LOML | Love Of My Life (212)

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:212
Niliinuka na kuvaa shati nyingine vizuri, na nilipomaliza nilimuinua na kusema “natamani usiondoke Pina. Lakini sina namna.”
Alitabasamu na kusema “kuwa na Subira mpenzi. Utafika wakati utanichoka mwenyewe.”

Nilitabasamu na kusema “naanzaje kumchoka binti mzuri na mrembo Kama wewe.”
Alicheka, na mimi nikacheka tu. Başı nilimvuta karibu yangu na kusema “napenda ukinipa busu, napenda namna mapigo ya moyo wangu yana simama kufanya kazi, na nakuwa Kama nimehama sayari hii.”

Alitabasamu na kusema akideka “sasa babaaa, si nitakuua.”
Nilicheka nikisema “wewe mtoto mzuri ukiwa ndiyo umeniua mimi. Hata siwezi kujuta. Napenda kıla kitu chako.”

Alicheka, halafu akanyanyukia kidogo uso wangu ili kufikia midomo yangu. Nikamzungusha mpaka ukutani, hapo nilimbananisha hata akawa anahema juu juu, nilifurahia busu lile kwa muda wa dakika kama 5 mpaka 8 hivi, nilikuwa napata raha sana.

Nilipomuachia, alikuwa ana hemea juu juu, aliita kwa sauti ya chini sana “baby thanks, thanks so very much.”
Nilihema kwa nguvu na kusema “Nakupenda sana.”

Taratibu alinipapasa kwa zipu, akanigusa palivyo vimba. Akatabasamu na kusema “Nakupenda Ricky.”
Hivi ushawahi kuambiwa neno nakupenda tu mpaka ukahisi Vilivyo lala kuamka. Ndivyo ilikuwa kwangu. Nilimkumbatia, akanikumbatia tena.

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata