UTAMU WA JAMILA (46)

SEHEMU YA 46

“Mama J mzima wewe? Za muda ?”

“Salama tu kwema?”

“Ah safi nona umenawiri mama mtu.”aliongea Roja na kupeleka mkono kwenye kiuno cha mama J.

“We Roja hebu acha ujinga wako. Na bora nimekukuta hapa maana nilikuwa sijui kama unafanyia kazi hapa. Sikia Roja, naomba kuanzia siku ile hadi miaka yote iwe mwanzo na mwisho kufanya ule mchezo. Yaani tusifuatiliane tena nilikutamani tu kwa kipindi kile umeshanifaidi nami nishamalizana na wewe kwahiyo mazoea tena yasizidi kuanzia sasa.”alisema Mama J akiwa anamtazama Roja kwa makini.

“Mmh mama J kwani tumegombana? Au kuna kitu kimetokea?”

“Wala hakuna jambo lolote, na nilikuwa nimekupata kupitia Mwajuma. Ila kwasasa nimeamua kutulia kabisa sitaki haya mambo.”

“Dah haya sawa mama, kama kweli umeamua hivyo sawa. Ila hata mwanao pia tumeachana kwasasa.”alisema Roja.

“Nililijua hilo jana baada ya kuambiwa na Mwajuma.”alisema mama huyo na yule dereva akapata kuingia kwanye bajaji hiyo akaiwasha.

“Kwaheri kijana, kazi njema.”aliaga mama huyo na bajaji ikaondoka zake. Roja alibaki kutabasamu tu hadi bajaji ilipotokomea. Aligeuka zake kurudi hadi pale ambapo alikuwa anafanya kazi kwenye lile gari alilokuwa Jesca ndani.

Hapo ndipo Jesca alipata kumuona sura vizuri Roja na kumkumbuka. Aliitoa simu yake na kutafuta kitu. Alitazama ile video ambayo aliwahi kuirekodi baada ya kuingia ndani kwa mama J na kushuhudia akifanya mapenzi na kijana, leo ndio anapata kujua yule kijana ndio huyu fundi ambaye anatengeneza gari hilo kwasasa, Roja.

Baada ya muda Mayasa alipata kufika sehemu aliyotakiwa kujutana na Badu. Moja kwa moja aliingia ndani na kuelekea kwenye chumba husika kama alivyopewa maelekezo. Aliingia humo na kupata kumuona Badu akiwa amejilaza kwenye kitanda akiwa na taulo tu. Mayasa alitoa macho tu lakini alijikaza kwakuwa ni mtu mwenye shida.

“Oh karibu sana Mayasa.”

“Asante mwaya.”alijibu Mayasa na kusogea kwenye kiti akapata kukaa.
Badu aliinuka na kusogea pale kwenye meza kushika simu yake.
Mayasa alitazama pale na kupata tumaini hilo baada ya kuona makablasha pale mezani.
” Yes boss, haya sawa ndio nakuja huko kesho mapema sana hapa nimeshaanda ripoti yote wala usijali. Yah wote wapo vizuri na nimejihakikishia hilo wote wapo sawa kabisa. Haya bosi nikutakie siku njema.”alisikika Badu akiwa anaongea na simu muda huo.

Alizidi kumuaminisha Mayasa kuona hapa ndio sehemu sahihi kwake anapaswa kumnyenyekea. Alimtazama mwanaume huyo ambaye alijaaliwa kifua cha wastani na mwili wake wa mazoezi.

“Haya hebu nipatie vyeti vyako nione Mayasa.”aliongea Badu akiigiza kama kweli mtu wa mishe hizo.
Bila pingamizi Mayasa alitoa vyeti yake kwenye bahasha ya kaki na kumoatia Badu azitazame.
Ilimchukua muda kidogo kuipitia vitu hivyo Badu na kuonekana kusikitika. Jambo hilo lilimfanya Mayasa amkodolee macho tu huku akiwa makini naye.

” Dah Mayasa nimeona vyeti vyako sawa, ila kati ya watu ambao ninazo taarifa zao hapa nimezikusanya ili wapitishwe kwenye usaili huwafikii hata nusu. Inshort upo chini yao Mayasa.”

“Jamani naomba unisaidie we kaka, nipo chini ya miguu yako.”aliongea Mayasa akishuka chini kumpigia magoti Badu.

Muda huo ndio Mwajuma alipata kufika hapo. Aliingia ndani moja kwa moja na kuelekea kwenye chumba hicho.

“Dah unanipa mtihani mgumu sana Mayasa. Hapa nakusaidiaje mimi sasa” aliuliza Badu kwa makusudi akiwa anamtega Mayasa ayakanyahe mwenyewe.

“Naomba nisaidie kaka yangu, nipo tayari kufanya chochote ili nipate hiyo kazi. Nimechoka kuishi nyumbani kaka nisaidie.”alisema Mayasa akionesha kweli niya ya kupata kazi.
Mwajuma alipata kusikia sauti ya Mayasa akilazimisha kuomba afanikiwe jambo lake.
Aliusogeza mlango kidogo na kupata nafasi ya kuwaona ndani, haraka akatoa simu yake na kuanza kuwarekodi.

“Mayasa! Kweli unachosema kinatoka moyoni mwako?” aliuliza Badu.

“Nakuhakikishia kaka kweli, ninashida haswa ndio maana nakwambia hivyo.”aliongea Mayasa na kumfanya Badu apate ujasiri wa kutimiza lengo lake. Aligeuka kusogea kitandani kisha akavua lile taulo lake na kubaki mtupu kabisa, Mayasa kwa aibu alitazama chini.

” Nadhani hili litafanikisha swala lako kuwa rahisi. Njoo basi tulimalize.”alisema Badu akiwa anamtazama Mayasa.
Alikuwa anasitasita lakini aliona wacha akubali ili tu lengo lake likamilike. Aliinuka na kuanza kusogea taratibu hadi pale kitandani akakaa. Badu akaanza kumvua nguo zake akionesha mwenye aibu na mwishowe akamlaza kuanza kumpa mabusu tele. Mwajuma alitabsamu tu pale mlangoni akiendelea kurekodi.

SHIKAMOO BADU.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!