
LOML | Love Of My Life (214)

ππππ (π³πππ ππ ππ ππππ) β£οΈ:214
Nilitaka niseme kama hujisikii hivi ambavyo mimi nina jisikia na huyu mwanamke baΕΔ± hupendwi kumbe Kuna watu kwao kuteseka ndiyo mapenzi nyie siwezi waambia lolote.
Unajua kuna wakati ninavyo jisikia natamani wote wote bila kujali cheo chako niwatafute sehemu yenu ya kuishi halafu hii hapa nimpe Pina wangu tu ajinafasi hatakiwi kusumbuliwa kwa raha anazonipa.Lakini ndiyo siwezi, tukibaki wawili nyie mtajifunza wapi kupendana kama sio hapa.Itabidi tu mbaki na sisi hapa, mshuhudie upendo wa kweli.
Tulifika mpaka kwao, Baada ya kufika tulikuta bibi na Samwel wamekaa nje na mambo Yao wenyewe hawana habari. Samwel anampenda sana mama yake alimkimbilia kama alivyo fanya Mara ya kwanza nimefika hapa.
Nilikuwa nafurahia tu walivyo hata mama yake alisema βmbona husalimii.β
Mtoto huyu alinisalimia, nami niliitikia kwa upendo nikisema βhujambo Εam.β
Alitabasamu na kusema βSijambo, asante kwa kumrudisha mama yangu.β
Nilitabasamu na kusema βlazΔ±ma nimrudishe salama kwasababu mimi pia ni mama yangu.β
Sam alishangaa na macho yake kubadilika akisema βmama yako?, hapana huyu ni mama yangu mwenyewe.β
Nilicheka na kusema βni mama yangu pia.β
Akaniuliza kWa upole βkwahiyo mimi ni kaka yangu wewe?β
Nilitabasamu na kusema βni kweli kabisa.β
Nilimtazama Pina, alikuwa na furaha sana. Tulisogea mpaka kwa bibi, bibi alinikaribisha kwa furaha sana. Nilimsalimia kwa heshima na Εam alimsimulia bibi kuwa mimi ni kaka yake, tukacheka. Pina alisema βBibi anaitwa Rodricky, ndiye niliyekuwa nakuelezea kuhusu yeye.β
Bibi alitabasamu na kusema βkaribu sana mjukuu wangu.β

