LOML | Love Of My Life (221)

๐‹๐Ž๐Œ๐‹ (๐‘ณ๐’๐’—๐’† ๐’๐’‡ ๐’Ž๐’š ๐’๐’Š๐’‡๐’†) โฃ๏ธ:221
Akiongea kizungu chake kwa upole sasa mimi natabasamu, nilimwambia โ€œnipo hapa mama, unataka kusikia nini kutoka kwangu.โ€

Pina aliniambia โ€œsauti yako, sauti yako ni sababu ya maisha mapya kwangu, I love the way you talk, haswa ukisema nakupenda Pina wangu, nachanganyikiwa.โ€

Nilitabasamu na kusema โ€œNakupenda Pina wangu.โ€
Akakaaa kimya, nikaita โ€œPina!!, Pina!!, Pina unanisikia.โ€
Akacheka na kusema โ€œnilishachanganyikiwa uliposema Nakupenda Pina wangu.โ€

Nikacheka nikisema โ€œhivi unajua akili huna Pina.โ€
Alinijibu kwa upole โ€œkwaajili yako Ricky, kweli sina akili, Sina kabisa, crazy for you baby boy!!โ€

Nilitabasamu na kusema โ€œPina madeko wangu, napenda ukideka, unanikumbusha kuwa mimi ni mwanaume na natakiwa kukudekeza zaidi. Lakini sasa, ukisema Nakupenda Ricky wangu ndiyo nachanganyikiwa.โ€

Alicheka na kusema โ€œLoml, nakupenda sana.โ€
Nilicheka nikisema โ€œPina sitaki, Loml ni yangu, umeniibia, umeniibia ni yangu hiyo.โ€

Pina alicheka akisema โ€œuna hati miliki
Yake, ni yangu na nishasajili kabisa.โ€
Hapo nishafika nyumbani tupo tunagombaniana Hati miliki ya LOML ni ya nani. Na wote mnajua ni yangu sema tu Pina ni mkorofi. BaลŸฤฑ tunacheka mpaka naingia sebuleni ni fujo. Nilimtazama Willy huku natabasamu nikasema โ€œLOML.โ€

Pina akasema โ€œSitaki ni yangu mimi ndiyo nikuite hivyo.โ€
Nikacheka na kusema โ€œacha utoto Pina, ujue Willy yupo hapa anatuona hatuna akili. Nitakupigia sawa My Fortune.โ€
Pina alisema โ€œno no nooooo no no hii ndiyo naimiliki kabisa.โ€

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

BIOLOGY TEACHER FULL

NILIMPENDA KUPITA KIASI FULL

BINTI MDUNGUAJI FULL

SHEM MI NATAKA FULL