TOBO LA PANYA (82)

SEHEMU YA THEMANINI NA MBILI

ILIPOISHIA SEHEMU YA THEMANINI NA MOJA: Mke wa bwana Nyondo tayari alikuwa amesha ingia mjini Songea, akipokelewa na dada yake, yani yuleanaefanyia kazi kwa Tino Nyondo, aliangua kilio kikubwa sana, akimlahumu mume wake, kwa kushindwa kumlinda shemeji yake Lukas. ….ENDELEA…..

Lakini lilipokuja swala la mazishi, aliambiwa kuwa, Lukas atozikwa mpaka ampate wa kumsindikiza, na msindikizaji siyo mwingine, ila ni huyu huyu alie muuwa, “lazima nimpate huyo ngiri, kisha nimzike mzima mzima, pamoja na Lukas” hiyo ndiyo kauri pekee ambayo ungekutana nayo pale ambapo ungeuliza kuhusu ratiba ya mazishi.***

Asubuhi hii Insp Aisha Amary na ASP Ayoub Mzee, iliwakutia barabarani, wakiwa katika doria, kabla awaja pokea maelekezo mapya toka kwa RCO, akiwataka waachie doria kwa Insp Malima, huku wao wakienda kupumzika kidogo, kabla awajaingia kazini, kama askari kanzu.

Insp Aisha, baada ya kufika nyumbani na kuoga, anapata chai ya moto, huku muda wote alikuwa anawaza juu ya kijana mpole, alie mwokoa toka kwenye mikono ya mtu hatari asie na huruma ata kidogo, kijana aliemwokoa toka kwa wabakaji.

Ata baada ya kupanda kitandani, Insp Aisha anawaza juu ya kijana huyu, na kujikuta anamatamani japo apate ata usiku mmoja na kijana huyu, mwambie asante kwa kile alicho mfanya, “hakuna sehemu nyingine, ambayo naweza kutoa mshukurani zangu vizuri, zaidi ya hapa kitandani” anawaza Insp Aisha, ambae ukiachilia shukurani toka moyoni, ila pia alikuwa a upwilu wa kufa mtu.

Insp Aisha ambae anawaza muda mrefu, huku akipania kutoa asante yake kwa kijana mpole, kisha anapitiwa na usingizi, huku ratiba yake ikiwa ni kukutana na ASP Ayoub Mzee, mida ya saa sita mchana, wakaendelee kumtafuta kijana mpole, wakati huo ASP Ayoub Mzee, alikuwa ndani ya jengo la polisi makao makuu, pamoja na familia yake, kwenye vyumba mahalumu, vya VIP protaction.***

Naaaaaaaam! Bidada Anastansia bado yupo kitandani, sasa alisha fumbua macho, lakini uso wake bado hupo kwenye tabasamu, anawaza na kuvuta picha juu ya tukio la kipekee, lililo tokea jana usiku, kati yake na Hance.

“Hance jamani, kumbe upole wake wabule tu, anajuwa kufanya” anajisema Anastansia, huku akiachia tabasamu la wazi kabisa, asa anapo kumbuka jinsi, walivyo anza kupapasana sehemu nyeti za kuleta msisimko, wakiwa bafuni, huku yeye akizidi kusisimkwa, na bakuri kulowa kwa utelezi wa mlenda, na kijana kuzidi kuzimamisha mwiko wake ukionyesha utayari wakuingia chunguni.

“kumbe kweli nitamu kama wanavyosemaga” alisema Anastansia, ambae ukiachilia kunyonywa na kupekechwa sehemu zote zinazo fanyiwa usafi, pia anakumbuka alivyo ingiziwa mwiko kwenye chungu chake, katika mitindo mbali mbali, ambayo alikuwa anaisikia au kusoma kwenye simulizi za kali #mbogo_edgar.

“mh! ile ya kuchuchumaa ndiyo hatari, yani niliisikia mkapa huko ndani kabisa” alisema Nancy, akiachia tabasamu pana, “ila Hance na yeye alisema anasikia utamu, hivyo awezi kusema kwa watu” alisema Nancy, huku anatazama mlangoni, anamwona Hance anaingia, amelowa jasho na vumbi, ni wazi kuwa, alikuwa ametoka kwenye kazi ya kuchimba shimo.

“jamani Hance mbona ukuniamsha mwenzio, ukaniacha nimelala mpaka saa hizi” anasema Anastansia kwa sauti ya kulalama, “unapaswa kupumzika, uwai kuamka ili ugundue nini” anasema Hance kwa sauti yenye utani ndani yake, huku anasogelea simu ya mezani.

Hance anainua mkonga, na kuanza kupiga simu sehemu, simu inachukuwa sekunde chache, kabla ya kupokelewa, “shikamoo mzee……., “sijuwi nisemeje, ila SA-07 alikuja kwangu asubuhi………” alisikka Hance ambae aliendelea kuongea pasipo upande wa pili kusikika, maongezi yalikuwa ni ni juu ya ujio wa mzee Haule pale nyumbani kwake.

Pengine unaweza kujiuliza swali, Anastansia amejuwaje jina la Hance, jibu nikwamba, jana wakiwa katika kati ya mchezo, Nancy muda wote akimwita Hance, “we mkaka, nifanye tu, nitakuwa nakupa kila siku, naomba usimwambie mtu” ndipo Hance alie nogewa na kila walicokuwa wanakifanya, akaamua kuweka wazi jina lake, jina ambalo wengi walikuwa wanalifahamu.

“jioni naenda kumaliza kazi, maana nikiacha hivi ata nisumbua na kusababisha TSA, wabaini kila sehemunitakayo kwenda” alisikika Hance akiongea na simu, japo sauti yake ilikuwa tulivu, yenye upole, lakini kiukweli, alikuwa anaongea mambo mazito, huku Nancy akimsikiliza, pasipo umakini wowote, zaidi aliwaza na kukumbuka kila alicho fanyiwa usiku wa siku ile.

“akiniowa nitafaidi” aliwaza Nancy, huku anajitabasamulia mwenyewe, mhakika akutaka kukosa tena kile alicho pewa usiku, “nikitoka hapa nitamwambia mama, nimesha pata mchumba” alijisemea Nancy, ambae akusikia chochote alicho kuwa anaongea Hance kwenye simu.

“nataka niwe huru, nitamalizana nae usiku wale, kabla ajawafikia watu wangu wa karibu…….., ongea na Farida, mpatie kila kitu muhimu kwaajili ya kumaliza swala ili, nataka iwe fundisho kwa watu wanao jiona miungu watu” hayo ni baadhi ya maneno ya Hance.

Dakika chache baadae Hance anamaliza kuongea na simu, kisha anatembea kuelekea usawa wa eneo lenye kitanda, huku anavua tishert yake, Anastansia anaachia tabasamu, huku anamtazama Hance, ambae anaelekea bafuni. ….ENDELEA….. KUFWATILIA HADITHI HII YA TOBO LA Panya HAPA HAPA

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!