamwagikiwa na maji.

“wazungu wanaoga pamoja na wanalala pamoja” alisema Hance, huku anaendelea kuoga, “lakini wao wanakuwa tayari ni wapenzi, sisi siyo wapenzi” anasema Anastansia ambae anaendelea kumtazama Hance aliekuwa anaoga, huku mwanadada huyu, akianza kuhisi kama anatamani kitu toka kwa kijana mpole.

“sijawai kutongoza, pengine ingesaidia” alisema Hance, aliekuwa amemgeuzia mgongo Nancy, kwa haraka usingejuwa anamaanisha nini, ila Nancy ni kama ameelewa, maana alitabasamu kidogo, “kama ungeweza kutongoza ungeomba nini cha kwanza” anauliza Nancy, kwa sauti yenye aibu na tahadhari. ….ENDELEA….. KUFWATILIA HADITHI HII YA TOBO LA Panya HAPA HAPA

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata