
LOML | Love Of My Life (48)


ππππ (π³πππ ππ ππ ππππ) β£οΈ:48
Maisha yangu yalianza hapa na mke wangu. Mke wangu alitoka kwenda kazini na mimi nilitoka kwenda kazini kwangu. Alikuwa ananipitia kazini, ananiletea na zawadi basi vile akiingia ofisini amependeza watu wanaona boss kapata kumbe wala hata simgusi mke wangu kabisa yaani.
Akifika anasema βbaby nimekuletea zawadi nzuri sana, tafadhali pokea.β
Natabasamu napokea, ananiuliza βmume wangu umeipenda?β
Namwambia kWa tabasamu βAsante mke wangu ni nzuri sana, nimeipenda.β
BaΕΔ± ananiambia βtukale tafadhali dinner mpenzi.β
Namtazama tu nasema βni sawa mke wangu.β
BaΕΔ± tunarudi nyumbani tunapendeza tunakula lakini ndani simgusi kabisa. Siku zilienda huko chumbani mke wangu anajitahidi kunivalia vitu vizuri lakini mimi nafsi yangu imeingia nyongo kabisa mpaka siku hii.
Ilikuwa tumetoka Dinner tumependeza. Tulipofika nilivua nguo nikaingia kuoga na mke wangu alifuata Baada yangu. Alitoka akiwa amevalia nguo nzuri ya kulalia. Nilimtazama na kusema βumependeza sana Gabriella.β
Alitabasamu na kusema βkila kitu nafanya kwaajili yako mpenzi.β
Nilitabasamu, na Kisha alianza kunifuata na Kisha alinipa mdomo wake. Siku hii nakiri ni wazi alipania sana. Alianza kunipapasa sehemu anajua mimi ni dhaifu, alinifunua ile gauni yake na kukaa mapajani mwangu akinibusu.
Ghafla nilijikuta nakwepa nikisema βnimechoka sana Gabriella nataka kupumzika.β
Gabriella alinitazama na kusema βthis is not fair. Sio haki kabisa Ricky. Ni nini unafanya. Una maana ninavyo kuomba msamaha hunielewi, ni nini sasa kujifanya umenisamehe. Najaribu kila kitu kuhakikisha nakuwa bora, nakupa furaha, najenga Tena nyumba yetu.