
LOML | Love Of My Life (169)


ππππ (π³πππ ππ ππ ππππ) β£οΈ:169
Kiukweli kabisa, natamani sana nifumbue macho yangu nione mwanaume mzuri namna hii anafanana vipi, nataka nione Gabby alicho poteza. Ricky sauti yako inaonesha ni namna gani ulivyo mwenye huruma, upendo na busara.
Hakuna na hayupo mwanamke hataki mwanaume kama wewe hapo. Nakupenda sana, tena sana tu ila si unaona hadithi niliyokuwa nakusimulia ni inataka kufanana, mama yako hanitaki mimi.β
Nilitabasamu na kusema βhii ni tofauti sana Pina. Sema ndiyo uone tofauti yake.β
Pina alitabasamu na kusema βNakupenda sana Ricky, Nakupenda na sitamani kukupoteza.β
Nilimkumbatia na kusema βtofauti ni kuwa mimi nakupenda sana, mimi nakupenda kweli, mimi Ricky nitahakikisha unakuwa na furaha watake au wasitake na wala sitaki ujisikie vibaya kwenye hili. Nataka wewe uwe mwanamke mwenye furaha sana.
Nakuhakikishia hili kwasababu najua shida yao, na mimi sitakubali hilo itabidi watuzoee, kwasababu ninapenda.β
Nilimtazama na kusema βlakini mimi sioni.β
Ricky mimi nilitabasamu na kusema βSijali, mimi najali upendo wako peke yake. Kama suala ni macho tutatumia hata yangu. Na kama ni yanaweza kupona nakuahidi nitafanya juhudi uwe kama zamani ili uendelee na kazi kama zamani.β
Pina alinikumbatia kwa nguvu akisema βndiyo maana ya kuwa wewe ni hatima yangu, yes you are, My fate!!. Siamini kabisa masikio yangu. Ina maana utanilipia gharama za matibabu?β
Nilimwambia kwa tabasamu βna kila kinachotakiwa wewe uone kwasababu hukuzaliwa hivi basi kuna namna na kama ikishindikana mimi bado sijali, nautaka tu moyo wako uwe wangu Pina.β