LOML | Love Of My Life (218)

π‹πŽπŒπ‹ (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 π’Žπ’š π’π’Šπ’‡π’†) ❣️:218
Nikacheka tu na kukakata simu nikisema β€œeti baba Pina. Willy bhana.”
Niliendelea na kutabasamu mpaka tulifika. Baada ya kufika nilibisha hodi sikutaka dereva aingie.

Mlinzi alifungua, Baada ya kufungua niliingia kuelekea mlango wa kuingia ndani. Nilibisha hodi na Giana ndiye alifungua.

Aliponiona alishtuka sana. Nilitabasamu na kusema β€œkwanini unashtuka namna hiyo?”
Alinionesha ishara β€œshhhhh!!! , mume wangu yupo please shem.”

Nilitabasamu na kusema β€œmimi sio shemeji yako Giana. Nipo hapa nimeleta simu ya twin wako, bff wako, sweetcandy eenh, simu hii hapa utampatia na utamkumbusha kuwa sitaki kuona sura zenu.”

Alinitazama usoni kama anataka kulia, mimi nilitabasamu na kusikitika maana kuna ndoa unazionea huruma sana.

Mama ana dhambi mpaka ya kusaga mahindi alijisemea baba yangu, baba na yeye kule kwa mke wangu ana kula kΔ±la kitu habakishi kitu.

Hivi unaona hawa watu wanafikiria hata kizazi chao. Unatakiwa kuwaonea huruma tu. Maana asilimia kubwa wapo kutokana na wazazi wao walivyo. Wanarithi vingi na vitu vingi vinatembea kutoka kwa wazazi kuja kwao.

Kesho mtoto akiwa na tabia ya ajabu usimtafute mchawi wakati ni wewe unatakiwa uchunge njia ako kuanzia sasa. Ukiwa mama, ukishakuwa baba unatakiwa ubadilishe nyendo zako.”

Giana alinitazama na kusema β€œnaona aibu Shem, sijui hata nini kimenikuta.Sikuwa hivyo alinishawishi sana. Yeye ndiyo alinifundisha mimi.”

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

KIAPO CHA MASIKINI FULL

LOML | Love Of My Life FULL

UTAMU WA JAMILA FULL