
LOML | Love Of My Life (23)


ππππ (π³πππ ππ ππ ππππ) β£οΈ:23
Nilimtazama na kusema βnisamehe mke wangu, nakupenda sana na nitakuwa mwangalifu sana.β
Mke wangu alinitazama, halafu alitaka kushuka, akakunja sura akisema βMungu wangu!!!, Mungu wangu!!, naumia sana Ricky, siwezi kukaa vizuri panauma.β
Alinifanya nizidi kuumia, nilijikuta natokwa na machozi kabisa. Hata nilisema βmke wangu nifanye nini uwe sawa?β
Mke wangu alinitazama na kusema βnaomba tu pain killer tafadhali.β
Mtoto wa watu nilianza kufuata dawa na nikarudi na kumpatia. Alikunywa, kisha nilimchukua taratibu mpaka bafuni. Natamani ungemuona mke wangu siku hii. Hata sikuwa na hamu, nilikuwa najisikia kuumia muda wote, naona kama mimi ndiyo mtenda dhambi dunia hii hakuna mwingine.
Kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni dhambi ambayo mimi kama kijana ambaye nimelelewa na kutunzwa vizuri na baba na mama yangu nilisema kamwe, katu sitakuja nikae nikaifanya. Naumia imenitokea bila kujua kivipi na tena na mke wangu naumia najisikia vibaya sana.
Mke wangu alikosa raha kabisa tangu hii siku. Nilikuwa najitahidi kumletea zawadi ananipokea akisema βweka tu hapo.β
Namtazama kwa huruma namuuliza βunajisikiaje baby, mke wangu au unajisikia vibaya twende hospitali nipo tayari kuwajibika na hili.β
Mke wangu ananitazama na kusema βhapana mume wangu sijisikii tu vizuri, najisikia vibaya sana.β
Nilikuwa namkumbatia huku neno samahani ya dhati ikitoka kwenye uvungu wa moyo wangu. Na hapo nakaa kitandani namuacha ana chat na rafiki yake hata wataongea video call mimi tena natoka zangu naenda sebuleni au nje.
Hili tukio, lilinifanya mara kwa mara niongee na Mungu nikisema βMungu naomba nisamehe sana halikuwa lengo langu, haikuwa nia yangu, nisamehe sana Mungu wangu.β
Natamani nikuambie nilivyokuwa nateseka, hata nikawa natazama jinsi ya kumsaidia mwanamke aliyeingiliwa kinyume na maumbile kwa mara ya kwanza ili ajisikie vizuri kiakili na kimwili.