
LOML | Love Of My Life (244)

ππππ (π³πππ ππ ππ ππππ) β£οΈ: 244
Nilisema kWa sauti ya chini βtaratibu baba yupo.β
Alianza kunipigapiga akisema βumeona sasa nimeongea ujinga.Nipeleke kwa baba.β
Nilicheka na kumshika mkono, alifika kwa baba, alisamia. Baba aliitikia akisema βmarahaba binti yangu unaendeleaje?β
Nilitabasamu vile wanaelewana wenyewe, baba ana mchekesha Pina wanacheka basi inakuwa ni furaha sana huku akimsifia kwa kufanya nipendeze na wazo za biashara.
Wao eti ndiyo walishikana mikono kuingia ndani mimi tena mpenzi mtazamaji. Niliwapiga picha na kufurahia nyakati zote hizi.Basi tuliingia ndani. Kama familia tulikaa Pamoja na kuanza kusali kwaajili ya chakula. Pamoja tulikula, tulifurahia sana .
Hii ilikuwa ndoto yangu, kuwa hivi na familia na kufurahia. Kusema kweli nilikuwa nafurahi sana. Na Baada ya kumaliza hapa, tuliongea pamoja mimi, baba na Pina huku tukicheka hadithi zile za baba na watoto na Baada ya hapo baba aliaga.
Nilimwambia baba tutoke wote nataka nimpitishe mwanamke wangu saluni kwaajili ya kesho kanisani basi baba yangu anafurahia sana.Tulitoka pamoja, na mambo yalikwenda vizuri kabisa.
Ingawa baba alikuwa na dereva wake eti alipanda kwetu halafu alipofika mahali akashuka kuingia upande wetu. Ndiyo baba yangu, mcheshi sana.
Na sisi tuliendelea na mambo yetu. Mambo yetu sisi upande wetu yalikuwa ni mazuri sana. Yalikuwa ya kufurahisha sana na huku tukifanya maandalizi ya kesho kanisani na nikawa namsimulia kuhusu macho na vitu Kama hivyo.
Alikuwa anafurahia kuona namna tunampigania na maisha yetu yanaendelea vizuri kabisa kwa furaha. Muda mwingi alikuwa anatabasamu tu na Kushukuru. Ni mwanamke wa Pekee sana huyu. Ni wa pekee sana. Nimekutana na wasichana wengi wazuri Ila hawana tabia nzuri kama huyu wangu. BaΕΔ± alivyo mzuri na mrembo, anapendeza sana. Nami nilivyo na bidii ya kufanya azidi kuwa mwanamke wa kuvutia sisemi sana. Alipendeza sana.
Siku iliyofuata sasa ndiyo jumapili kanisani, tulijiandaa pamoja na tulienda kanisani pamoja. Ni kama ungeona watu wanavyoshangaa haswa walio mfahamu walikuwa wanashangaa.
Wengine wanashangaa hata wanashindwa kujizuia na najua wanashangaa kuhusu mimi ni nani?, wapo wanajua niliwahi kuwa bwana harusi, wapo walio niona wakati wa maumivu yangu.
Sina maana kanisa lote linashangaa Ila kwa asilimia kubwa na hata hivyo mimi sikujali kabisa niliona tu ni mambo ya kawaida. Muda wa kutoka, tulikutana na Sam, na Bibi.
Sam alipotuona alitukimbilia kwa furaha, na safari hii alinikumbatia mimi na nikuambeba badala ya mama yake. Nilitabasamu kwa furaha nikisema βΕam niambie hujambo.β
Εam alitabasamu na kusema βAsante sana, Mungu akubariki sana. Ninaweza kukuita baba?β
Nilisikia Pina akisema βWewe mtoto ni adabu gani hiyo, eenh si nilikufindisha kuheshimu rafiki zangu.β
Nilitabasamu na kusema βSio unaomba ruhusa Εam, mimi ni baba yako, niite baba vile unataka.β
Pina alishangaa na kusema βRicky, unafanya nini?β
Ricky alinishika mkono na kusema βMuache mtoto aniite baba, hata hivyo mimi ni baba yake sasa kwanini una mzuia. Bibi twendeni.β
Share kwa ndugu na marafiki
WhatsApp
Facebook
Twitter

