UTAMU WA JAMILA (33)

SEHEMU YA 33

Alifanya vile alivyoambiwa haraka akatoka nje karibu na ukuta wake anazima ile taa ya pale nje kisha akaingia ndani kuuacha wazi mlango wazi. Hazikupita dakika tatu Mwajuma aliingia ndani akimkuta Badu amekaa kwenye sofa lake. Alisogea hadi pale na kumpa busu la shavuni.

“Ulinishtua muda ule Mwajuma uliposema unashida namimi nikirudi. Sikujua nini unataka kunambia Mwaju.”alihoji Badu akiwa anamtazama Mwaju.

“Mh sasa nimekushtua kwa lipi jamani. Sikuwa na la zaidi nikipata shauku tu ya kuonana na wewe. Nilienda kwa yule mwanaume niliyekuwa naye kimahusiano. Nimefika aisee hadi nimejuta kwanini nilienda.”

“Eh imekuwaje tena?”

“Nimekaribishwa na sauti za mahaba ndani huko anamkamua mtu hata sikujua ni nani. Ndio maana nimekupigia simu mda ule ukirudi unifariji nisahau tukio lile.”alisema Mwajuma na kufunua kanga yake akaiangusha chini. Alibaki bikini yake pamoja na sidiria za kufanana akiona ndio vazi zuri la kuvaa muda huo.

Hadi kufika saa3 usiku Jesca ndio aliweza kuwasili kwake. Alichopanga kule hotelini hakikufanikiwa, alitegemea kurejea mapema sana baada ya kumalizana na mwanaume yule. Lakini mwishowe alishikiliwa na mwanaume yule baada ya kuamka hadi jioni hiyo. Alifungua geti na kuanza kuelekea zake kwake, alisikia tu mziki ukipiga kwenye chumba cha Badu na asisikie nini kinachoendelea humo. Alifungua mlango wa chumba chake na kuingia zake ndani.

Siku hiyo Badu alikiona cha moto kwa Mwajuma maana alikuwa hataki Badu afanye lolote zaidi ya kulala tu kila kitu amalize mwenyewe. Hakika alipania sana usiku huo na kumfanya Badu mwenyewe akubali leo ameshikika hasa. Hakutaka kukubali kuzidiwa kila kitu Badu, alimpindua Mwajuma na kumuweka chini huku akiinyanyua miguu ya binti wa mwenye nyumba na kuanza kumpa raha. Hapo Mwaju alijisikia burudani na raha ya aina yake anayopata kwa mwanaume huyo. Sauti yake ya kilio cha raha zilizidi kumsisimua Badu akizidisha kasi ya kutoa huduma.

“Badu unajua kunifanya hivi jamaniii! Ah Badu! Badu! Rahaaa! Oh my God! Nifanye Badu! Badu nifanye miyee! Naskia raha Baduu.”hakika alilalamika Mwajuma lakini ndio ilikuwa raha kwake. Alizidi kumsifia Badu kwa kile anachokifanya.

Huku kwa Jesca ndani kwake alikuwa akijaribu kupiga simu kwa Badu mara kadhaa lakini simu haikuweza kupokelewa mara zote anazopiga. Alikuwa zake amekaa tu kitandani akiwa kama alivyozaliwa, alishajiandaa kabisa kama alivyompanga Badu kule hotelini wapate kufanya ya kwao.

“Jamani Badu ndio nini sasa kunikaushia! Si upokee simu sasa!”Alianza kuchukia na kuhisi kama anafanyiwa kusudi maana muziki ndani ya chumba cha Badu unaskika kuonesha bado hajalala.
Alijilaza zake kitandani akijaribu kupotezea lakini alishindwa kabisa. Hakuona haja ya kujitesa tena kuvumilia pale kitandani, alinyanyuka na kuchukua kanga yake akajifunika kisha akaanza kutoka nje. Alitazama kuangalia kama kunamtu pale nje, akajiridhisha baada ya kuona kupo shwari. Taratibu akapiga hatua hadi mlangoni mwa Badu akaanza kubisha hodi.

Kwa makelele yale ya muziki hawakuweza kusikia lolote wakiwa ndani. Muda huo walishabadili mikao mingi hadi kushuka chini ya kapeti wakiwa wameshusha mito pale chini. Mizuka ilimpanda Badu baada ya kupata mtu anayeendana naye siku hizo na hakuna aliyeonesha kukubali kuchoka kirahisi.
Jesca pale mlangoni alipata kusikia kwa mbali sauti ambazo hakuweza kuzijua mapema. Ilimbidi asogeze sikio lake vizuri kuliweka kwenye tundu ya funguo, hapo napo hakuweza kusikia vema. Ilimbidi asogee hadi dirishani apate kusikia. Huko ndiko alipojiridhisha kwa kile ambacho alisikia awali.
Sauti ya mwanamke akilalamika huku akimsifu Badu kwa jinsi anavyomsugua.

Hakuamini Jesca kwa kile ambacho anakisikia, alizidi kutega sikio kusikia zaidi.
“Baduuuu! Nakupenda Baduuu! Sijutii kukupa mwili wangi jamani! Aiiiiiiishhhh tamuuuuu!” Mwajuma alizidi kusikilizia raha anazopata kwa Badu. Mwanaume alitoa huduma nzuri kwa msichana huyo ambaye ni wazi amekolea kwa Badu.
Jesca kule nje moyo ulimpwita baada ya kujua sasa kumbe simu anayopiga haipokelewi kumbe mwenzake anafanya mapenzi na mwanamke mwengine. 

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

error: Content is protected !!