
UTAMU WA JAMILA (05)

SEHEMU YA 05
” Mambo.”alisalimia yule mdada akionesha tabasamu.
“Poa vipi sista.”
“Safi tu, samahani mwaya hivi hauna CD yoyote ya sizoni ya kikorea iliyotafsiriwa uniazime nikaangalie?”aliuliza yule mdada na kumfanya Badu aachie tabasamu.
” Wewe pia unakaa humu?”aliuliza Badu akiwa anamtazama yule mdada.
“Ndio mbona nakaa chumba cha pembeni yako hapo. Na nimekuwa nasikia mara kadhaa sauti za muvi nikashawishika kuja kukuomba.”
“Dah aisee kumbe nakaa warembo himu jamani!” alitania Badu na kumfanya yule mdada aachie tabasamu zaidi. Tabasamu lililoonesha dimpo zake kwenye mashavu yaliyomvuruga akili Badu.
“Maamae! Huyu dada kaumbwa jamani kah!”alijisemea moyoni Badu huku akiusogeza mlango wake kutaka kuingia ndani.
“Poa basi subiri nikuangalizie.”aliongea Badu na kuingia zake ndani moja kwa moja akaenda kwenye meza ya Tv ambapo kuna sehemu ya kuwekea CD.
Akaanza kuchambua kumtafutia iliyo nzuri. Alipata kuona cd moja ya picha ya ngono ambayo aliikumbuka mara ya mwisho kuitazama alikuwa na msichana ndani na ndiye aliyetaka iwekwe watizame na dakika chache tu wakajikuta wanavuana nguo wakayafanya waliyoyataka kwenye kochi.
Aliiweka pembeni na kubaki kucheka tu akikumbuka shoo aliyotoa kwa msichana yule siku hiyo. Alikamata cd moja iliyoandikwa CITY HUNTER kisha akanyanyuka nayo kurejea pale mlangoni ambapo alimkuta jirani yake amesimama.
“Kuna hii hapa moja sijui utakuwa umeshaiona, hebu itazame.”alimpatia cd ile yule mdada.
“Waoh jamani huyu mkaka nampenda sana aisee. Na hii nilionaga kipande kimoja tu nikiwa kwenye basi. Wacha nikaitazame saivi maana niko bored sana aisee nikiimaliza nitairudisha.”
“Ah hiyo si mpaka kesho tena wala usijali.”
“Kama inavipande vichache namaliza leoleo maana sina kazi kabisa leo ni muvi kwenda mbele.”aliongea yule dada na kumfanya Badu afurahi. Alimruhusu wakaagana huku yule dada akiingia zake chumbani kwake.
Badu alibaki kutabasamu tu na kuingia zake ndani.
“Hii nyumba inamajaribu sana kwakweli. Wananichokoza wenyewe wakati nilishaachaga zamani.” Aliongea Badu akitazama televisheni yake akiwa anaangalia movi.
Upande wa pili Mwajuma akiwa zake ndani alipata kuona ujumbe kwenye simu yake ukimtaka atoke nje. Alifurahi kuona ni ujumbe uliotoka kwa mpenzi wake Roja akimtaka muda huo. Alijipulizia pafyumu yake kidogo na haraka akatoka nje ambapo alikuta kuna gari dogo aina ya IST ikiwa imepaki pembeni ya nyumba yao. Aliisogelea baada ya kuijua na hata alipofika alifungua mlango kuingia ndani ya gari. Alipokelewa na mabusu kedekede ya huba hadi walipotosheka.
“Nilikumisi mpenzi wangu, za huko.”aliongea Mwajuma akionesha furaha kumuona Roja.
“Ah tunashkuru huko nzuri tu dear. Hata mimi nimekumis sana mpenzi natamani leo twende tukanyanduane ila nina kazi ya watu gereji aisee sidhani kama nitaimaniza mapema.”
“Jamani Roja mwenzio ukisema hivyo yani asss!”aliongea Mwaju na kujikuta anatoka pale alipokaa na kumkalia Roja akianza kumpa mabusu ya mdomoni kuonesha anahamu ya kufanya muda huo.
“Mmmmh Mwaju hebu tulia basi. Unajua tupo kwenye gari na kioo hakina tinted tunaonekana.”
“Bwana Roja nifanye basi kidogo hata hapa kama utakuwa bize leo.”
“No siwezi kufanya hivyo kwenye gari. Mwaju unajuwa wewe ni expensive sana usijirahisishe hivyo. Thamani yako sio ya kwenye gari mpenzi wangu, najua unahamu na mimi wacha leo nikamalizie kazi za watu then kesho nakuita geto tunagalagazana mpaka uishiwe nguvu kama sikuile.”alisema Roja na kumfanya Mwajuma atabasamu huku akimpiga kofi la bega mwenzie baada ya kukumbushwa tukio lililopita.
“Haya bwana mi nitasubiri hiyo kesho. Ila ndio ujue ninanyeg* mpenzi wangu usione najirahisisha kwenye gari hivi ukajua mimi maji mara moja. Nafanya kwakuwa nakupenda wewe Roja.”
“Usijali Mwaju na wala sikumaanisha vibaya. Mi najua wewe kwangu hufurukuti nani anabisha hapa mtaani.”
“We jishaue tu.”
“Huo ndio ukweli mamiloo.”
“Haya bwana miye wacha nirudi zangu ndani nahisi huku chini kama kumelowa nshajichafua hapa.”
“Pole baby ,mi kesho nakushuhulikia wala usijali. Sawa eh, kamata hizi utatumia basi.”aliongea Roja na kumpa Mwaju noto za elfu tano mbili.
“Haya asante my, uwe na kazi njema.”
“Okay bye.”
Waliagana wawili hao baada ya Mwajuma kushuka kwenye gari Roja akaondoka zake akifurahi tu maana kabla ya kuja kwa Mwajuma alimsindikiza Mayasa hadi kwao kwa usafiri huo na huku napo Mwajuma akionesha kumuhitaji angali hakuwa na hamu naye kabisa muda huo.
Huku Mwajuma naye alirudi ndani hadi chumbani kwake.
Alivua ngua zake na kweli chupi yake ilikiwa imelowana kwa msisimko. Aliitupa kwenye nguo chafu kisha akavaa kanga yake na taulo kwenda bafuni kujisafisha. Baada ya muda alirudi zake na kujifungia ndani hakutaka kusumbuliwa.
Mama mtu muda huo alikuwa zake ndani kwake anapanga nguo zake vizuri.
Mawazo juu ya mpangaji mgeni yakamjia tena jambo ambalo alijikuta analitafakari sana muda huo.
“Huyu namuingiaje huyu hafi leo sijamfaidi!”alibaki akiliwazia swala hilo asipate jibu.
Akiwa kwenye tafakari hizo alipata kufahamu kitu. Aliona kwa kufanya hivyo atampata Badu kwa urahisi. Alinyanyuka pale alipo haraka na kuchukua sidiria yake moja na simu yake ya mkononi akainama kwenye kitanda kisha akavitupia huko mbali. Alipomaliza hilo akabadilisha nguo na kuvaa dela tupo bila ya nguo yoyote ndani kisha akatoka kwenda chumba cha Badu.
Muda huo mwenyewe akiwa bize na kuangalia tv alipata kusikia tena mlango ukigongwa, bila hiyana alinyanyuka na kuufungua mlango akakutana na sura ya mama mwenye nyumba.
SHUHULI IPO HAPO!

