
LOML | Love Of My Life (195)

ππππ (π³πππ ππ ππ ππππ) β£οΈ:195
Pina sasa alivyo na makusudi, alisema kwa madekoβbaby please, unajua bado haupo ok. Fanya kwaajili yangu. Usigombane na looser mpenzi utamaliza nguvu zako bure. Relax ataondoka mwenyewe.
Eti Gabby kwani hujui kukataliwa mke, nilikuambia umepoteza ina maana hukunielewa. Please ondoka bila kumuudhi mpenzi wangu.β
Gabby aliinuka na kufoka βunapata wapi nguvu ya kuongea hivyo ndani ya nyumba yangu kwa mume wangu. Kama hujui huyu bado ni mume wangu. Ni hasira tu Ila haibadilishi ni mume wangu.β
Pina alitabasamu wakati mimi Nina hasira, nilisema βkelele Gabby, sauti yako inanikera. Beba mizigo yako na uondoke hapa. Ondoka ni mambo mengi ya kufanya tafadhali.β
Pina kwa upole alinisogelea, na alinishika mdomo akisema βbaby, usipige kelele please utaumwa tena.β
Halafu alinipa midomo yake, mbele ya Gabby na mama babuu alianza kunibusu tena kwa upole kabisa. Ushawahi kuwa na hasira halafu ukatulizwa na Busu. Pina hakuweza hata kutazama hasΔ±ra alianza kuondoka bila hata begi zake huku analia.
Pina kwani ana acha, ndiyo kwanza ananishika vizuri. Huyu binti kipofu ananifanya nachanganyikiwa mimi, mambo yake yananipa raha anatembea na hisia zangu zote, na mimi nikamshika vizuri kama sio mgonjwa vile, hasira zimepoa na kuanza kumbusu vizuri.
π«£π«£π«£π«£sasa mbona kama mimi ndiyo Pina mwenyewe ππππ au basiiiiiiii wapiii Team Gabbyππππuwiiii Afu Vipendwa acheni kuniita Gabby mimi simtakiiiππππ€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈsa itakuaje jamaniii eeneh nyieeee nyieeee amkeeeeeniiii amkeeeeniiii amkeniiiiiiiiiiiiiiii amkeniiiiiiiiiii Penziiiiiiii Mungu fundiiii dongo kalifinyanga π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈππππππGabbyyyyyyyy, baba naye eti anasaga unga tenaπππππππ

