LOML | Love Of My Life (128)

π‹πŽπŒπ‹ (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 π’Žπ’š π’π’Šπ’‡π’†) ❣️:128
Natamani Kama ungepata nafasi ya kuona nyuso zao walivyokuwa wanaona aibu, wanatetemeka, ooh mke wangu machozi anayo kuwa analia yaligoma kabisa kumtoka kabisa.

Mimi sasa, naona kabisa mapigo ya moyo yanavyoenda kasi kuliko kawaida, yalikuwa yanadunda ovyo mpaka nahisi kichwa kuuma, nahisi kuanguka kwa kizunguzungu.

Hapa ndiyo nilikumbuka maneno ya Pina kwa kasi, tena kasi kubwa sana, Yale maneno aliniambia kwa hisia za maumivu β€œUnatakiwa kujua kuwa sio kila mtu kwenye maisha yako anapokosea anatakiwa kupata nafasi nyingine ya kuendelea kukukosea kwasababu kiuhalisia ni kuwa watu wanapokosea wanajua kuwa wanakosea Ila wameamua kuchagua kukosea.

Mara nyingi watu wanakuona una maana kama tu una faida yoyote kwao.Na unapokuwa kwenye nyakati ngumu kama hΔ±zΔ± Hakuna mtu wa kukusaidia, kujisaidia ni jukumu lako wewe mwenyewe sasa uchague kuzama au kuwa mshindi.

Hakuna mtu wa kukuvusha mpaka ufungue moyo wako wewe mwenyewe kwasababu muda hauponyi kila kitu badala yake unaficha tu maumivu yako lakini baadaye utayakumbuka tena na Utalia ikibidi ili uwe sawa.

Kikawaida watu wanakutendea kulingana na unavyo Vumilia, ukivumilia leo kesho anaongeza anajua una uwezo wa kuvumilia.

Maisha yetu haya sisi wote tunavaa vinyago, ni vile tu wengine tunavaa vizuri tusionekane upande wa pili na wengine wanavaa vinyago sio vyao ndiyo wanaonekana wabaya mbele za watu haina maana wengine hawana upande wa pili.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

KIBOKO YANGU FULL

UTAMU WA JAMILA FULL

JOGGING MASTER FULL