
SEHEMU YA THEMANINI NA TISA
ILIPOISHIA SEHEMU YA THEMANINI NA NANE: “kwahiyo hali ni mbaya sana kaka Panya, niambie nifanye nini?” anauliza Farida kwa sauti yenye shahuku, “tulia kwanza nipo katika kipindi ambacho nakipenda sana” aliskika Hance toka upande wapili wa redio. ….ENDELEA…..
Naaaaaam! Tino Nyondo, anakoki bunduki yake na kuielekza juu, kishs anapiga risasi tatu mfululizo, huku anapiga kelele, “lazima ufe we panyaaaaaa” sauti inasikika eneo lote, sambamba na milipuko ya risasi.
Kisha bwana Nyondo, ananza kutembea kuzunguka upande wanyuma, ambako sasa hapa kuwa na mlipuko wowote wa risasi, “boss nivyema ungebakia hapa kwanza tutazame usalama wako” alisema mmoja kati ya wale vijana watatu.
“inamaana nyie wote, mnashindwa kunilinda zidi ya mtu mmoja” anauliza Nyondo kwa sauti yenye ghadhab, huku anamtazama yule jamaa kwa macho makali, “tunaweza boss” wote watatu walitoa jibu la pamoja.
Naaaaaaam!, Nyondo na vijana wake wanatembea kwa haraka kuelekea upande wanyuma, wakipitia upande wakulia, huku wanaanza kusikia kelele za maumivu na vishindo vya ikoto ya mapigano.
“ayaaaah! Nakufaaaaaa!,” “mamaaaaaa, mkono wangu jamani” “amenitoboa jicho”hizo ni baadhi ya kelele zilizo sikika, inamshtua kidogo, Nyondo ambae bado anaendelea kutembea, kuelekea upande wanyuma, ambako kelele zilikuwa zinaendelea kusikika.
Yaaaap!, ile wanaibuka upande wanyuma, wanshuhudia kitu ambacho awakuweza kuamini macho yao, maaana waliona kundi la vijana kama kumi nne, pamoja na Kichondo, wakiwa wamemzunguka mtu mmoja, ambae alikuwa ameshika visu mikononi makmwake amechafuka damu, huku miili ya watu wengi ikiwa chini.
Kwamacho yake Nyondo anashushudia vijana ake watatu wakimvamia yule kijana alie shika visu, nae anaruka teke la nguvu, ambalo lina tuwa kifuani kwa mmoja wao, na kumpeleka chini huku kijana yule akitanua miko yake yenye visu, na ambavyo kimoja kina pita shingoni kwa mmoja, na kingine kina pita kwenye kwapa.
Kabla ajatulia chini, anarusha kisu cha mkono wa kulia, ambacho kinaenda kukita kifuani kwa mmoja wa vijana wa Nyondo, aliekuwa anataka kumsogelea, huku wakati huo kijana mmoja akidaka jaketi la Hance na kulivuta anafanikiwa kumwangusha chini.
Lakini kw wepesi wa ajabu, Hance ananyoosha mikono na kuluhusu jacket lichomoke mwilini mwake, likiwa na baadhi ya silaha za kijana ule vingi vikiwa ni visu, nae anabakia na tisher nyeupe, ambayo pia ilikuwa na damu nyongi sana.
“muwai hapo hapo chini” anapiga kelele Kichondo, na hapo vijana wengine wanne, wakamvamia Hance, ambae kama mwanga alibilingika pembeni na kujifyetua kama mwana sarasakasi, na kuruka juu, akifika amesimama, huku akizungusha mkono wenye kisu.
Mkono aukwenda bule, maana kisu kinapita kwenye shingo ya mmoja kati yao, na kichwa kunaenda juu, na kabla akija tuwa chini, Hance alikuwa anafanya mzunguko wa pili, wa kisu, ambao ulipita kwenye matumbo mawili ya jamaa awa, na kutawanyisha tumbo zao, zilizo mwagika chini.
Nyondo akumini kitendo kilichofwata, ambapo Nyondo anaweza kuona yule kijana hatari, akipiga teka kichwa ambacho kilikuwa kinaeleka chini, kama mpira wa miguu, nacho kinaenda kumtandika mmoja kati ya jamaa awa waliokuwa wanajiandaa kumvamia.
Lilikuwa tukio la kutisha kidogo, tukio ambalo lina wafanya jamaa awa wazidi kuchanganyikiwa, lakini walikosa umakini, maana tayari Hance alisha ufikia mwili wa yule jamaa alie lala chini, na kisu kina ning’inia kifuani kwake.
Ata alipo kichomoa, anakurusha usawa wa jamaa mwingine, ambae akuw ana uweza wakukwepa, ile kisu kina tuwa shingoni, huku kijana anapita na shingo ya mwingine.
Hapo Kichondo ambae anajuwa fika asingeweza kupambana na kijana huyu, akatazama pembeni yake, anawaona vijana waliobakia ni watatu tu, anatazama kwa boss wake, anawaona wengine watatu.
Kichondo anatazama chini, anaona silaha nyingi zime zagaa, lakini anakumbuka kuwa nyinyingi azikuwa na risasi, lakini hapo hapo anakumbuka kitu, haraka sana anatazama kwenye jacket la Hance, lililokuwepo chini.
Naaaaaaam! Kichondo anaona kuna bastora mbili na visu, hapo akaona nivyema kama ata wai bastora na kumshambulia kijana huyu, ata kama siyo hivyo basi ni kwaajili ya kujilinda yeye mwenyewe, hivyo basi Kichondo akaanza kuhesabu kimoyo moyo, “moja….. mbili……”
Lakini basi wakati anapiga mahesabu hayo, kumbe bwana Nyondo nae anapata wazo la haraka, maana alishaona hali ni tete, kama kundi kubwa la vijana wake wameuwawa, itakuwaje kwa awa watu wachache walio baki nao.
Ila bahati yake ni kwamba, yeye na vijana wake watatu, walikuwa na silaha zenye risasi, “mnashangaa nini shambuliaaaaa” kauri hii ilitoka sambamba na “tatu…” Kichondo akachomoka kuwai jaket la Hance, Hance mwenyewe akajitupa chini, na kubilingikia kwenye uvungu wagari.
Huku nyuma yake, zikisikika kelele za milipuko ya risasi risasi zinakutana na Kichondo ambae alikuwa anarukia jacket la Hance, “mnatuuwa” anapiga kelele mmoja kati ya vijana watatu waliokuwa na Kichondo, huku wakichukuwa maficho.
Isivyo bahati kwao, wawili walijikuta kwenye vungu ya gari ambalo Hance alikuwa amekimbilia, kilicho watokea, kilimfanya yule mwenzao kwenye gari la pili, achomoke na kujnaribu kukimbia, lakini nae akufika mbali, sababu alichomoka sambamba na Hance, ambae alimuwai na kupita na shingo yake.
Bwana Nyondo alimiani maneno ya kwenye ule ujumbe, kwamba akae mbali na kijana huyo, kwamba ni mtu hatari sana, “shambulieni” alipiga kelele Nyondo, huku anageuka na kukimbilia kule alikotoka, yani upande wa mbele wa jengo la ofisi zake. ….ENDELEA….. KUFWATILIA HADITHI HII YA TOBO LA Panya HAPA HAPA
All Rights Reserved © | Simulizi TAMU