LOML | Love Of My Life (108)

π‹πŽπŒπ‹ (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 π’Žπ’š π’π’Šπ’‡π’†) ❣️:108
Alinyamaza, nilimtazama na kusema β€œbinti yangu mzuri, sikufanyii wewe, wala sitaki unichungulie. Mama akiwa chumbani tulia sawa mwanangu. Naomba uwe hujaona chochote.”

Binti yangu aliniambia tu kwa upole huku machozi yakimtoka β€œsijaona chochote mama.”

Kiukweli sijui kama alielewa kitu chochote, nakumbuka tu namna anapendana na baba yake. Kwa aibu nilitoka chumbani, nikarudi tena kula maisha.

Baada ya mwezi ungeniona tena na mwingine, hata nikakutana na mwanaume ambaye sasa kwake mapenzi ndiyo kama nyumbani kwake. Huyu akifika kwangu hata mlangoni.

Kwenye makochi sebuleni, jikoni na mimi nilikuwa najisahau kama nina binti ndani. Sikuwahi kujua kabisa kuwa binti yangu ananifuatilia, na kile kitu nafanya anaenda kufanya na watoto wengine huko shule.

Sikuwahi kujua mpaka ile siku niliyoenda shule Baada ya kupokea wito.Mwalimu alinisalimia kwa upendo na kuniambia kitendo cha mwanangu kumwambia mtoto mwingine wa kiume alale juu yake, na haitoshi alimng’ata mwenzake uume wake akijua ndiyo ana mnyonya.

Kama mzazi nilishtuka hata nilitaka kumpiga nikisema β€œtabia mbaya sana hii, ni tabia ya wapi hii wewe mtoto unanidhalilisha namna hii mama haki umejifunza wapi?eenh utaniambia umejifunza wapi?”

Mwalimu aliniambia β€œmama Gabriella tulia tafadhali. Sikia Gabriella anasema wewe ndiyo una mafundiso haya nyumbani. Kama mwalimu imenishtua sana.”

Hata mimi nilishtuka, na hata mwalimu akamuuliza tena swali β€œmtoto mzuri, uliona wapi haya mambo?”
Gabriella alinitazama na kusema β€œkwa mama, naona kwa mama akifanya.”

Niliinamisha kichwa changu kwa aibu. Kisha mwalimu alishusha pumzi na kusema β€œnenda kacheze nje halafu nitakuita tena sawa eenh, mimi naongea na mama yako.”


Mpaka mwanangu anatoka mimi namtazama. Başı niliongea mengi na mwalimu zaidi ni kutokubali kufanya mapenzi sehemu ya kuonekana namna hii na mwisho mtoto na yeye anataka kufanya.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

CHAGUO LA MOYO FULL

UTAMU WA JAMILA FULL