
LOML | Love Of My Life (158)


ππππ (π³πππ ππ ππ ππππ) β£οΈ:158
Mama aliendelea kushangaa, Gabby mkosa aibu akawa analia. Pina alikuwa amesimama na Willy, Kisha alisogea, Willy alimsogeza na aliniambia βCalm down Ricky. Mimi naondoka nitarudi tena ukinihitaji. Kumbuka wema ukizidi bila mipaka hujaribisha dharau.
Halafu alinikumbatia na kuningβoneza akisema βwatu wanatabia ya kutuumiza kulingana na namna tunavumilia ifike mwisho sasa.β
Pina aliinuka, nilijikuta nasema βPina tafadhali, nakuomba sana, nakuomba usiondoke ukaniacha peke yangu. Nakuomba.β
Pina alisimama na kusema βNipo na wewe Ricky, nipo na wewe usijali nitakuwa hapa ukinihitaji tu.β
Nilijikuta nasema βUsisahau Nakupenda sana, Nakupenda peke yako, Nakupenda Pina, nakuomba usikatae zaidi nakuomba Pina nipo salama nikiwa na wewe, wewe peke yako.β
Watu wote walishangaa hata Gabby aliacha kulia alishangaa. Willy, mama wote walishangaa na kumtazama Pina huku mama akisema βunasemaje Ricky?β
Pina alitabasamu, alinirudia tena kwa msaada wa fimbo yake. Alipapasa uso wangu, na Kisha aliniambia aliniinamia, akanibusu kwa paji la uso wangu na kunifanya nisikie raha sana halafu aliwaacha midomo wazi alipo fungua midomo yake na kuniambia β
ππππππππππsaaafiiiii Pina wa motooooo komesha mpumbavuu asiye na aibuuu my tunedo ohh bebi baila bailaaaaa sheki body body dadeeekiiiiiπππsa Itakuajeeeee π«£π«£π€¦ββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ nyieeee.
HAPA NDIO MWISHO WA SEASON THREE