LOML | Love Of My Life (211)

๐‹๐Ž๐Œ๐‹ (๐‘ณ๐’๐’—๐’† ๐’๐’‡ ๐’Ž๐’š ๐’๐’Š๐’‡๐’†) โฃ๏ธ:211
BaลŸฤฑ nilisogea kitandani na kujilaza karibu na mpenzi wangu, alivyo kuwa amelala kazuri kama katoto. Niliita kWa upendo โ€œbaby!!, mpenzi wangu, my fortune, tafadhali amka.โ€

Niliona taratibu alifungua macho yake akitabasamu. Na mimi nilitabasamu na Kisha nilisema kwa upole โ€œnashukuru sana kwa chakula kizuri sana Pina. Nimefurahia sana na Nimekula sana. Chakula ni kitamu naona kabisa nikila na baadaye kesho naamka na nguvu kabisa. Mtoto unanichanganya mimi.โ€

Alitabasamu na kusema โ€œthanks for the compliments sweetheart. Nimefurahi sana hata Umenifanya nitafakari tena kitu gani kizuri nikipika utafurahia.Nakupenda Ricky.โ€

Nilitabasamu na kusema โ€œwewe unajua kipenzi, ukipika chochote niamini kitakuwa hi kitamu sana. Nashukuru.โ€

Alinikumbatia, kฤฑla akinikumbatia nasikia rahaa sana. Unajua Kumbe ni tofauti sana.

Ukiwa na mtu unayempenda ukimuona tu unatabasamu, ukiwa naye karibu unatabasamu, akikuambia maneno mazuri na matamu unasisimuka bila sababu, akikukumbatia unaishiwa nguvu zote, akikubusu unatetemeka, namaanisha hivi ukiwa na mtu unayempenda kuna furaha ambayo sikuwahi kuwa nayo zamani, kuna furaha sijawahi ipata maishani ndiyo kwa Mara ya kwanza na furaha hii inanishangaza sana. Ni furaha ya kweli, furaha kutoka ndani ya moyo wangu.

Mpenzi wangu Pina aliniambia โ€œnajua unajisikia vizuri sasa, naomba niruhusu nirudi nyumbani.โ€
Nilimtazama nikisema โ€œninakupeleka, tunaenda wote.โ€
Alitabasamu, halafu aliniambia โ€œlakini si unaumwa wewe.โ€
Nilimtazama na kusema โ€œabiria chunga mzigo wako.โ€
Alicheka akisema โ€œyaani wewe na hapo ni unaumwa hivyo.โ€
Alitabasamu na kufanya na mimi nitabasamu.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

SHEM MI NATAKA FULL

SHEMEJI UMECHOMEKA KWELI? FULL

SIMULIZI YA INGIZA FULL

KATOTO KA FORM ONE ๐Ÿ”ž FULL