
LOML | Love Of My Life (179)


๐๐๐๐ (๐ณ๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐) โฃ๏ธ:179
Nilimtazama na kutabasamu nikisema โwewe ndiyo maombi yangu ambayo nilimuomba Mungu. Pina mimi nakupenda sana na nitafanya lolote ujue kuwa nakupenda sana. Ninakupenda mno.โ
Pina alitabasamu na kusema โchakula, kinapoa sasa. Tule kwanza.โ
Nilitabasamu na kusema โ unataka kuniambia ulienda nyumbani kupika?โ
Alitabasamu na kusema โnilisikia muda ule mke wa Willy ndiyo kapika nikaona sio mbaya nimsaidie.โ
Nilimtazama na kusema โungesema basi nikupe pesa ukanunue chakula.โ
Alinitazama na kusema โkumbe hospitali wanagawa pesa kwa wagonjwa mbona sijui nianze kuumwa pia.โ
Nilicheka sana nikisema โunajua wewe huna akili?โ
Alicheka na kusema โupo sahihi, lakini wewe huna kabisa haya sasa nisaidie niweke vizuri nisimwage.โ
Nilipokea mfuko na kumsaidia kupakua chakula na kuweka kwa sahani. Zilikuwa sahani za plastiki ila nilifurahia sana. Ndizi hizi na utumbo vimeandaliwa kwa upendo sana.
Nilikuwa nahamu ya kula kweli. Tulisali, na kisha alinilisha kijiko kimoja nikasema โni bibi sio wewe, huwezi kupika ndizi tamu hivi.โ
Alicheka na kusema โunafanya masihara ernh, mimi najua kupika sana acha masihara. Bibi yangu anajua lakinj unajua vya kurithi vinazidi.โ
Nilisema nikitabasamu โacha kuongea naomba chakula.โ
Alitabasamu akisema โumekipenda eemh, naona umekipenda sana.โ
Nilitafuna nikisema โsanaaaa, unajua naona kama nimepona hivi?โ