
LOML | Love Of My Life (08)


ππππ (π³πππ ππ ππ ππππ) β£οΈ:08
Nilitabasamu, sasa sikuwa hata na hamu na yeye nimechoka na kusema siwezi kabisa. Lakini kabla sijafanya kitu chochote kile mwanamke wangu alinivuta kitandani na akaniweka chini yeye akawa juu yangu.
Nikawa namtazama yeye anatabasamu na taratibu midomo yake ikawa kwenye midomo yangu. Alianza kunibusu vile anavyotaka, kiukweli alijitahidi kufanya kila alichoweza kunifanya nifurahie.
Mwanamke wangu huyu anapenda sana mapenzi, kiukweli sina hakika sana kama nimewahi kumridhisha. Nina uthubutu wa kusema hivi kwasababu kwanza hajawahi kuchoka, hajawahi kutosheka unaweza wewe ukachoka hoi ukamuacha hapo na yeye bado anataka, kuna muda mpaka namuuliza βbaby umetosheka?β
Anatabasamu na kusema βYes babe, thanks so much nakupenda.β
Lakini ukimtazama wewe ndiyo umechoka yeye bado yupi vizuri kabisa. Hivyo hata siku hii nilikuwa hoi, mwenzangu anasema βbaby please niongeze, baby nichape tenaβ
Ninamtazama nasema βutaniua we mwanamke, si unajua tulikuwa na siku ngumu eenh?β
Basi yeye anasema βbasi wewe lala tu, mimi nitafanya mwenyewe.β
Namuangalia mpaka nakasirika na hajali hata. Huyu ndiyo mwanamke wangu mimi ambaye nimemuoa.
Nimelala zangu nimenuna, fungate wala sifurahii na hapa moyoni nina jambo langu ndiyo kabisa. Ninakumbuka mke wangu alinisogelea, na kulala mwilini mwangu kumtoa siwezi ila sasa inabidi nivumilie.
Yupo hapo ananiambia βndiyo maana nakupenda mpenzi, wewe ni msweet sana. I love you hubby!!β