
LOML | Love Of My Life (201)

๐๐๐๐ (๐ณ๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐) โฃ๏ธ:201
Alitabasamu na kusema โkwa upande wangu mimi ni historia tu ya maisha yangu. Bibi yangu analipenda sana kanisa lile ingawa kila mahali kuna kanisa. Baada ya kuhamia kwake nilijikuta nakwenda na bibi kanisani Mara nyingi sana.
Kanisani pake palianza kuwa nyumbani kwangu. Nikilia, nikiwaza wapi nimekosea, nikiumia, nikifanya lolote basi kanisa lile ndiyo kimbilio langu.
Hata nikazoea kabisa. Nikiwa pale ninakuwa na furaha sana. Nafurahia kฤฑla kitu ni kama huwa naongea na Mungu kabisa. Unajua kinacho nivutia zaidi?โ
Nilitabasamu na kusema โeenh Nipe siri.โ
Alitabasamu na kusema โni lile grotto pale. Pana Siri zangu nyingi sana pale. Napenda kila kitu.โ
Nilitabasamu tu na kusema โunakuwa mzuri sana ukifurahi unajua.โ
Alinitazama akitabasamu na kusema โunanifanya nafurahia sana Ricky.โ
Nilitabasamu na kusema โkaribu sana.โ
Akaniuliza kwa upole โna wewe Unaendeleaje?โ
Nilishusha pumzi na kusema โnaendelea vizuri sana, lakini nachoka sana hapa nilipo natamani sana kujilaza.โ
Alitabasamu na kusema โni vizuri ukajilaza ili mwili ukae vizuri na hutakiwi kujitesa kwa mawazo hata kidogo. Kunywa dawa na vipi ushakula?โ
Nilitikisa kichwa na kusema โbado kipenzi, lakini Nina hakika sio muda nitakula.Tutakula wote.โ
Alitabasamu tu, na wakati huo mama Babuu anatoka na vitu akisema โBoss unaweza kwend tayari.โ
NIlimshika mkono Pina na kusema โtunaenda wote?โ
Alitabasamu na kusema โbila Shaka.โ
Baลฤฑ kWa upendo tuliongozana mpaka chumbani.Tulipofika, alisimama katikati ya chumba akisema โwaoooo!!, pananukia vizuri sana.โ

