
LOML | Love Of My Life (157)


ππππ (π³πππ ππ ππ ππππ) β£οΈ:157
nitese utakavyo ila mimi nikiwa na wewe. Siogopi kuumia na wewe Pina.
Hata kama sio sasa, wakati unafikiria kuwa na mahusiano basi niwepo kwa maisha yako ili niwe wa kwanza kupata nafasi hiyo. Nakupenda sana, Nakupenda Pina.
Know that, nakupenda. Sipendi kuona unaumia hivyo sitamani kukumiza. Naomba tuunganishe maumivu yetu na tupone pamoja. Nasikitishwa na simulizi yako, ila ninayo imani tutapona pamoja.β
Pina aliniita βRodricky!!!β
Niliinua mkono wangu na kushika mashavu yake, nilikuwa nampapasa, na yeye alinishika mikono yangu kwa upendo akitokwa machozi. Ghafla mlango ulifunguliwa, nilishangaa kumuona mama yangu, na Gabriella bula hata aibu.
Mama alinikimbilia na kunikumbatia. Wakati huo Willy anamsaidia Pina. Kama alisema βmwanangu, kwanini unanifanyia hivi eenh, sasa mbona hujaniambia chochote na umekaa siku zote hizi?β
Nilimtoa mama mwilini na kusema βMama huyu shetani amefuata nini hapa?β
Mama alishangaa, na kusema βmwanangu huyu si mkeo Gabriella.β
Nilijikuta napata nguvu nilikaa na kusema βmke wangu kwa ndoa ipi mama, mimi na Gabriella tumemalizana. Sitaki kuona hata sura yake popobawa mkubwa huyu.
Naomba umtoe hapa mama, mtoe na sitaki kumuona kwangu. Aondoke kabla sijapata kesi mbaya. Sikutaki na kamwe usikanyage hapa.β