LOML | Love Of My Life (205)

๐‹๐Ž๐Œ๐‹ (๐‘ณ๐’๐’—๐’† ๐’๐’‡ ๐’Ž๐’š ๐’๐’Š๐’‡๐’†) โฃ๏ธ:205
Pina alitabasamu na Kisha alisema โ€œmama!!, tafadhali mimi naomba niite tu Pina!!, ndiyo napenda zaidi.โ€

Nilitabasamu na Kisha nilisema โ€œAu muite mama Ricky hapo vipi si jina zuri zaidi?โ€
Tulitazamana na kujikuta tunacheka sana. tulicheka huku Pina akisema โ€œhuna akili kabisa, huna akili.โ€

Wakati anasema hivyo mlango ulikuwa unagongwa, mama Babuu alienda kufungua. Alikuwa ni baba yangu, baba alipofika alisema โ€œkumbe mimi mkulima mzuri, mwanangu share yangu ipo hapo.โ€
Nilicheka nikisema โ€œbaba huwezi kukosa chakula ukiwa kwa mwanao.โ€

Baba alitabasamu na nilisimama kumkumbatia, Pina alisimama pia na kusema โ€œShikamoo baba!!โ€
Baba aliitikia na kusema โ€œnimefurahi sana kukuona hapa binti yangu.โ€

Pina alitabasamu, baba akaniuliza maendeleo yangu basi nikamuelekeza namna ninajisikia wakati mwingine sawa na wakati mwingine ovyo.

Na niliongeza โ€œYote kwa yote Namshukuru sana Pina. Amekuwa msaada sana kwangu. Yupo na mimi kila wakati kunikumbusha dawa, namna ya kujitunza na kula.โ€
Baba alitabasamu, nilimtazama na kusema โ€œeenh mama anaendeleaje?โ€

Baba alisema โ€œunajua mama yako, bado anaona Yule mchawi ndiyo mwanamke mzuri. Laiti angejua kuwa ni mashine ile ya kusaga na kukoboa angekaa mbali kabisa.โ€
Tulijikuta tunatazamana na kucheka sana, baba alisema โ€œmnisamehe wanangu, nimechukia sana.โ€

Baba alinitazama na kusema โ€œhapa ninavyo kuambia mama yako ameenda kwao Gabby. Nasikia Gabby kawaelezea kwao kuwa una mpenzi mpya na humtaki yeye kฤฑsa huyo mpenzi.โ€

Mimi nilimtazama Pina, akawa anatabasamu tu. Mama Babuu yeye alikuwa ana andaa chakula cha baba. Kisha alisema โ€œnashukuru sana kwa chakula kizuri Pina. Ubarikiwe Ila uzingatie tulivyo zungumza.โ€

Share kwa ndugu na marafiki

WhatsApp
Facebook
Twitter

Chagua kipande kinachofuata

CONNECTION YA BALTASAR FULL

THE CHIEFโ€™S DAUGHTER FULL

KIAPO CHA MASIKINI FULL

BIKIRA YA BIBI HARUSI FULL