LOML | Love Of My Life (26)

π‹πŽπŒπ‹ (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 π’Žπ’š π’π’Šπ’‡π’†) ❣️:26
β€œmume wangu kipenzi, acha imani hizo na maisha ya bibi zetu. Maisha sio magumu hivyo unajua.”
Nilimtazama na kusema β€œsawa, nguo zangu za ndani tafadhali nitafua mwenyewe.”

Nikaondoka na kurudi zangu ndani yeye anaita β€œmume wangu, mume wangu!!”
Mimi wala sikupenda kabisa, naingia ndani chumbani nakutana na huyu mama mlangoni. Tulipishana kisha nikasimama na kuita β€œmama Babuuu!!”

Alisimama na kusema β€œboss!!”
Nilimwambia kwa upole β€œnaomba mke wangu akikupa boksa zangu zirudishe nitafua mwenyewe.”

Huyu mama aliinamisha hata kichwa chini kwa aibu. Ila nitafanya nini hata mimi siwezi vumilia mama yangu huyu anifulie boksa mimi, haikubaliki na sio huyu tu kwanini mdada wa kazi afue na wakati mke wangu yupo.

Nimeingia chumbani, chumba kimetulia, kisafi na sio mke wangu amefanya ni huyu mama. Roho inaniuma sana. Naona kabisa hii ndoa hata miezi 6 ikifika ni kwa nguvu za Mungu. Huyu mwanamke sio ambaye mimi nilitaka awe mke wangu. Hana vitu mimi nataka kwa mke wangu. Roho yangu inaniuma mpaka natamani kupasuka.

Hili wiki la pili tena lilipita, nakumbuka jumamosi ilikuwa. Mke wangu alipendeza sana chumbani siku hii. Kwa uzuri tu mke wangu amejaliwa. Nilimtazama, alinitazama na kunikonyeza. Nilitabasamu maana najua tu mtoto mzuri atakuwa amenikumbuka na ameamua kunisamehe lile liliotokea na sasa nitakuwa makini zaidi.

Basi nilishindwa jizuia nilimfuata mke wangu, tukapeana ulimi. Busu nikubusu, muda wote nilikuwa nafurahia tu huku ndani yangu najiapiza kuongeza umakini muda wa tendo. Tuliandaaana vizuri kama ilivyo kila siku na mambo yalianza.

Nikiwa juu ya mke wangu, nilishangaa kuona anainuka sana, halafu ameshika fimbo yangu yeye mwenyewe amejiweka tena kwa njia isiyo, nilitetemeka, yeye hapo hana habari, anafurahia sana.

Nilitoa fimbo yangu, nikaweka sehemu sahihi na kuendelea nikihisi labda utamu umemzidia anachanganya. Si akageuka tena na akatoa sehemu sahihi na kuniwekea sehemu anayotaka yeye.

Hapa sasa ndiyo niligundua kuwa hata ile siku, na kununa alivyo jinunisha ni makusudi, anajua anachofanya. Nilishindwa kujizuia, niliinua mkono wangu na kumpa mke wangu bonge moja la kibao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€¦β€β™€οΈπŸ™Œ

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

KIBOKO YANGU FULL

SHEM MI NATAKA FULL

SIMULIZI YA INGIZA FULL

JOGGING MASTER FULL