LOML | Love Of My Life (170)

๐‹๐Ž๐Œ๐‹ (๐‘ณ๐’๐’—๐’† ๐’๐’‡ ๐’Ž๐’š ๐’๐’Š๐’‡๐’†) โฃ๏ธ:170
Wote watatu tulicheka. Kisha Willy alinitazama na kusema โ€œtumpigie Dereva amuwahishe Pina, na kisha mimi nikaangalie mishe si unajua eenh. Kisha baadaye narudi hapa.โ€

Nikamwambia โ€œmpigie basi wakati tunamsubiri unatoa maelekezo.โ€
Tuliendelea kucheka na kisha aliniambia โ€œamesema anakuja tusubiri kaka.โ€

Basi ndiyo akawa ananiambia kuwa walikuwa wakinitafuta na bahati mbaya kazini niliwaelekeza kuwa unaumwa hivyo walifika kazini wakaambiwa mimi nimesema hivyo. Basi mama akanitafuta mimi na sikuona sababu ya kuendelea mficha na kumbe mkeo na yeye anakutafuta wakiwa wote.

Nilitabasamu nikisema โ€œGabby!!, Gabby!!, Gabby!! Na vipi baba. Simu yangu iko wapi?โ€
Willy alinisaidia kutazama simu na akasema โ€œina missed calls kama zote.โ€

Kutazama nilisema โ€œMungu wangu sikuweka sauti kabisa. Na baba amejua kunitafuta.โ€
Pina aliniambia kwa upole โ€œmtoe hofu.โ€

Basi niliendelea kukagua simu yangu, naona kabisa Gabriella eti amepost status yake hana aibu kabisa โ€œGet well soon hubby, ukiumwa naumwa. Nakupenda sana.โ€

Tena amechagua picha yangu nzuri kweli, hana aibu hata. Nilitazama na kukasirika, nilimblock kabisa, maana naona anachanganyikiwa vibaya sana.

Pina na Willy waliamua kuniacha tu, ulipita muda mimi nahangaika na simu Willy alisema โ€œdereva amefika sasa.โ€
Pina alisimama na kusema โ€œnitarudi kwaajili yako Ricky.โ€

Nilitabasamu na kusema โ€œbaby Please, know that i love you na nakusubiri hapa.โ€
Pina alitabasamu na kujibu โ€œanything for you handsome!!โ€

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

SIMULIZI YA INGIZA FULL

CHAGUO LA MOYO FULL

THE CHIEFโ€™S DAUGHTER FULL

SHEM MI NATAKA FULL