
LOML | Love Of My Life (40)

๐๐๐๐ (๐ณ๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐) โฃ๏ธ:40
Nilimtazama na kutoa mikono yake nikisema โnimechoka sana, naomba nikapumzike tafadhali.โ
ฤฐle nimepiga hatua tu, mke wangu alฤฑnฤฑ dandia mgongoni tena huku analia na kunikumbatia kwa nguvu akisema โmume wangu tafadhali Naomba nisikilize nakuomba.โ
Niligeuka na kusema โutaniambia nini nikuelewe G, una lipi La kusema ?โ
G huku analia kwa uchungu, uso umejaa machozi alisema โlipo mume wangu, tafadhali nisikilize.โ
Nilishusha pumzi, Kisha nikaingia chumbani na kukaa kitandani. Mke wangu aliingia chumbani, alipofika tu mlangoni alipiga magoti, alitembea na magoti mpaka nilipokuwa akilia kwa uchungu na majuto, natamani ungemuona namna anatia huruma na Kisha alianza kwa kusema โ๐๐๐๐คฆโโ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธIla haya maisha

