
LOML | Love Of My Life (63)


ππππ (π³πππ ππ ππ ππππ) β£οΈ:63
Lakini kuna roho inaniambia βkama unajisikia hivyo unatakiwa ufanyee ili ujiridhishe fungua utaona kwanini unajisikia hivyo.β
Ilikuwa Jumamosi, tumefanya mambo yetu chumbani nikajifanya nimechoka sana. Mke wangu alinibusu, na kuingia bafuni. Nilibaki pale kitandani nimeshika ile simu naogopa kabisa. Mara nikahisi mke wangu anatoka haraka nikafumba macho yangu.
Mke wangu aliendelea kuvaa halafu alipomaliza alitoka na simu yake aliacha chumbani ni wazi alikwenda kuangalia masuala ya jioni jikoni hapa sasa na mimi nikaingia bafuni nikaoga na kuvaa vizuri tu. Kisha nilishika hii simu ya mke wangu.
Nakumbuka nikabonyeza 25, nikasita. Nikashuka pumzi yangu ndefu sana na kisha nikaendelea 259987. Simu ya mke wangu ikafunguka.
Ile imefunguka tu ujumbe unaingia βMpenzi kusema ukweli mimi siwezi kuvumilia penzi lako, unazidi kuwa mtamu kila siku, nataka tena na tena nataka nikufanye (hapa sasa anaongea neno La kutisha) mpaka ukimuona mumeo uniite mimi.Nakupenda we mjinga napenda kila kitu kuhusu wewe.β
Nilitetemeka, nilishuka haraka nikaziscreen shot zile meseji na kutuma kwangu zilikuwa ni nyingi sana. Zilikuwa ni nyingi mno. Na Ndipo nikawa nasoma. Utasema sio mke wangu, huku anavyo chat, anavyosifiwa hilo umbile ambalo mimi nililia kisa nilijua nimeweka bahati mbaya.
Anaambiwa βmtoto una kitu(neno halisi) mtamu balaa nachanganyikiwa kila muda. Zile kelele zako mimi hoi, ukininyonya ndiyo kabisa nachanganyikiwa mtoto yondo sista najuta kwanini sikukuoa au tuwaache tu hawa tuoane sisi.β
Mke wangu anajibu βuna balaa sana, kusema kweli unanivuruga nachanganyikiwa na hapo bado sijakupa vizuri nasubiri nishushe hili tumbo lako kwanza.β