LOML | Love Of My Life (13)

๐‹๐Ž๐Œ๐‹ (๐‘ณ๐’๐’—๐’† ๐’๐’‡ ๐’Ž๐’š ๐’๐’Š๐’‡๐’†) โฃ๏ธ:13
Aliniambia kwa kutania โ€œndugu yangu, bwana harusi muda huu una patikana au hujui kazi ya fungate?โ€
Nilicheka na kusema โ€œnisharudi nyumbani ndugu yangu. Mke wangu ana changamoto kazinu.โ€

Rafiki yangu alisikitika na kusema โ€œhii mbaya lakini mambo yatakaa sawa au unasemaje?โ€
Nilitabasamu na kusema โ€œnaamini hivyo.โ€
Rafiki yangu akaniambia โ€œnilikuwa nikusalimie tu ndugu yangu.โ€
Nilitabasamu na kisha nilivuta pumzi hata rafiki yangu akaniuliza โ€œRicky, kwema kaka?โ€

Nilisema kwa upole โ€œhata sijui nini kinatokea ndugu yangu. Naona kabisa mke wangu simpendi, simuelewi kama naona sio mwanamke wangu ninaye mtaka sipati ile furaha.โ€

Rafiki yangu alinisikiliza halafu akaniuliza โ€œupo sawa Ricky?โ€
Nilijikuta najilaumu kumwambia nikisema โ€œnilijua tu, nilinua utanilaumu badala uniambie nini kinatokea. Potezea kaka.โ€

Rafiki yangu aliniambia kwa upole akisema โ€œNakuelewa Ricky, na wala wewe sio wa kwanza kujihisi hivyo na ndiyo maana nakuelewa. Kitu pekee kwa haraka haraka naweza kusema ni kuwa ipe ndoa yako nafasi kwanza halafu mengine tuonane ili tuzungumze.

Nakuambia hivyo kwasababu, huyo ni mke wako, mmeapa leo kupendana mpaka kifo kiwatenganishe na hakuna sababu rahisi ya kufanya muachane na ndoa haina hata maisha. Ricky jifunze kumpenda huyo mwanamke, sijui utafanya nini ila inatakiwa kuwa hivyo.โ€

Rafiki yangu alikuwa sahihi, mbali na hayo ni mama wa mtoto wangu. Haya mawazo ya ajabu sijui hata nimeyatoa wapi. Nilimwambia rafiki yangu โ€œnashukuru sana rafiki yangu, sijui hata ni nini ila naomba nikuahidi kuwa nitajitahidi sana kuipa nafasi ndoa yangu. Leo ni jumapili kaka, nimechoka sana. Nipumzike na kesho kesho kutwa tunaweza kuonana.โ€

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

THE CHIEFโ€™S DAUGHTER FULL

KIAPO CHA MASIKINI FULL

BIOLOGY TEACHER FULL

SIMULIZI YA INGIZA FULL